Jitenge na watu ambao hawakutakii mema ,watu ambao hawataki ufahulu jiepushe nao ambao wanajifanya marafiki lakini nia yao wakunyoe Nywele wakuache KIPARA mwisho waanze kukucheka be very, very careful 👉👉👉
Nitenge na lutu mungu wewe ni mwaminifu Bwana akuna mwingine kama wewe simama nasi tunakuomba utufundishe kukaa katika njia zako mungu akubariki sana dada nimebarikiwa 🙏🙏🙏
Am from Zimbabwe and I listen to Fenny's music, this artistic is ever good. This is a gem of its kind and keep it up Fenny. Please leave this fair of music to your upcoming daughter
Hapo sasa lutu analeta giza sioni mbele,,,, Mungu fanya ile kitu bana asonge kando nipite kama mshale nishachelewa kwanza mie duh 😂😂😂😂umeuwasha moto haki... Hii ni moto kama pasi,,,acha tubarikiwe pamoja... Well done mtumishi... 🙌🙌🙌🙏🙏🙏kasongeee
Fenny Kerubo has been ever good with her music especially her video wherein she invests time and resources to come up with quality videos. i always watch her videos such as mama, mark of the beast, Esabari, and umewanyamzishi just but to name a few
Jitenge na watu ambao hawakutakii mema ,watu ambao hawataki ufahulu jiepushe nao ambao wanajifanya marafiki lakini nia yao wakunyoe Nywele wakuache KIPARA mwisho waanze kukucheka be very, very careful 👉👉👉
It's very true 😢
Eeeish my dear.. Powerful, fire 😂😂❤❤. Hii kali sana. God is on your side. You are blessed to be a blessing. God bless you more
True , ❤
Be blessed mama 🙏 ❤️ 💕 nnakupenda bure ❤❤❤
Kwa jina la YESU mama yetu utaingia trending as soon as possible 🙏🙏🙏🙏Neema ikubebe na ivunje Sheria 🙏🙏🙏
Asante kwa ujumbe nzuri na wenye mafunzo zaidi , mungu niondolee lutu nipige hatua mbele blessing galore🙏
Hii imeenda trending walai, mavazi mmmmmmmwa, wimbo mwwwwaa wow congratulation mum, in the name of Jesus hiende top trending pia video top trending
Weeeeuwe,moto fire,fanya collabo na Rose Mohando
Kamba land confirmed 👌🎸🔥🔥
Ekiababa umetoka mbali... Jesus is lord
Huu wimbo unanifurahisha kabisa
Aminaaa, Message Send Mum❤,Good quality naipenda sana
Tarentend Roho mtakatifu wa Bwana anena nami niwaulize Kama mnaweza nikubari
Jitenge na lutu...wapi likes za Mama Fenny Kerubo
🎉🎉
Barikiwa sana feny
Hii sasa Kali huwezi in choka damuuuuuuuujjj
Ukweli loto ni wengi mungu tusaidie
Lutu wote washindwe kutoka Kwa maisha yangu,,,barikiwa sana Fenny mama Kwa wimbo mzuri🙏🙏🙏
Pato nakuona....nafurahia sana kuona ukicheza na our fenny
Wewe unabaki tu kidogo ukae embarambamba😂😂😂.. juu hiyo dance weeu!!! I just listen to volume songs juu ziko tu quit and humble
Nitenge na lutu mungu wewe ni mwaminifu Bwana akuna mwingine kama wewe simama nasi tunakuomba utufundishe kukaa katika njia zako mungu akubariki sana dada nimebarikiwa 🙏🙏🙏
Nitolee Lutu ..Nibarikiwe amazing piece sis Fenny ..like hata 10 please
Mm nlkwama kwa uniform 😅😅 nakupenda sana mamangu much love pia mm nadai kuwa kama ww
Napenda jinsi kiswahili cha fenny kilivyo sanifu❤❤
Haki FENNY NA ROSE MOHANDO mumetoa bargers at the same time...feeling blessed my all
Lulu from tiktok ❤❤❤❤be blessed mummy all the time
Am from Zimbabwe and I listen to Fenny's music, this artistic is ever good. This is a gem of its kind and keep it up Fenny. Please leave this fair of music to your upcoming daughter
Waaah fenny mungu anakupenda congratulations song
Umepiga kazi sasawa hakuna mchezo. Wewe ni brenda fassie o'kenya. Hehe
Ni heli kujitenga na rutu kabla akijaumana nice song sizy God bless
Ubarikiwe zaidi na zaidi🙏🙏
Hapo sasa lutu analeta giza sioni mbele,,,, Mungu fanya ile kitu bana asonge kando nipite kama mshale nishachelewa kwanza mie duh 😂😂😂😂umeuwasha moto haki... Hii ni moto kama pasi,,,acha tubarikiwe pamoja... Well done mtumishi... 🙌🙌🙌🙏🙏🙏kasongeee
Anytime i listen to your songs i receive a call may God continue uplifting you 🙏🙏🙏💕💕
Aminaaa , thanks Fenny Kerubo🎉🎉🎉
So amazing sister more pleasings sweetheart keep going God is with y🎉🎉🎉🎉
Mmmmmm kabisa. Fenny this Is more fire.....Keep going my sister Nakuheshimu
..
Asante dadangu napenda huduma yako acha Mungu ajitukuze kwa ajili yako 🙌🙌🙌🙌
@FennyKerubo i like the strength in you,,, kazi yako ni safi❤
Wow ,,, proud of you queen kisii land ,,,, congrats 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mamaa
Asante Kwa hiyo wimbo inanitia nguvu Sana.
