Mhashamu uliyekuwa Baba Askofu wangu Mbulu,kwa nini useme uwongo,ni kweli kwamba Askofu msaidizi wako anatumia chumba cha kulia chakula kama ofisi?😂, Je wakati waliweza kujenga chumba cha kwa ajili ya kula,walishindwaje kujenga kaofisi ya mkutano,kwa hiyo ina maana huyo Askofu msaidizi wako hana parokia ambalo kuna ofisi ya kukutana na waumini wake?
Ameeleweka baba
❤❤❤❤
Asante Sana baba
Akhsante sana
Mmmm!
Tuko pamoja Baba.
KRISTO NA AZIDI KUWA TUMAINI LETU
Mhashamu uliyekuwa Baba Askofu wangu Mbulu,kwa nini useme uwongo,ni kweli kwamba Askofu msaidizi wako anatumia chumba cha kulia chakula kama ofisi?😂,
Je wakati waliweza kujenga chumba cha kwa ajili ya kula,walishindwaje kujenga kaofisi ya mkutano,kwa hiyo ina maana huyo Askofu msaidizi wako hana parokia ambalo kuna ofisi ya kukutana na waumini wake?