Mungu ni mwema mshikilie sana Mungu kwamwe usimuache najua umetangaza vita na shetani nashetan atakuja kwa njia yakuwatumia watu nakuomba usimame imara kama Danieli uwe na iman kama ibrahimu usiogope kama Daud 🙏🏿🙏🏿
Hongera sana @PhilemenAggreyTz. Umechukua uamuzi mzuri, uamuzi wa kiume. Mungu akusaidie, Mungu akuongoze. Naamini utakuwa balozi mzuri kwa familia zetu (wazazi/walezi, vijana na taifa kwa ujumla).
MUNGU akubariki sana na karibu mno kwa BWANA YESU ❤❤❤💒📖💯🤝
JESUS🙌🏽
Ahsante Mungu kwa hatua hii ya kijasiri to our beloved 🙏🥰
Mungu akutunze na akupe nguvu Zaidi ww ni ushuhuda unaoishi🙏🥀
Jmn Aggrey,Hongera sana.Wewe ni Mshindi 🎉.Groly be to Jesus.
❤️❤️
Mungu akutie nguvu kaka yangu kipenz 🎉🎉❤❤
Mungu atakupigania kaka...
Welcome to Christ's family, Philemon! Praying for you brother 💖💕
Barikiwa kaka…hakuna kurudi nyuma.nakuombea
Mungu ni mwema mshikilie sana Mungu kwamwe usimuache najua umetangaza vita na shetani nashetan atakuja kwa njia yakuwatumia watu nakuomba usimame imara kama Danieli uwe na iman kama ibrahimu usiogope kama Daud 🙏🏿🙏🏿
Mungu akutie nguvu mpnz❤
Mungu akutie nguvu❣️🙏
Mungu akutie nguvu kaka napendezwa na life style Yako mpya be blessed
Mungu akupe kazi nzuri nafasi nzuri ya kazi upate utulivu wa akili na mwili pia
Mungu akusimamie na ubarikiwe sana
Hongera sana @PhilemenAggreyTz. Umechukua uamuzi mzuri, uamuzi wa kiume. Mungu akusaidie, Mungu akuongoze. Naamini utakuwa balozi mzuri kwa familia zetu (wazazi/walezi, vijana na taifa kwa ujumla).
I am happy for you
MUNGU AKUTUNZE SANA, VIJANA WENGI TUPONE KUPITIA WEWE KAKA
❤
Tuko na ww kaka ulipo tupo ubarikiwe
❤❤❤❤❤❤