I can't reglating our kisii lady doing best Go girl am so happy for you 🙏🙏🙏🙏🙏
Nilitaka kupiga hatua Lutu haondoke, Amen kazi nzuri dada yangu in Christ.❤ ❤❤❤
Nice one mama,,, neema zaidi kwako
Well done mum I saw you from jacaranda blessings us with your songs thanks keep it up 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Mzourissana sana sana ❤️ 🔥 ❤️ 🔥 ❤️ 🔥 ❤️ ❤❤❤❤❤❤❤❤
kazi kubwa sana dada yangu
Jitenge na wenye hawataki uendelee,God bless you
Najitenga Na hao wachawi wangu..nice song Fenny
Napenda Sana KAZI zako dada namuomba mungu siku moja tufanye kaz, pamoja Peace from Taanzania
Wooow ... hata sauti iko clear❤❤❤❤ tujitenge na Lutu
Aty wakisii hatuna figure iyo ni Nini my dear you always present us we'll
Hapo hapo songa mbele kuzuri endelea kutuinua kiroho ❤
Ameeen,,niondolee kina lutu in my life
Wow, may God's favour and mercy locate you always tausi na team nzima, following from Denmark ❤
wow sweet song ❤❤❤ napenda kusikia nyimbo zako na kuzidance naomba siku moja nitakutana na ww nakupenda sana
More than rose muhando😂🙏🙏always inspiring
The reality about God's blessings is that it can even Surprise you yourself how far it would shock the enemy.
God bless you woman of God
Amen
See this woman oooh kisii product, go go go habibt ❤😂😘
Nice to listen at your songs I'm blessed with their songs is me from jacaranda ground we were blessed may God bless you Mum❤🙏🙏
Kazi safy sana Kama Kawaida yako mama Yetu❤. Congratulations 🎊
Am really humbled my brother 🙏🙏🙏 na kushkru kwa support yako acha Mbingu sinenene mema kwako
@@FennyKeruboAmen
Asante sana mummy kwa kujitoa kuhubiri injili
good work. God bless you my love Fenny in Jesus Kristo.
❤ powerful song ,mungu aendelee kukuinua zaidi mum 🔥🔥🔥
More Grace dear lazima waondoke tunawiri
So impressed by you ❤❤❤❤💃💃💃
Lovly song omwana ominto ❤❤❤
Amen.barikiwa.sana..nami.mungu.anitenganishe.na.lutu
Safisana.ujumbe.mzuri.mungu.alichosema.itakuwa.hakika..mungu.nimwaminifu.haleluya❤
Weuuh,nilikuona live crusade ya pipeline..you arw blessed woman
❤❤❤❤ nkupenda sanaa ❣️💕💕🌹💕🌹
Fenny Kerubo has been ever good with her music especially her video wherein she invests time and resources to come up with quality videos. i always watch her videos such as mama, mark of the beast, Esabari, and umewanyamzishi just but to name a few
Napenda songs zako kerubo 5:50
❤❤waah moto sana lutu nimejitenga nae kabisa barikiwa sana dadaa
We love you our kisii land sister may God bless you,
Unazidi kunibariki kila wakati na nyimbo zako
Lutu kaa mbali na Mimi 😢keep on doing the good job
Ukijitenga na watu ambao hawatak ufaulu uta fauluje sasa wakati daraja hukuvusha kandoo mm naomba aduw muwe wengi kwangu😊😊
More ❤❤❤❤ from Uganda 🎉🎉🎉🎉 JESUS is the way the truth and the life
Blessings to you my dear sister may God continue annoint you to also bless us much love from team strong
I like the song iko na information poa sana, sister my dear God bless 🙏
I love 💕❤your music here south Arabia aim enjoying 😮😮shukran
Barikiwa san fanny
wonderful job you are doing mum always looking up to your good ministry
I like the moves,inaenda haraka sana,
Fenny mamangu u blessed us day and night be blessed too our dougther from kisii🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
❤ I love the song jitenge na lutu
Hongera Sana Dada Mtoto sana hii🔥🔥🔥🔥🔥
Love you mom..yes lazim lutu aondoke nibarikiwe
💃💃💃💐💐💐💐💐💐💕💕💋💋💋💃💃💃💃💃🔥🔥🔥🔥🔥🔥 our gusii gospel mama 🙌 ❤️ 🙏
Mungu amekupea jia go go go nice message nice words❤❤❤❤ mungu akupeleke Bali zaid mamangu ❤❤❤❤❤
Wow! Congratulations mum🎉🎉🎉 this is hit song
Supeeeeer🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lutu wataondoka kwa jina la Yesu
Oh my lovely sister wewe ni wa baraka kubwa sana, acha neema ikubebe kwa viwango vya juu sana
Waah unaweza
Thank you mama kwa hii wimbo
wapi likes za Fenny kerubo amefanya ile kitu tena❤😊
Jitenge na Lutu....such an amazing song
Wauuuuu umeweza kali yaoooo
Be blessed malkia fenny lazima Ruth aondoke
It's the energy for me. You see when you're singing from the heart.... The heaven charubins and angels come down to sing with you 🎉❤❤.
Ubarikie Zaidi n Zaidi mummies 🙏May God bless you 🙏🙏🙏💕
Avery serious woman in the work of God be blessed
Watching from malindi aki hii moto sana mama
Keep the Gospel ministry alive ❤❤❤❤God bless
Never quit for circular music God loves you omwana omintooo❤❤❤🎉🎉🎉
Nimejitega na lutu god bless you
Amen Aaamen ..my Lutu back to hell in Jesus name Amen Aaamen.
More grace mtumishi.
Love you for free my role model more grace fenny