MTU ALIYEGEUKA NYOKA MTWARA “ANALINDA KIJIJI, UKIMUONA HAULALI NI NYOKA WA AJABU”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 275

  • @mrpopsuit
    @mrpopsuit 3 роки тому +78

    Amini usiamini lkn kila kabila lina mila na destuli lkn tukifika mjini tunaita ushirikina

    • @radhiambwana3353
      @radhiambwana3353 3 роки тому

      😃😃😃

    • @lightrich6436
      @lightrich6436 3 роки тому +1

      Upo sahihi Joseph

    • @salimabdul4424
      @salimabdul4424 3 роки тому +1

      Huyo ndio shetwan aanafanya yake.na mbele yatakuja kutokea zaidi ya hayo

    • @zaharakimolo130
      @zaharakimolo130 3 роки тому +1

      Kwahyo unasapoti hayo?? Naje huamin km kuna ushirikina?

    • @mrpopsuit
      @mrpopsuit 3 роки тому +2

      @@zaharakimolo130 hata wewe chimbuko lako lina mila na destuli zenu ndo nilikuwa na maana hiyo kuhusu kusapot hiyo ya kwako ww ulivyowaza

  • @msumimhando6601
    @msumimhando6601 3 роки тому +34

    Walimushirikiina finnari JAHANNAM khalidiina fiiha abadaa

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 3 роки тому +2

      Kwakweli ndugu yangu, hii ni shirk tu 🙌😥

    • @mbarakasuleimani913
      @mbarakasuleimani913 3 роки тому +2

      eleweni kwanza hiyo mila shiriki ni kingine

    • @hawaamohammed6687
      @hawaamohammed6687 3 роки тому +1

      Siku hiyo yakiama tutakuja kuyaona mengii Allah akituwezesha InshaAllah

    • @nangeboy5313
      @nangeboy5313 3 роки тому

      Mpumbavu wewe hiyo siyo shirki jinga wewe😠😠😠😠😠

    • @johaally669
      @johaally669 3 роки тому +1

      @@nangeboy5313 Hiyo ni shirik utake usitak soma dini usikane tu bila kusoma

  • @kellymwegelingoha.3306
    @kellymwegelingoha.3306 3 роки тому +18

    Afrika wengi wanaponda wamezoea kutangaziwa ushoga wa nchi za magharibi, wabongo hbana Wacha waendelee kujipaka vinyesi kutoka ulaya

    • @mrgeorgeisdory5277
      @mrgeorgeisdory5277 3 роки тому

      Upo sahiii tunakataa vyetu alafu wengine wanatoka kwao wanavifata na wanaviamini

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 3 роки тому +37

    Mnao tukana mnakosea, mzee na yeye Ana Imani take. Wewe mwenye dini Shika dini. Na ukumbuke kuwa hiyo dini ni ustarabu wa watu tu. Na ukiulza waganga wateja wao wengi ni wenye dini.

    • @erardmporoto2660
      @erardmporoto2660 3 роки тому

      Religion tolerance. Uko sahihi mkuu

    • @zaharakimolo130
      @zaharakimolo130 3 роки тому +1

      Unawez tuambia jina lako linatokana na nani?? Nani alieliita hilo jina

    • @mohamediabdirashidi1099
      @mohamediabdirashidi1099 3 роки тому +1

      We Adam fala kweli kamahuna cha kuchangia kaa kimya

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 роки тому

      Ttz weng tumezaliw mjin mamb ya Asil hatujuw

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 роки тому +2

      Muislam hawez kwenda Kwa mganga Mana akienda tu Akamuamin mganga tayar kashitoka kwenye uislam

  • @BeatricephilipKaishe
    @BeatricephilipKaishe 3 роки тому +5

    Dini nitamaduni za watu weupe hiyo ni asili yetu weusi acheni ubwege MTU kwao

    • @NoorPrince-v1v
      @NoorPrince-v1v 5 місяців тому

      Pia hata mola wetu alisema ole wao wanao sema dini nimambo yakale. Na.misemo tu ole wao

