HALIMA MDEE AFICHUA MADUDU BUNGENI "ANANIPOTEZEA MUDA INAKERA, SIPOKEI TAARIFA AMBAYO HAIELEWEKI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 18

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 6 місяців тому +5

    Ukovizuri Madam Halima, nijasiri sana hauogopi ,nakupa 🎉 yako Mungu akulinde kuna siku watakuelewa

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 6 місяців тому +2

    Uko vizur Mh Halima Mdee MUNGU akutunze sana

  • @aidanmaliyamacho9368
    @aidanmaliyamacho9368 6 місяців тому +1

    UKiwa msomi afu unaweza kureason Halima anatumia taaluma yake vizuri kuna wabunge wengi hapo ata hawajamwelewa Halima wanasubiri posho maana hawawez wakakaa chini wakasoma wakajenga hoja

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 6 місяців тому

    Saaaaafi sana ❤

  • @rehemageorge9506
    @rehemageorge9506 6 місяців тому +1

    Hawa wana faa kuitwa WABUNGE wa KITAIFA maana hawana chama kwa sasa 😂😂😂😂 safi sana halima mdee

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 6 місяців тому +1

    Siku zote Halina uwa namuelewa sana hoja zake.

  • @vincentvenance321
    @vincentvenance321 6 місяців тому +1

    Halima uko sahihi kabisa ngoja msiba wa Mh Lowasa upite Tumtume Mh Makonda atembelee hapo kitaeleweka tuu na Mh Makonda usimuogope mtu tutakufunika kwa damu ya YESU!

  • @fidelludemwa7223
    @fidelludemwa7223 6 місяців тому +1

    Naombeni no.ya harima mdee jamani

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose 6 місяців тому +2

    Wataalam wa ulaya walishasema africa si rahisi kumaliza miradi yao kwa sababu viongozi wa africa wanapata amri kutoka kwa viongozi wa ulaya!

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 місяців тому +1

      Hilo liko wazi kwa anayejielewa❤❤❤🎉🎉🎉 point Iko poa sana

  • @user-tx5nc4zq4g
    @user-tx5nc4zq4g 6 місяців тому

    Uko vizuri hlm

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 6 місяців тому +1

    Wewe unayecheka pembeni anaongea mambo yakitaifa acha tumsikilize

  • @user-zl3le1wz2u
    @user-zl3le1wz2u 6 місяців тому

    Spika kuwa mwelewa bunge lako lina makundi mawili kuna watu wa ndio mwanzo mwisho hawataki kuikosoa serikali hata wakikuona unakosea kwao ni raha tu.Kuna kundi la upinzani hupata siri hata kabla yako wakitaka kuepusha Serikali na migogoro isiyo ya lazima katika maamuzi yake kundi hili lina msaada kwako.Ni juu yako kupima maamuzi unayotaka kuyafanya.Always be careful usishangae kundi dogo linakuwa na usumbufu katika kazi zako nzuri

  • @JobbyMkagulu
    @JobbyMkagulu 6 місяців тому

    Duh Halima umenona sana mdogo wangu

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 6 місяців тому +1

    Huyu na wenzake kwani bado ni wabunge??

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 6 місяців тому

      Hawa ni Wabunge, itake CHADEMA iitishe Mkutano Mkuu ifanye maamuzi ya mwisho.

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 6 місяців тому +1

    Halima akili kubwa pamoja kuwa msaliti wa chadema shida unaongea na akili dogo na watalamu wa majizi hakuna majibu hapo walishapiga hao wabunge na mawaziri wa mchongo

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 6 місяців тому

    Halima akili kubwa hakuna anayeweza kukujibu wabunge wa ccm wa mchongo akili dogo jitu kubwa mvii mpka ukuda mtupu