Ex-Pastor vs Pastor Ndacha & his Team @ Navakholo Kakamega County

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @ZahariaHamisi
    @ZahariaHamisi 8 місяців тому

    Tatizo uelewa wenu wakristo ndio balaa hyo mada yenu haina ukweli kabsa. Pongezi xp Ibrahim kwa kazi nzuri Allah akulipe kheri

  • @AdamsonKithi-g8d
    @AdamsonKithi-g8d 6 днів тому

    Ndacha mungu azidi kukubariki na akuzidishie maarifa

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 2 роки тому +2

    Asalaam Alaikum, mashaaAllah, fajazakmullah khairan

  • @rujainasalumu7966
    @rujainasalumu7966 2 роки тому +1

    Masha Allah x-pastor Allah akupe umri mrefu uzidi kuisambaza dini yake na akakulipe pepo daraja ya juu kesho akhera in shaa Allah

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 2 роки тому +1

    Maasha Allah..ALLAH azidi kufunua vifua nyenu muwatoe watu kwenye ukafiri.Msomaji awe ana chukuwa mazoezi ya usomaji wa mara kwamara ili muda usiende bure bure

  • @mariamkhaikachitechi6552
    @mariamkhaikachitechi6552 2 роки тому +1

    Mashaallah..kazi nzur sheikh

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 роки тому +1

    Naam Jazakallahu kheyr X-Pastor Allah akujaalie mwisho mwema (ufe katika Uislam) Aamin.

  • @anthonykariuki2438
    @anthonykariuki2438 Рік тому

    Ex pastor ibrahim may Allah continue to bless you with knowledge and wisdom. Truely Allah guides whom he wishes

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 роки тому

    Masha Allah Ustaz.Let the truth be told.

  • @mussahamisi1498
    @mussahamisi1498 Рік тому

    ustaadh, allah atakulipa, dereva anaangalia abiria abiria anaangalia dereva gari haiendi kweli kabsaa

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 2 роки тому +1

    MashaAllah ustadh wetu

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 Рік тому +1

    Ex pastor Ibrahim oyeeeeeeeeee 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @husseinmaalim885
    @husseinmaalim885 2 роки тому

    Mashallah baarakallahu fiik ya Sheikh

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 роки тому +2

    Tunawafatilia sana Wahadhiri wetu.

  • @AmriAmri-hy6sg
    @AmriAmri-hy6sg 9 місяців тому

    Ama kweli XP nikiboko ya ndacha

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 7 місяців тому

    Imani ya majinn na mashetani kwa ibada inaeleweka kweli..fungueni macho..

  • @ZahariaHamisi
    @ZahariaHamisi 8 місяців тому

    Hpo xp ungewapa andiko la 1.timotheo.1;20. Mashetani ndio mwalimu wao.. kuhusu uchawi Matendo.13;6. Bar yesu ni mchawi.

  • @ZahariaHamisi
    @ZahariaHamisi 8 місяців тому

    Ndacha andiko likimgusa anaanza kusema watu wana shabikia kelele😂😂😂😂

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 2 роки тому +1

    Sheikh next time waambie hao camera man asimame kando naona hio nikama intimidating na hakuna haja yoyote ya kusimama mbele yako

  • @alsamali6964
    @alsamali6964 Рік тому +1

    Huyo Muridh ni tahira hajui hata anachoongea

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 Рік тому +1

    Leo wahadhiri wa kiristo wanakubali yesu alikuwa ni mtume.
    Alhamdulillah

  • @jafarykahera1727
    @jafarykahera1727 2 роки тому

    Msomaji umepinga yesu na mungu pamoja kwani umekubali kupokea fahari za ulimwengu na kumpa mungu kisogo maaisha ya dunia nihadaa ndugu yangu muogope allah kwa huu muda mfumfupi wauhai duniani ogopa utakapo kua mbele yake yaumalikiama utajutia sana

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 2 роки тому +1

    Hahaa hawa wanajidai watu wa kristo wanapiga story

  • @RodgersMae
    @RodgersMae Рік тому

    Hakika Ibrahim ww ukifa utakuw pamoja na babake mohammad na hio familia yao ww inakuona juha wanzo mwisho

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 2 роки тому

    Huyu murtad nimkorofi kupita kiasi. J

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 Рік тому

      Ukorofi wake nini
      Na yeye anasema kweli.
      Na kabla hajasilimu kuwa muisilamu alikuwa muongo km wao.