  • @mohammedalishamis9405
    @mohammedalishamis9405 3 роки тому +18

    Njozi za kishetani hizo someni dini ili muepukane na shirki

  • @jerryjuma1339
    @jerryjuma1339 3 роки тому +4

    binadamu Hana uwezo wakujibadilisha kutoka katika hali aliyoumbwa na Mungu ila hayo nimashetani yanatumia vitu vilivyoumbwa na Mungu, halafu nyie mnasema eti mtu kabadilika kuwa nyoka, haiwezekani hata kidogo, ila nawapa ushauri tu kwamba acheni kuyapamba hayo mapepo na mashetani Bali tubuni sasa leo namkubali kumpokea YESU KRISTO ili awe BWANA na Mwokozi wa MAISHA yenu

  • @lore4837
    @lore4837 3 роки тому +29

    HII NDIO ASILI YA WAAFRICA. Lets go back to our roots

  • @ismailnassor785
    @ismailnassor785 3 роки тому +16

    Muogopeni Mungu acheni shirki

    • @alicekanyama9401
      @alicekanyama9401 3 роки тому +1

      Ndio tumuogope mungu 👏👏👏👏👏👏

  • @shabanimwema7334
    @shabanimwema7334 3 роки тому +1

    daaa barakashee yote iyo ila hauna iman na mungu wako Walimushirikiina finnari JAHANNAM

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣babuu sitaki hatakumwona huyo nyoka japoni mlinzi huo ni mzimu nendenj msikitini wacheni mambo hayoo

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 роки тому +2

    Mzee acha shirk babu, kofia kama ganda la chungwa

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому +9

    Shiriki hiyo 😏😏😏
    Allah ndio muweza wa kila kitu 🙏

  • @hassanjaphari5710
    @hassanjaphari5710 3 роки тому +5

    Waone kwanza na vibagalashia vyao eti nyoka babu. Achen shirki muogopen Allah(s.a.w) izo imani ni za kipuuz mnashindwa kumuamini M/mungu eti mnaamini nyoka. Huo ni ushetani ulio wazi

  • @shamumaabdala6341
    @shamumaabdala6341 3 роки тому +4

    Uo mbona kama uchawi

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 3 роки тому

    Wote wanga ao uyo nyoka na uyo mzee anaemuona pkeake wote washirikna lao Moja mlinzi wetu ni Allah pkeakee

  • @jafarinahonyo7349
    @jafarinahonyo7349 3 роки тому +1

    Mmmh jamani nyie wamtwara wenzangu uweni huyo nyoka mtaumwa bureee🤣🤣🤣 mwenyezimungu hapendi mambo kama haya walmushirikina fii nnalii jahannam

  • @salummwanga8181
    @salummwanga8181 3 роки тому +4

    Kuamim iman hiyo ni kumshirikisha ALLAH, mamb yetu yajayo anaeyajua ni ALLAH pekee

  • @allykibabendingo8496
    @allykibabendingo8496 3 роки тому

    Duuuh htr xna haya maisha..!!

  • @mohammedsalum4418
    @mohammedsalum4418 3 роки тому

    Wewe mzee nimshirikina sana pia laana tullah

  • @georgeswaiswai4581
    @georgeswaiswai4581 3 роки тому

    Mnamuitaji Kristo ktk hicho kijiji watumishi wamungu fulsa hiyo

  • @KaskasTHEfinderCLIP
    @KaskasTHEfinderCLIP 3 роки тому +1

    Allah awaongoe na upuuzi wenu,MOHAMMED ALLAH akuongoe ndugu yangu

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 роки тому

      Allah akuongoze na wewe kwa adhabu ya kuukumu

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 3 роки тому

    Asili ya Africa ni mizimu we believe you broh

  • @sylvesterjose3286
    @sylvesterjose3286 3 роки тому +4

    Nyoka haonekani, huonwa na mtu mmoja, haya bwana... Kila la heri Nanguruwe, Napanya, Nasamaki nchanga... !

