HEKIMA HALISI | Bishop Dunstan Maboya - Uvumilivu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @NyabonyiKairo
    @NyabonyiKairo Місяць тому +1

    Dah. 2024 ndo nasikia hili neo tena siku ambayo nmekata tamaa kabisa
    Leo ndo siku ambayo nilikuwa nmemwamnia Mungu kama s ww bas wacha niendelee na maisha yangu vyovyote na nakutana na hili neno
    Asantee Mungu najua bado una kusud na maisha yangu licha ya haya yote nnayo pitia

    • @cagkcm
      @cagkcm  Місяць тому

      Hakika ana makusudi na maisha yako. Bado ana mpango nawe na anakuwazia mema.
      Kabla hajakuumba alikujua na kabla hujatoka tumboni mwa mama yako alikutambua...
      Yeremia 1:5

  • @NicolausAbedinego
    @NicolausAbedinego 3 місяці тому +2

    Nakuelewa Sana mtumishi

  • @elicemapunda392
    @elicemapunda392 2 роки тому +2

    may GOD uplift you from glory to glory

  • @user-rq3ke5ni6z
    @user-rq3ke5ni6z 8 місяців тому +1

    Namkubar sana mwamba

  • @leahlozichipande5201
    @leahlozichipande5201 Рік тому +1

    Amen

  • @lusango8038
    @lusango8038 2 роки тому

    Hongereni Sana ICT /IT team .

  • @MtambaMathias-jh1vl
    @MtambaMathias-jh1vl Рік тому +3

    Jaman kanisa Lako lipo wapi kwa apa daresalaam

    • @cagkcm
      @cagkcm  Рік тому +2

      Lipo Ubungo Shungashunga karibu na bandari kavu ya ufi.
      Karibu sana Mpendwa.

  • @taangaadelina595
    @taangaadelina595 2 роки тому +2

    Wekeni somo mwanzo mpk mwisho ili na sisi tujifunze

    • @cagkcm
      @cagkcm  2 роки тому

      Amen. Tumepokea, asante sana

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Рік тому +1

    Matunda yao