KESHO YANGU EP 33-34 | DONTA TV | KESHO YANGU PART 33 FINAL REVIEW | PREDICTION Ya 3 Scene Zijazo
Вставка
- Опубліковано 7 тра 2024
- Kwa Mtahitaji ya Matangazo Ya Biashara Bonyeza link 👇| For Ads Business Click Link Below 👇
wa.link/7kv2v7
................................................................................
Kwenye Video Hii Utapata Prediction review 4 ya Kesho Yangu series Episode ( Ep 32 ) bila kusahau utajuzwa kuhusu mambo ambayo Nimeyapenda na Yale ambayo sijayapenda.
...............................................................................
Kama Hujaangalia Full Video za Last card Full Video Zinapatikana Kwa DONTA TV Mjini UA-cam.
................................................................................
Important: This Videos are very Special For Review , Commenting & Predicting the Upcoming Scene According to What Is Going on to the Current Series, As well as Introducing or Telling You where the Videos are Found in Specific Channel.
...............................................................................
If you see Bad use of This Video or Picture please contact with us Via Email www.kiboxmedia@gmail.com.
.........................................................................
NB: Video Hizi ni Maalumu Kwa kukosoa & Kubashiri / Prediction ya KAZI ya Sanaa Kwa lengo la Kuboresha au Kutabiri Yajayo | Kama Utaona Kuna Matumizi Mabaya ya Video Hii au Picha Hasa Kwa Mmiliki/ waigizaji Tafadhali Wasiliana Nami Kwa Email www.kiboxmedia@gmail.com.
.........................................................................
Copyright Disclaimer | Under Section 107 of The Copyright Act 1976, Allowance is Made for Fair use For Purpose Such as Criticism, Commenting, News, Reporting, Teaching, Scholarship, and Research.
...........................................................................
Other Search Keywords.
kesho Yangu part 33, kesho yangu part 33, kesho yangu ep 34, kesho yangu 33, kesho yangu ep 33, kesho yangu Episode 31, kesho yangu Episode 32, kesho yangu episode 32, kesho yangu ep 31, kesho yangu 33,
#keshoyangu #kiboxmedia #dontatv
Hongereni xn Dontatv kazi nzuri xn, mnaelimisha jamii kiukwel mko vizuri ALLAH awazidishie vipaji vyenu❤❤❤🎉🎉🌹🌹
🙏💪🙏🥰
Jamani tunaomba kuona please please please please 🥺🥺❤❤❤
Mnatuwekea series polepole mno jomon
Kesho yang ifike mpk 200
Mnachelewesha Sana vipande
Mnachelewa sana jaman
Mambo Mazuli hayaitaji halaka tulieni jamani
Mnachelewa sanaaa
Nzur Sana kaz
Mnatuboa kila CK hamtoi kama imeisha toena bas
Kelvina wamuache atimize huruma yake kumsamehe mtu alie kufanyia ubaya ni dhawabu kubwa sana
Itoeni iyo next episode mnachelewesha ata bundles zitaisha
Tunataka imalize tena tumechoka kuangala episod 1 week 2 au 3
Hi guys Bado tu❤❤
Tunataka episode kamili tafadhali
Nest itakua moto sana maana Jem's na unyu mpuuzi afande na mnyongaji kinaenda kuwaramba wote kwa pamoja .ila tunaomba isichelewe .wafanye upezi dio. ikua tamu saindi
Mbna mnalaza damu fnyeni mtoe ya 33
Mm naomba mupeke mobile vipande wakitowa viwe vikubwa kidogo huwo KESHO YAGU 33 IKITOKA
Hapana isifike 200 Haiti noga
Asante sana kwa kunijibu god bless you and take care l am waiting for episode 😘❤❤
Thank you your welcome 💪✌️
Ok same to you 😊
Can't wait
Kazi nzuri sana ila msikawiiee sana plz❤❤
Mnachelewa sana
Kwakweli mimi kama mimi damu za wstu zisizo na hatia Mungu hatanyamaza
Lkn pia mpelelezi afande Khambi nimeona kabisa ana moyo wa hekima anataka haki so far hao wahusika pamoja na hela zao hawatafanikiwa watakamatwa tu
🙏💪✌️
Tunazisubiri sana Kabisa ❤
inatoka lini 33
Kelvin anazinguwa kifungo cote kile lakini bado angaliki nyuma ya kunambi sijapenda kiukweli
Munatukawizia kbs episode ifwatayo
Na yule Mzee baba hatumuoni
Yupo ataonekana kwenye next episode
Mm naomba vipande viwe vikubwa kidogo mukitowa part 33 KESHO YANGU
Sawa ✍️🙏✌️
Mbona mcherewesha kipande Cha 3
33 mtoe
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 lini tueke bando
Nitawajuza Msijali ✌️
Me wa tatu
🎉🎉🎉🎉🎉 nimewahi
💪🙏✌️
Tunasubiria kaka kaz nzur san ogeren
🙏🙏💪✌️
Kwani imeisha ama inaendelea part 33 nagoja sana
Haijaisha Bado inaendelea
@@KiboxMedia tunagoja pert 33 sana lakini mnachakanya na nyingine tunataka ya kelvin
@@MichaelWanyonyi-js5vt nyingine ipi tena 🥺🤔
👍👍♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥
Hapo kwa kibunda kirefu kimemchanganya sana kamanda wavifo AK A mnyongaji 😂😂😂mimi naona hawata fanikiwa kumunasa afande hashim khambi
😆😆💪✌️
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
💪💪✌️🙏
🎉🎉🎉🎉❤❤
🥰🥰💪✌️🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
🥰🥰🙏🙏✌️
Hata commander wa vifo akikatiwa ticket yeye atakuwa amejiingiza mwenyewe kwa huo mtego
🙏💪✌️