Thank you baba kumbe unaona yanayokumba innocent kids i espected uhuru to address this issue also cox tuko na shida kubwa this ppl wanashikwa alafu waachiliwa
Wanjala 🙆🏾♀️🙆🏾♀️😭😭 mbona watoto pekee .jaribu kumua simba 🦁🦁🦁 basi tuone nguvu zako zimefika wapi . My condolence to intere family and the friends all kids👭👭👬👬👬💔💔🖤🖤
@@eunicewairimu5015 Why would someone do that to poor children who have not even tasted their portion of life? Why would someone give sleepless nights and continuous pain to parents of these poor children? Why would someone be the cause humanity lose trust to one another? Why would someone be the cause of fear and chaos? 😭😭😭
DCI is doing a greatJob, lets not forget. Its evident they have become more professional and are using modern technology to tackle crime. Corruption is a big problem. Hongera DCI.
Asitupime akili this is, a cartel and he is the lowest in the chain, they are human body parts traffickers, pretending ati he used to drink blood ndio tudhani it's something to do with devil worshiping aache kutubeba ndogo you might be surprised watu wakubwa, kwa gava wako pamoja naye katika hii kazi
Aki mbona hawajamuua bado 😭😭😭na ataje Mbogi yake na market place yao ya kuuza organs! I believe this is not just a Mayer killings, their in business of human organs trafficking may God have mercy on us 🙏💐❤️
Good he explained how he murdered those victims. Let's hear more from him. His colleagues, his bosses and the main reason for doing this, Finally afanyiwe kile alifanyia those innocent kids
Hawezekani Hutu kijana akopekeyake,hawezi kuua and the same time amzike mfu,atakuwa amechimba hilo shimla na nini?ama saa.ngapi?no it cant be,aseme ukweli wa mambo.we are not fools.
So sad how came auwe watoto kumi wawili halafu still yuko kwani acofanuwe kama vyenye alifanya wenzake he supposed to be jail forever nje afanye nn mkora huo muache ndani forever hakuna mxamaha kwa mola ndo kuna mxamaha
Kenya Ni Kenya na ndo maana naweza ihama niende Nyeri......huyu mtu ashasema kuwa Aliua,anafaa awe ashakufa sio kuweka yy uhai na watoto Ni mauti Sasa.....Biblia imesema kuwa atakaye ua na kisu pia auawe nayo nk......this is too much kuona shetani ka hii inabreath ilhali watoto hawapo Tena.....
Usichezee wakenya ulio wadhulumia watoto wao wewe sema ulikua unafanya biashara ya watoto na utawataja wote mliokua mkishirikiana kwenye hiyo biashara ama na wewe unyongwe usitupandishe presha hapa
Wacha kunyongwa ata angefaa awe chakula cha mamba akarushwe kwenye mito yenye mamba akiwa anaangalia venye mamba wakimkula huko ingekuwa ni uwarabuni angekua hana kichwa sai yan anatia hasira 😡
So all his victims are boy 🤔🤔...what power was he getting out of killing the helpless kids 🤔🤔 what tactics was he using to get the kids to follow him? I need these answers so that I can educate my little brothers 😤
sasa huyu amefika watoto 12 hamjajua tu ? kwa nini wazee hawajaenda mombasa ? si naona kwenye mitandao kuna mtu anafanya dawa wauwaji au wezi wanakamatwa wanakuja wenyewe au sio kweli ?
Thank you baba kumbe unaona yanayokumba innocent kids i espected uhuru to address this issue also cox tuko na shida kubwa this ppl wanashikwa alafu waachiliwa
Hakufanya yote peke yake alazimishwe kusema muhusika mkuu😥😥
Wanjala 🙆🏾♀️🙆🏾♀️😭😭 mbona watoto pekee .jaribu kumua simba 🦁🦁🦁 basi tuone nguvu zako zimefika wapi .
My condolence to intere family and the friends all kids👭👭👬👬👬💔💔🖤🖤
Because he is coward. He can't try to harm a fully grown up man. He only targeted poor children.
It's because ni biashara ya Organs, harvesting 😭😭lazima wachukue watoi coz their organs are stable and growing strong
@@eunicewairimu5015 😭😭😭😭
@@eunicewairimu5015 Why would someone do that to poor children who have not even tasted their portion of life? Why would someone give sleepless nights and continuous pain to parents of these poor children? Why would someone be the cause humanity lose trust to one another? Why would someone be the cause of fear and chaos? 😭😭😭
@@gabrielabdul8372 their are harvesting livers, kidneys, hearts, pancreas etc for sell, this is high notch wickedness 😭💩☠️😈
Mimi aki nimechoka na huyu wanjala, ,
Auliwe tu pia yy mambo yake yaishe
That will not solve a thing dear
Auliwe kwani uko Kwa group yake? tunataka atuelezee saidi badae wamuue
Ataje wenzanke kwanza
Hapo Odinga amesema.