  • @eliassampa8719
    @eliassampa8719 6 місяців тому

    Hawa kina Mud wengi ni washirikina😂😂

  • @cideboy4676
    @cideboy4676 3 роки тому +28

    😂😂😂😂 shirki ushirikina umeshika nafas Sana hebu tumuogopen Allah

    • @lore4837
      @lore4837 3 роки тому +1

      hili ndio chimbuko letu waafrica.. Hizi dini nyingine zimeletwa na waarabu na wazungu

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 роки тому +1

      @@lore4837 hata hao wazungu na waarabu walikua wakiabudia masanam na mizim kabla Allah hajawapelekea mitume na watu wote ni wamoja awe mweupe mweus mbora Kwa Allah ni yule mcha mungu bas hamna namna nyingine haki imekujia acha ushirikina

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      @@cideboy4676 mm sipo

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 3 роки тому

      SubhanaALHA😭😭

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 роки тому

      @@heyumi2340 wapi🤔

  • @nasrimchopa678
    @nasrimchopa678 3 роки тому

    Huku mtwara kuna nn juzi nimeona sehemu mtu kageuka Simba Leo nyoka duhhh.

  • @abasishabani1151
    @abasishabani1151 3 роки тому

    Asili ya mwafrica hii hao ndo wazeee wetu

  • @husseinmaula5914
    @husseinmaula5914 3 роки тому +1

    Huko inaonekana kurogwa mara 1 tu

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 3 роки тому +1

    😀😀😀😀eeeh sa wanaabudu nn nyoka au Mungu

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 3 роки тому +1

    Mi naona hao Ukiwaambia kuna Mungu Sijui km watakuelewa!!

    • @eddamsigala1201
      @eddamsigala1201 3 роки тому

      Upo sahihi hata mwenye dini akiambiwa kuna mila kwenye vijiji vyetu hawezi Amin pia.....cha msingi simamia unachoamin...na si kupinga Mila au dini

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 3 роки тому +1

    Shiriki kubwaaa

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 роки тому +5

    Hadithi hizi....Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

    • @samwelpaul6944
      @samwelpaul6944 3 роки тому

      akuokoe na nini

    • @johnmalembo6464
      @johnmalembo6464 3 роки тому

      @@samwelpaul6944 atuokoe na mabaya yote, atuokoe na adui shetani, atuokoe siku ya kiama...n.k.. omba nawe kuokolewa kwa yanayo kusibu. Barikiwa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +1

    Inalillahi wainailahi rajuun. Shilki hi hawaachi salama mpaka vitukuu vyenu kama amjalilekebisha

    • @partnersah8802
      @partnersah8802 3 роки тому

      Kurekebisha vipi wakati wao ndo wanawalishisha watoto tena kwa nguvu

  • @bakamuubakamuu1556
    @bakamuubakamuu1556 3 роки тому +1

    Kazee kaongo iki balaaaa😂😅😃 eti nyoka huyo anamuona mtu mmoja tu anatengeneza mazingira ili watu wasichote maji Mzee nyoko snaa😂😅😃😀

  • @msanifgdf615
    @msanifgdf615 3 роки тому +5

    Acha ushirikina ww babu unaona sifa

  • @nth3512
    @nth3512 3 роки тому +11

    Hayo ni masheitwan yanawachezea watu

  • @BONGOKUMENOGATV
    @BONGOKUMENOGATV 3 роки тому

    Duh? Kweli maajabu yapo

  • @djkhalid4935
    @djkhalid4935 3 роки тому

    Bora uwe na imani hata teluthi ya kumjua mungu kuliko ambae Hana kabsa ibliss ni rahis kukuteka

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 2 місяці тому

    Watu Wakifanikiwa Mila Azina Mana Wakifeli Mbiombio Kwa Waganga Wakiwa Mikoani Vijijini Mila Wanazijua Wakiwa Mijini Mila Azina Mana Matumizi Mabaya Ya Akili Niliwai Kuona Nyoka Wa Mzimu Anapita Hata KwenyreMafuta Ya Diseli Afi Kumbe Ni Nyoka Wa Mizimu Yule

  • @georgeswaiswai4581
    @georgeswaiswai4581 3 роки тому

    Ktk Kijiji hicho nigiza nene

  • @ramahamidu
    @ramahamidu 3 роки тому +1

    Mzee limbende

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 3 роки тому +1

    Jamaa kateuliwa kuwa waziri wa afya baada ya kufukuzwa bungeni 🗣️

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 роки тому

    Subhan Alla

  • @mr.ydthefuture8458
    @mr.ydthefuture8458 3 роки тому

    Acheni kutupa stori za ajabu! Za uongo na kweli👎🏿

  • @veronicalubahi925
    @veronicalubahi925 3 роки тому

    Acha uongo wewe si unasali jamani muongope Mungu kaka wewe

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 3 роки тому

    Kazi ukhanithi tu!

