Hongera sana Zembwela kwa kuitendea haki taaluma yako, Nilikuwa sijui kama huyu mzee Manjunju ndiyo aliyekuwa anaiigiza sauti ya kinyanwezi kwenye michezo ya Pwagu na Pwaguzi.
Yaa FARUKU...nakumbuka KIDONGO CHEKUNDU ....magunia yamezungushwa watu wanaangalia show....!...Na Kwa Taarifa tu zamani mwanaume ulikua ukikata mauno unaitwa SHOGA...!
Nilikuwa ckosagi kipindi cha pwangu na pwaguz nakumbuka ilikuwa mida ya jion kabla ya taarifa ya habari ya saa moja ilikuwa inaitwa sauti ya tanzania zanzibar
Hongera sana Zembwela kwa kuitendea haki taaluma yako, Nilikuwa sijui kama huyu mzee Manjunju ndiyo aliyekuwa anaiigiza sauti ya kinyanwezi kwenye michezo ya Pwagu na Pwaguzi.
Safi Sana wasafi TV inapendeza shukulani mzikufikie Aduli 🎹🎤🎹🎤daimod Putnam wasafi juu,juu juuzaidi
Zembwela asante kwa busara zako za kutafuta Historia zetu, naomba usitoke kwenye mstari huo huo
Big up Zembwela nakukubali sana unatukumbusha mbali sana namkumbuka manjunju kwenye chakacha alikuwa anakuja nyumbani tandale kwa mtogole
Mimi nimekulia Relwe gerezani lakini tulikuwa hatukosi kidongo chekundu.hasa siku za Eid
Zebwela wewe ndio mmoja wa watangazaji mzalendo sana yaani napenda sana unavyotutia moyo kwa sisi wenye maisha ya chini mungu akulinde sana aisee
Ndugu. Mtafute mzee mmoja anaitwa Amiri Andanenga. Bado yupo hai. Mshairi kipofu na wa miaka mingi sana. Watu wengi wanadhani ameshafariki
Wazawa wenyew wa mwananyamala b tunajua apo palikua pana pigwa chakacha lila wiki🚶♀️
Beutiful people.peace waswahili.love u.
Masikini wee Allah amrehem baba yenu jina nilibaki watoto wako mzee manjunju
Tausi is so respectful
Kitaa changu hicho kwa manjunju mbuyun nmepamis sana now nko tunduma border aisee imenikumbusha mbali sana zembwela
Noma sana hiyo nakubali sana zebwela 🔥🔥
Pamoja niko nyuma yako
Africa bana hona maisha ya watoto wa alikuwa polisi.Marekani na nchi zinazoendelea mnashikwa na serekali Kama vile wafalme. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Safi sana nimependa. Mtoto wa sita wa mzee manjunju 😂👍
Mimi mswahili wa Mombasa... Kila nikitizama naona hamna tofauti kubwa baina ya Dar, Tanga na Mombasa. Asili yangu Arusha tz.
Tuwekee historia ya mama haambiliki na mzee kipara
Uyu MSWAHILI ni kongwe sana ni mzee kijana
Jina la manjunju lilianza miaka ya 92 kabla ya hapo kulikuwa kunaitwa vijana na hayo makabuli na ya Mzee mara mara na msikiti wake upo mbele
Hongereni wtt wa mzee manjunju na babu zembela
Dooo! big up san bonge la kipnd mzee baba
Duuh nakukubali zembwela yani wew mswahili wa kweli hutupa vitu vinoma tusioyo sukwa tu najuwa
Walituiga wamombasa ndo chakacha ilipotokea😍😍
Chakacha ndio ngoma gani jemen
Adi Raha yani
Yaa FARUKU...nakumbuka KIDONGO CHEKUNDU ....magunia yamezungushwa watu wanaangalia show....!...Na Kwa Taarifa tu zamani mwanaume ulikua ukikata mauno unaitwa SHOGA...!
Nilikuwa ckosagi kipindi cha pwangu na pwaguz nakumbuka ilikuwa mida ya jion kabla ya taarifa ya habari ya saa moja ilikuwa inaitwa sauti ya tanzania zanzibar
Zebwela kapatikana na waswahilli original
Nasoma vizur sana
Mashaallah
pumzika kwa Amani mannjunju
Eti kwa Manjunju shusha huo mdomo ulivyoufanya 🤣🤣
Hahaha kila week chachaka hapo Mzee manjunju uzio ulikuwa magunia
Good job
Safi
Dah mitaa ya home kabisa babu
Kumbe kazikwa hapo Mbuyuni njiani
Tausi ni tausi kweli
❤️
Nyimbozetu,,Mnanda
Big sana
Inabidi ufike na nyumbani Mwananyamala Ujiji Zembwela
Home
Tausi wee, umenikumbusha chakacha la longii
Br.Zembwela chuma cha pua leo umechukua point3.
Ulichokipanda ndoutacho kivuna 🙏
Zembwelaaaaaaz
Zembwelaaa
F naenda nnalia
Mahaba si nguo ingekuwa hivo tungevaliana
Jamaa ana data zackutosha haswa
Yaa yupo vizur Sana kumbukumbu za kutosha
Zembwela we kiboko
Pindi kubwa kulikoooo
Hahaha eti ashaonekana anakuna Nazi bado wakumbka
Duuuu
Daaaaaa mnandaaaaa huoooo jamaaa ingia kazin weweeeee
😁😁
Muwalipe hao familiya
Nahs hua wanalipwa sio buree hyo
Zebwela ban unamambo san
🤣🤣🤣
Nyumbani
Mashaallah