Unajuwa Shirin Ya Kiabu Unajuwayenye Inafanyikahapo Sasanikwa Mwaka Karibuamsini Nakamaaujui Uliza
DCI is doing a greatJob, lets not forget. Its evident they have become more professional and are using modern technology to tackle crime. Corruption is a big problem. Hongera DCI.
Just fock off and sleep. Do you pay taxes? I doubt
If you're a murderer and watching this,kindly keep off people's children.
Acheni kuua....
Waaaah hadi rafiki , I will never trust anyone
Imagine
Unaskiya akona nguvu kama umeme huko jela atapoteya na wengi afadhali wamhoji aseme siri yote halafu wam shoot
Na niulize,mtu anafinyagwa wapi na polisi ndio atoe hizi siri zote,weuh ,inaonekana ameonyeshwa kivumbi
Asitupime akili this is, a cartel and he is the lowest in the chain, they are human body parts traffickers, pretending ati he used to drink blood ndio tudhani it's something to do with devil worshiping aache kutubeba ndogo you might be surprised watu wakubwa, kwa gava wako pamoja naye katika hii kazi
Exactly what I was thinking
Exactly ...kujifanya
Adi mm sioni kama ako sorry ata..anataka ahurumie apunguziwe punishment akiachiliwa atarudia tu
Woiye hata sitaki kuona sura yake, so sad innocent kids😢 yeye ataendelea kuishi Familia ikitezeka
Huyu anatumiwa na mtu kutoa kafara. Destiny snatchers are real.
At least Raila Odinga has spoken feeling hopeful
Aki mbona hawajamuua bado 😭😭😭na ataje Mbogi yake na market place yao ya kuuza organs! I believe this is not just a Mayer killings, their in business of human organs trafficking may God have mercy on us 🙏💐❤️
Huyu mtu anatutesa roho sana
Good he explained how he murdered those victims. Let's hear more from him. His colleagues, his bosses and the main reason for doing this, Finally afanyiwe kile alifanyia those innocent kids
Even his friend 😭🙆In this life we are right now don't trust anyone
Wanjala afanyiwe vile amefanyia hao wengne
Kweli kabisa wallah
Hawezekani Hutu kijana akopekeyake,hawezi kuua and the same time amzike mfu,atakuwa amechimba hilo shimla na nini?ama saa.ngapi?no it cant be,aseme ukweli wa mambo.we are not fools.
Amesema ukweli Ako na nguvu na pia amekuwa akichuwa watoto.
Kangogo killed herself what is this man waiting for.
Wampe kisu ajikate
Jamani hata mimi nasema hayuko peke yake
Anataka kuficha rafiki zake. He is not alone
True.lakini itabidi awaseme.
So sad how came auwe watoto kumi wawili halafu still yuko kwani acofanuwe kama vyenye alifanya wenzake he supposed to be jail forever nje afanye nn mkora huo muache ndani forever hakuna mxamaha kwa mola ndo kuna mxamaha
Nop...he is just a serial killer. The likes of teddbundy
@@teresasharon8324 exactly @Teddybundy
Ikiwa arikuwa na nguvu akiuwa hata court iweke nguvu ya justice
Yani hyu atoe ushaidi wote Kisha auliwe na yy
Mbona watoto aki inauma sana
😱😱 we are living the last days😭😭
True
True
Na ataachiliwa tu, na watoto wataendelea watakidnapiwa kwa sababu serikali ndio inatia hawa wauwaji nguvu....
Kenya Ni Kenya na ndo maana naweza ihama niende Nyeri......huyu mtu ashasema kuwa Aliua,anafaa awe ashakufa sio kuweka yy uhai na watoto Ni mauti Sasa.....Biblia imesema kuwa atakaye ua na kisu pia auawe nayo nk......this is too much kuona shetani ka hii inabreath ilhali watoto hawapo Tena.....