  • @mpulitv8011
    @mpulitv8011 3 роки тому

    Mnafel wapi interview haija isha video imekatka

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 3 роки тому

    Wanasemaga Imani huponya!
    u never know🤷🏽‍♂️

  • @hamisalfan9150
    @hamisalfan9150 3 роки тому +2

    ihi ndo asiri yetu 🙏

  • @abelabebwa1549
    @abelabebwa1549 3 роки тому +2

    Huko uchawi ni mila na desturi😁

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 3 роки тому +1

      😅😅😅😅😅Yani nimebaki mdomo wazi

  • @rashidyyusuph4386
    @rashidyyusuph4386 3 роки тому

    Ushirikina hakuna anae badilika kuwa nyoka baada ya kufa na kuendelea kuishi

  • @alicekanyama9401
    @alicekanyama9401 3 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😲😲😲

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 3 роки тому

    Nyoka NI shetani

  • @LamwaiMfinanga
    @LamwaiMfinanga Рік тому

    Mila na desturi zipo jaman tusichangae

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 3 роки тому +4

    Mashehe waganga🤣🤣

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 7 місяців тому

    Niatali sana

  • @cypriankikoti9160
    @cypriankikoti9160 3 роки тому

    Nyoka siyo mtu bhana acha uongo mzee

  • @ahmadkilili4204
    @ahmadkilili4204 3 роки тому

    Akifa jee?Mrithi nani?

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 роки тому +1

    Africa yetu vitu vyet vya asili tunavizarau sijuw kwann Ila Mila na destur zip toka Enzi na Enzi tuach fikra potof

  • @hadijakingwenda8961
    @hadijakingwenda8961 3 роки тому +1

    Ukilala hapa unahisi nini kitatkea

  • @yasinichakotela6495
    @yasinichakotela6495 Рік тому

    Sio kweri niuwongo mtupu

  • @moonaamli6835
    @moonaamli6835 3 роки тому

    Nyie kaeni cku atakapo mla mtu ndio mtajua kama kachumbari mboga au chachandu Heti babu yake mmmh

  • @lawrencegwerino1656
    @lawrencegwerino1656 3 роки тому

    Ni upuzi kuona kuna watanzania bado wanaimani za kipuuzi katika kalune ya ishilini na moja..

  • @lidyahaule5343
    @lidyahaule5343 3 роки тому

    Ndoto za zamani ni za kweli za 2021 eti ni za uongoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kngdaeso5973
    @kngdaeso5973 3 роки тому +2

    Hii kofia ya uyu mzee xo ile ya HAMZA 😁

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 роки тому +4

    siwezi kuja uko mm

  • @abuusaalimalmasasiyyu9421
    @abuusaalimalmasasiyyu9421 3 роки тому

    Washirikina ndio walivyo na mashaytwawn wamefanikiwa kuwapoteza na wasipotubia motoni ndio makaaz yao

  • @omarathuman5813
    @omarathuman5813 3 роки тому +1

    Wamemsahau Mungu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    😳😲🙌🏿🙌🏿🙄😲

  • @swalehe555
    @swalehe555 3 роки тому

    Mhhhhh!!😳😳😳😳😳

  • @giftjulius7748
    @giftjulius7748 3 роки тому

    kila alicho kisema kinaukweli mimi mwenyeji wa uko tokea nipo mtoto niliyakuta ayo mambo ukibisha akikataza kitu frani kuna kuwa na madhara yake

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 3 роки тому

    Sinjomana na waambiaka siku zote ya Kwamba weslam Wana pendaka sana majini n'a ku iamini jamani hapa kuingiya kwa dini hiyo ya weslam kwasababu Wana pendaka sana kutumia majini

    • @salimusalim3610
      @salimusalim3610 3 роки тому

      Kama nyinyi hampendi mbona mkionyeshwa mkono tu mnadondoka kama sio mnaamini mashetwan mpaka kufikia kuita manabii huo niuganga wakidigital

