Maendeleo ya Kigoma Ujiji ni matokeo ya kazi za ACT Wazalendo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Juhudi za kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura

КОМЕНТАРІ • 14

  • @sylvestermbonimpaye1566
    @sylvestermbonimpaye1566 5 років тому +4

    nilikuwa uko miez sita ilopita nmeona mabadiliko makubwa hongeren viongoz lkn bado nyumba na majengo ya mji ni duni,ni mngetenga baadhi ya maeneo kama mjini(steshen) kuja mwanga kukawa na restriction ya aina za nyumba ili kuufanya mji kuwa wa kisasa coz saiv haieleweki center ni wap.pili endeleen kupigania angalau kabla ya 2025 mkoa uwe connected na mikoa ya kagera na tabora plus grid ya taifa.Hayo yakikamilika mtakumbukwa sana na wananchi hawatakuwa na LA kusingizia kwenye umaskin

  • @kigomatalentschildcareopha4834
    @kigomatalentschildcareopha4834 5 років тому +3

    Tunakulewa vizuri unachofanya kwa Maendeleo ya Jamii ,Sio rahisi kukwepa au kukupinga ..Tuko PAMOJA Mbunge wa wananchi .Tunashukuru sana
    ua-cam.com/video/nPvYV_7H2FE/v-deo.html

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 5 років тому +2

    act wazalendo 2020 ndo itashindana na chadema kama na ww una amini kama mm like hapa kumtoa hofu zitto

  • @superangent8605
    @superangent8605 5 років тому +1

    Zitto Kabwe Ww NDIO MBUNGE. BORA Tanzania 2020, KurA yang CHUKUA

  • @mohamedkazema6381
    @mohamedkazema6381 4 роки тому +1

    Safi sana, Naomba Mungu azidi kukulinda na kukupa uwezo wa kutetea si wanakigoma tu bali Watz wote kwa ujumla.

  • @brunokisubi
    @brunokisubi 3 роки тому

    Mubarikiwe

  • @nichoraustakika1057
    @nichoraustakika1057 5 років тому

    nakubal sana yuor our hero

  • @mgunyajunior1565
    @mgunyajunior1565 5 років тому

    hakika zityo watu watakuponda ila wananch watawaelewa tu .

  • @shekhhassanshahavanpage6421
    @shekhhassanshahavanpage6421 4 роки тому

    karii zitoo kabwe

  • @nestoryphiliberth4354
    @nestoryphiliberth4354 5 років тому

    upo sahihi sana yaniiiii

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 роки тому

    Sema serikali imejenga!

  • @henryndosi1114
    @henryndosi1114 4 роки тому +1

    Hii ni kazi ya CCM,,pimbi wewe