UTAPENDA DR IPYANA Vs ISRAEL MBONYI WALIVYO KIWASHA JUKWAANI WAIMBA WIMBO WAO MPYA USIKIE HAPA....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @osoloajiambo9211
    @osoloajiambo9211 17 днів тому +2

    Doctor Ur blessed....
    Sambaza huo utukufu wa Kristo balani afrika🎉🎉🎉❤❤✋

  • @teresamukiri-sg3gi
    @teresamukiri-sg3gi 19 днів тому +2

    Dr.Ipyana hata hapa Kenya tunakutambua Kaka. Serving God is not in vain blessings

  • @PeterbandaPeterbanda
    @PeterbandaPeterbanda 25 днів тому +9

    Aisee me hawa mabrother na wapenda sana hakika Mungu naomba uwape miaka mingi ili tuzidi kujivunia uwepo wapo. Na wapenda sana❤

  • @PreciousMwampondele
    @PreciousMwampondele 25 днів тому +7

    Mungu akubariki sana Dr kwa ibada Mungu azidi kukuinua kwa utukufu wke

  • @pastorstevenmwasilembo3135
    @pastorstevenmwasilembo3135 25 днів тому +10

    nimeipenda hii "Na uokoke usiende tu kwenye intertiment"

  • @ritangarambe8021
    @ritangarambe8021 25 днів тому +3

    DR MAY GOD SHOWER YOU WITH HEAVELY BLESSINGS. YOUR SONGS BRINGS US NEAR TO GOD'S THRONE

  • @millyarapta6933
    @millyarapta6933 25 днів тому +4

    🎉🎉Dr continue uplifting the name of our Lord Jesus

  • @BenedettaMuthini
    @BenedettaMuthini 24 дні тому +2

    Daktari much love from Kenya ❣️❣️ twapenda huduma zako

  • @MwendaMwania
    @MwendaMwania 24 дні тому +3

    Mungu animbariki vitu kama hivi nivilete kenya

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 24 дні тому +1

    Mungu Baba Mwenyezi Awabariki vijana Wake.

  • @StephanoDaniel-er2pd
    @StephanoDaniel-er2pd 25 днів тому +2

    good job my brothers by stephano mwimbaji

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 24 дні тому +4

    Kweli wapendwa, msiache kusema, kweli ya Mungu, hizi ni siku za mwisho, na YESU anarudi hii ni kweli kabisa

  • @VicentKayagula
    @VicentKayagula 25 днів тому +31

    Na Muokoke msije tu kwenye entertainment. I like that words...

  • @GlauryHaule
    @GlauryHaule 23 дні тому

    Watumishi nawapenda sana mungu awatunze waooooh

  • @RoseKemboi-u4c
    @RoseKemboi-u4c 21 день тому

    Ni Mara yangu kwanza kuzikiza huu wimbo nasikia ni ushuhuda vile mungu amefanya sifa na utukufu zimrudie baba mbarikiwe

  • @jessiabby
    @jessiabby 24 дні тому +1

    Sasa kenya mulikataa kuwa na mpangilio kaa huu, na utaratibu wa busara when we heard such concert, next round kenya we need to break the spirit of pride we do it with intention of worshipping not business

  • @RehemaNestor
    @RehemaNestor 25 днів тому +1

    Kweli kaka mungu amefanya mengi 🙏🙏mung akubalki kaka

  • @MwaminiPascal
    @MwaminiPascal 23 дні тому +1

    Wowe🎉

  • @MoureenOtubula
    @MoureenOtubula 21 день тому

    Glory to God.

  • @marynjeri6799
    @marynjeri6799 23 дні тому +1

    Twa omba dr ipiyana aje Kenya Ibada kubwa

  • @yvetteirankunda520
    @yvetteirankunda520 21 день тому

    Umwpata waimbaji wazuri, wote wameinba kwa utukufu wa Mungu

  • @Abby86Mtweve
    @Abby86Mtweve 21 день тому

    Love much us

  • @sibomanaemmanuel1831
    @sibomanaemmanuel1831 25 днів тому +3

    Israel Mbonyi ❤

  • @angemugisha7056
    @angemugisha7056 6 днів тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @noahmollel
    @noahmollel 25 днів тому +1

    Hallelujah hallelujah

  • @PatrickjumaJuma
    @PatrickjumaJuma 23 дні тому

    Amen 🙏

  • @aquilineanthony1115
    @aquilineanthony1115 25 днів тому +2

    Kuikana nafsi kazi sana wengi wanaipenda nafsi yake kuliko uokovu. Uokovu una maumivu. Mwanadamu kwa nature hapendi maumivu. Hapendi mahanqaiko. Eti asali, afunge, akeshe ni taabu.

  • @dorismkongwe4140
    @dorismkongwe4140 25 днів тому +4

    Kinqchoniuma wanaimba lakini wanamabifu nawatu yani mdomoni wana Mungu moyoni mnagombana,vijicho,kwakweli Mungu awaponye .Ipyana upovizuri sana lkn ttz unajihesabia hakisana

    • @pastoryemmanuel5437
      @pastoryemmanuel5437 25 днів тому

      Anajihesabia haki kivipi, huo ni mtazamo wako tu,
      Imetupasa kila mmoja aende mbele za Mungu kwa ukamilifu. Ni jukumu la kila mmoja

    • @barryhezron2764
      @barryhezron2764 25 днів тому

      Hakuna aliemtimilifu dia!hata wewe una adui anamtu umeshikilia moyoni,heri ya yeye anaelitumikia kusudi la kuletwa Dunian,anachakumuleza Mungu apitiapo magum,Mimi na wewe tunatembea kwenye kusudi la Mungu?!

    • @JosephKibona-t7o
      @JosephKibona-t7o 25 днів тому +1

      Kumrekebisha mwenzake ndio wivu? Hao wote wanamwimbia Mungu

    • @pastoryemmanuel5437
      @pastoryemmanuel5437 24 дні тому +1

      @@JosephKibona-t7o sawa lakini mbona mimi sioni anapojihesabia haki?
      Ndicho ninachojaribu kuuliza,

    • @JanethAbel-jw6pt
      @JanethAbel-jw6pt 24 дні тому +1

      Dr Ipyana, Kukemea dhambi haimaanishi kwamba anajihesabia haki.. guys dhambi ni dhambi hatuwezi kupaka mafuta dhambi.. watu Wa Mungu tunahitaji kuokoka na kuachana Utu wa kale.; Tuache maisha ya Ujanja ujanja Ndani ya huduma is very bad. Tuna mengi ya kujieleza Mbele ya kiti cha hukumu

  • @NabaddaJesca-n7h
    @NabaddaJesca-n7h 25 днів тому

    Great

  • @vumiliasamson369
    @vumiliasamson369 25 днів тому +5

    MAONGEZEKO, KIBARI VIMEBEBWA NA MUNGU, KAMA MTATAFUTA HESHIMA NA FOLLOWS KWA KUANDIKA UONGO NI KUTAFUTA MAUTI ILIKO. KWENYE UJUMBE WAKO UMEONESHA UHUSIANO WA ISRAEL NA DR. IPYANA LAKINI NDANI YA CONTENT HAKUNA UKWELI HUO. NI VYEMA USEME KILE KILICHOPO.