  • @MapalalaPedeshe
    @MapalalaPedeshe 10 місяців тому

    Mr libende nyoka

  • @meritha8424
    @meritha8424 3 роки тому

    Peperusha hii story itawakuzia uchumi kitovu cha utalii

  • @georgeswaiswai4581
    @georgeswaiswai4581 3 роки тому

    Injili lazima ihubiliwe

  • @abuujunaid
    @abuujunaid 3 роки тому +2

    Dah eti Simba anakusindikiza huyu mzee huyu 🤣

    • @Zahrazahra-ue7bp
      @Zahrazahra-ue7bp 2 роки тому

      Yarikuwepo zaman ira sasa watu wamejifanya wamesaau mira kwetu anapita kipindi cha masika

  • @lizlee7808
    @lizlee7808 3 роки тому

    Sina hata hamu na kusini uchawi uko ndo ulikozaliwa

  • @naihfrank7306
    @naihfrank7306 3 роки тому +1

    Eee eh achn ujing amin mung tuu

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 3 роки тому

    Ila waislam buana smh...wanasahau hizo dini zimeletwa na watu tu...isingekuwa civilisation basi tungekuwa tupo katika imani hizi za kimila...imani ya mtu iheshimiwe tusiwage tunapangiana maisha..mwisho wa siku kila mtu aishi aaminivyo na mungu ndo atakuwa hakimu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 роки тому +2

    Yote hayo kuabud uchawi na ushirikina

  • @rabiaiddi5578
    @rabiaiddi5578 3 роки тому

    Duuuu kazi ipo

  • @abdallahamir9234
    @abdallahamir9234 3 роки тому

    SHAITWAN ANAWACHEZEA WAZIWAZI,
    MNAFANYA SHIRKI YA WAZIWAZI,
    S E N G E KABISA.

  • @nuruheartaman3466
    @nuruheartaman3466 3 роки тому

    Dah

  • @amourmunga8356
    @amourmunga8356 3 роки тому +5

    shirki

  • @meshackchibaladya6152
    @meshackchibaladya6152 3 роки тому

    Yani waislam bwana sijuwi wana nn waone na vikofia vyao Kwanzaa eti majini wao wanasema ni malaika

  • @Mnuanofilms
    @Mnuanofilms 3 роки тому

    Tumepigwa hapo

  • @salomemchewa5187
    @salomemchewa5187 3 роки тому

    Maisha ya kiafrica ndomana tunamaendeleo ,

  • @abuuswafuani2318
    @abuuswafuani2318 3 роки тому

    Shirki kubwa hii ambayo inamtoa mtu ktk uislamu

  • @hassanisaidi9860
    @hassanisaidi9860 3 роки тому

    HAO WASENGE WA MTWARA WACHAWI TU

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 3 роки тому

    Duu duniani Kuna maajabu sana

  • @paulmkalawa496
    @paulmkalawa496 3 роки тому

    Kijiji gani

  • @georgeswaiswai4581
    @georgeswaiswai4581 3 роки тому

    Hao ndio malaika wakislam

  • @ashurahaji9115
    @ashurahaji9115 3 роки тому +1

    Sasa huyo akifa nani ataona maono huyo nyoka kibwengo

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      Ni mchezo wa majini hayo ufanya hivyo ili kutaka kuwatawala binadamu hiyo hipo tangu kitambo hapo ndugu yangu hakifiki kitu ila watakufa watu na hayo mambo yanaendelea yani ipo hivyo mambo ya mizimu ni hatari sana na hauwezi kupambana nayo kama hauna imani kubwa ya kimungu basi lazima yakutawale naukifanya mchezo mwishowe nawe unakwenda kumaliza maisha yako kuzimu mpka mwili utakapo kufa kabisa yani ndivyo ilivyo sasa watu wengi hawana elimu kubwa ya kiroho na wanaofahamu ni wachawi na walimu wabobezi wakidini

  • @mbarakasuleimani913
    @mbarakasuleimani913 3 роки тому

    duuu nyie waongoo sana

  • @immaculateslegaray8627
    @immaculateslegaray8627 3 роки тому +3

    Waabudu mashetani ndo huwa huabudu vitu kama hivyo

  • @caskazinvibes682
    @caskazinvibes682 3 роки тому

    muonesheni huyo mtu acheni kuleta uwongo eboooo

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +1

    Uchawitu basi

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 3 роки тому

    Huku Iringa tunaita litemela

  • @traceykwamboka5693
    @traceykwamboka5693 2 роки тому

    Mashetani mashetani ashindwe