D VOICE ATAMANI KULIA AKUTANA NA ALIYEKUWA AKIMWAZIMA NGUO MTAANI KWAO..
Вставка
- Опубліковано 9 лис 2024
- Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online
Msemee mazuri yeyote utafanikiwa. Mungu akutunze D Voice
Nimeipenda Sana hii hpo wote wanatamami kuwa kama we🎉🎉🎉❤
Mungu azidi kukuinua kwenda mbel🎉🎉🎉❤❤❤❤
nakubali sana D Voice 🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤🙌🙌🙌💯💯
Mungu aendelee kukupa moyo huohuo wa huruma d voice
Kipenzi Cha Watu ❤❤
Apo ndoutapoamin kuw kila kit knwezekna muhim bidii t nkmuomba mung kwakile unachpambania 🙏🙌
Hana baya maisha marefu kwako ❤❤🙏🙏
D voice wanamkubali sana mahome boy wake
Nakubal🎉
❤❤❤
Mshikaj alivokaa chini kanikosha 😂😂
🔥🔥🔥🔥
Asa hapo akitandikwa gumi la Taya itakuwaje
Good dvoice
Eti alikua mjimba wangu kwa Sasa sio mjomba?
D voice u Star umemkataa hata avae vipi anaonekana kama kinyago hana damu ya kupendeza maskini🙄
Acha majungu
Kwakweri
Sibure ww utakuwa mchaw
Baruza🖐️🖐️🖐️
D voice una bay
Wezombi 🥰🥰
Jaman mkaka uyu nampend
Hivi ukiwa star ni lazima utoge masikio?? Sio kwa ubaya
Hasa kwa w kiume, pia msanii ana nguvu kubwa ya kuhamasisha kitu na na jamii ikaiga. Shetani anapitia humo humo kwa wasaniii.
Msukule wa diamond siku zinahesabikaaa ww usichangamshe akili ukajitoa jehanam jione star tuuu😂😂😂😂😂😂
why yeye
😂😂🎉
Wana kibao duuh
Msaindie dogo janja
Bado pombe
D voice Bado sana wewe Hauna hit hata moja
Kwli wajinga niwengi hii dunia wewe unaishi nji gani
Sawa ww mwenye hit nyingi
@@SaimoAbusei wajingaa ni wengiii sana Ata tusiendee mbali tuende tu kwa Nani yeye Na Zuchuu hakuna Hajaa Tufike kwa BamBam ata tupaaa Nguoo 😂😂😂🙌🏽🙌🏽
Aya mfalme wa sengeli nyimbo zake zote zipo mjini na unasema ana hit
Chuki ya wazi hiyo kula red 🔴
maty boy kijana wenu nimeachia chupa jipya ingia kwenye acaunt yangu uicheki jamani