Roho yaniwaka moto mpaka jasho natani nimurukie kwenye simu
Why was the cause..God protect our family lean Uganda
Jamani si spigwe risasi na yeye hana fainda
afinyewe kabisaa aseme vizuri hakua peke yake utaskia wakisema apimwe akili ndio wamuachile 😑😑😢
Sorry for the parents kupotea they kids it's so painful
Usichezee wakenya ulio wadhulumia watoto wao wewe sema ulikua unafanya biashara ya watoto na utawataja wote mliokua mkishirikiana kwenye hiyo biashara ama na wewe unyongwe usitupandishe presha hapa
Huyu anafaa akatwe sehemu ya mwili moja moja akufe na uchungu pia yeye. ata siezi mhurumia huyu
This is so painful
Obado je case taking years
I feel sorry for the parents that lost their kids. The pain is unbearable as they watch this type of news
Ata sijui ni news za nn wanatuletea badala wamunyonge
Sasa wanamkinga na corona ya nini...na wale ameuua kwani hakujia uchungu ya kifo vile alikua anauua 😠😡pepo baya
Wanafaa kunyongwa Kwa haraka sio kuhukumiwa he looks healthy than the way he came hata anapewa overall na pia atapewa advocate
Wacha kunyongwa ata angefaa awe chakula cha mamba akarushwe kwenye mito yenye mamba akiwa anaangalia venye mamba wakimkula huko ingekuwa ni uwarabuni angekua hana kichwa sai yan anatia hasira 😡
Hayuko pekeyake huyo ataje boss wake
Alkua anasafirisha na nini na wakiwa na nani ?
Huyu lazima aseme lakini shida hii kenya yetu ai
Sijui awekwe jela ipi maana yuwatisha
Mnazidi kituumiza wazazi
Wengine huwa wanakula kiapo kwa waganga sasa hata wampige hasemi anakufa juu ya kiapo alicho apa
Shetani ashindwe. Huyu jamaa anajifanya.anastahili kunyongwa pia yeye.ama afungwe maisha
Hii ubwa waipige risasi iende ikiendanga hayuko pekee aseme wenzake.
Huyu ameuwa anafaa kukanyangwa ataje watu wote
Baba amesma mm ni nani bt huyo hakufanya pekee yake amelazimishwa aseme
😭😭😭😭Atoe siri zote na anyongwe
Hii ni Conjuring movie "The Devil Made Me Do It" in real life
This is very demonic,the devil is roaring lion looking for who he may devour ,he says anapata nguvu he can't explain,mjiweke kwa Yesu tafadhali
Hawa wapelekwe China kupunguza deni aki
Ni nini anafanya kwa police si mumuachilie tu siku mbili raiya imusalimie
Sooo sad😭😭😭😭
Bado mnamwita mshukiwa..mtamwita muuaji akiwaua
Police wacheni apate adabu kidogo tuko hapa nje na mawe
Sooo painful 😢😢😢
Why the PPE. He killed...
Who is the owner of this man he is not working alone devil worshiping and wichcraft must be stopped in kenya
Amen GOD will expose them in jesus
But why? 😭😭😭
Why waste PPE gowns ,and yet we have a shortage in hospitals??
Anaitwa mashetani au mashten?
Wuuuuuwi aki you hear someone dissappeared never to be seen... Familia iachwe kuhangaika tu aki.... Wanjalaaaa kweli even a friend????🤔🤔🤔🤔🤔🤔😭😭😭😭.
Imagine so sad😭
Haaa naomba mtoeni inje rahiya wamwonyeshe adabu tupinge kwa mawe pls
Huyu ni muuwaji....awaseme wenzake
😢😢😢😢
Sio kutaka kufichua nikufinywa vizuri mbona hasemi ukweli
Kiswahili kigumu kidogo dah! Huyu mtu atamkimshuti mm naona bado kwani kazulumu roho nyingi naumiatuu nikimuona
Na mchunge asijinyongee uko Jela jameni.
Raila leo umenena
Cracked m kagonye Because of 2022 🇰🇪☝🏽
Why children???
So all his victims are boy 🤔🤔...what power was he getting out of killing the helpless kids 🤔🤔 what tactics was he using to get the kids to follow him? I need these answers so that I can educate my little brothers 😤
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Jesus christ😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
sasa huyu amefika watoto 12 hamjajua tu ? kwa nini wazee hawajaenda mombasa ? si naona kwenye mitandao kuna mtu anafanya dawa wauwaji au wezi wanakamatwa wanakuja wenyewe au sio kweli ?
Mini tatizo mpaka kufanya mauaji hayo?
@@fundihami2642 labda psycho
Uhuru hasemi lolote.
Eemungu 🌚😭😭😭😭😭
Who is behind him?s'one was financing him
Wooi😭😭😭😭😭
😭😭😭😭🙆
😰😰😰😰😰
💔😭😭
Who is the person behind you Wanjala? Terrible
Muuaji anachungwa asipate Corona saitan
hii umbwa itaenda jela ikule chakula ya bure
Si awaseme wenzake
Shetani
Aedelee kufichua na asintaje nko Afghanistan 😂😂😂😂
Uuuuuùuuuu uko noma sana,kwa magaidi wenywe sasa🤣🤣
This is a cartel...he is just using devil to blind people
😭😭😭😭
😭😭😭