You prolly dont give a shit but if you are stoned like me atm you can stream all the new series on instaflixxer. Have been streaming with my girlfriend for the last few months =)
Unafika bila hata kutegemea aisee safari ya wengi rahaaaa ndio maana napenda tren kuliko basi 😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌 MUNGU awatangulie katika safari yenu mfike salaama
Mungu awatangulie mfike salama. Ila wasafi fanyeni mpango mtafute yale magari kama ya wachezaji wa nje jamani Ivyo vicosta me siviamini ata kidogo...ni kweli siku yako ikifika inakua imefika lakini lazima tufanye juhudi zakulinda maisha yetu kwanza...Hivyo vigari ni risk sana aisee na ukizingatia gari lina baadhi ya malegends
Omba 1 afanikiwe na wengine wapate ridhiki zao .Ombeni na mm nifanikiwe Ili wengine wapate ridhiki zao na mm naomba onaesoma comment yangu ufanikiwe Ili wengine wapate ridhiki zao.Mungu zipokee dua zetu.
Mvp bila makeup ni chikubalanga sukari ya warembo ahmedabdallah nae kanipa wakati mgumu nikimcheki kwenye sports arena anavyo weka pozi la dadake na hapo alivyo kibandidu mbona mtihani
Mnajua Raha ya mtoto wa kiume asifiwe kuwa simba sio binti Kwa hiyo so vibaya Simba kupenda warembo vibaya kuwa shoga kama warembo poa Sana mama dangote hoye umezaa Simba wa kweli akitokea mwenngine photocopy Simba juu
DALILI ZINAZOASHIRIA KWAMBA UNA TATIZO LA BAWASIRI 0689794748 🥦Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa 🥦kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia 🥦Kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa 🥦Kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo 🥦Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana Namna ya kupata suluhisho Wasiliana nasi kwa namba 0689794748 0719191328
Mungu awajaalie katika safar yenu mfike salama jaman ndo maombi yetu kwenu🙏🙏
Baba levo is always motivated people on wasafi trips
Walijua tu 😂😂😂
uyo dereva nipate namba zake
nasukia anavyo bonyeza
You prolly dont give a shit but if you are stoned like me atm you can stream all the new series on instaflixxer. Have been streaming with my girlfriend for the last few months =)
@Maximo Mohamed yea, I have been using Instaflixxer for months myself =)
ALLAH awatangulie kweny safar yenu namkubal sana diamond platnumz
Who cares
Nampend diamond
Sam Misago nimewapend
On that video happy to see gingi money Tanzania sumnua 🔥🔥🔥☄️☄️☄️ we love 💗 gingi honestly speaking🪐🌍☝🏽
Baba levo ni kituko hahahhhahahaahaa
......yaani ni mwehu ........baba levo like kwake........@@
Ila mmeshonana katika hilo basi jameni 😣😣 mfike salama 👏
Nawaona George Ambangile Ahamed Abdallah na Edo Kumwembe Naona mnaEnjoy vituko vya baba levo. Safe journey
WCB wanatembea kwa makundi kama wanafunzi wa FIRST YEAR 😊😊😊😁😁😁
😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾
Unafika bila hata kutegemea aisee safari ya wengi rahaaaa ndio maana napenda tren kuliko basi 😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌 MUNGU awatangulie katika safari yenu mfike salaama
Saana maisha ni watu na kufurahi
Umenifanya nikapande treni.hahah
@@merryjulius4098 😂😂😂 Haujutii kupanda tren aisee kwanza mkikutana mule wote mnakuwa Ndugu kwa mda
Nampenda sana Baba Levo yaani ananichekeshaga sana huyu. Awe comedian
Sema hii style ya kusafiri na mabasi wasanii wote sijaipenda mungu awalinde
Tafuta style yako
Ivi hao wanao sinzia mumewatos wap mm nimependa mitan ya babalevo na rayvny na Gigy money
Safari njema ma people ma family and my entertainment... wCB for life😘😘😘😘😘😘😘
Safari njema kwao 🙏🙏
Mungu awatangulie mfike salama.
Ila wasafi fanyeni mpango mtafute yale magari kama ya wachezaji wa nje jamani
Ivyo vicosta me siviamini ata kidogo...ni kweli siku yako ikifika inakua imefika lakini lazima tufanye juhudi zakulinda maisha yetu kwanza...Hivyo vigari ni risk sana aisee na ukizingatia gari lina baadhi ya malegends
😂😂😂😂😂 so much fun mfike salama tunawapenda jmn
Nawaombea mfike salama na show imalizike salama
Another one
Uyoo babe levooo .mnyamweziiiiii
Mungu hawatangulie mludi Salam
Tunampenda Sana wa Kenya natuma salam Simba hoye hoye toka lini Simba akaogopa nzi Simba juu
Ommy umelazimishwa kwenda
Omba 1 afanikiwe na wengine wapate ridhiki zao .Ombeni na mm nifanikiwe Ili wengine wapate ridhiki zao na mm naomba onaesoma comment yangu ufanikiwe Ili wengine wapate ridhiki zao.Mungu zipokee dua zetu.
Daaaa amina......nimekubali pia nawe mungu akubaliki.
Aaamina thumma amina
Nimekubali
Amen
AMEEN
diamond plantimumz and mbosso are so silent akii
Mbosso nampenda
Huyu Baba levo bado ni diwani😂😂😂😂
Watu 73 point 4😂😂😂
😂😂😂😂😂
Wapili hapa like zangu jmn
Jamn Mr ngongingo 2liza kelele
Hayo makopo mekundu ya glass kwa wasanii ni fashion au maana tokea wametoka dar wameyashikilia mikononi hadi kahama 😅😅😅😅😅
Pepsi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Safe journey....
Ambangile yuleeee na kipara chake..😂😂 Mzee Edok Mwembe anacheeekaa😂😂. Huyu Baba Levo Mungu anamuonaa😂😂😂
Gigy eti aah una nidhalilish1 weye nae 🤣🤣🤣 Babalevo shkamoo 😄😂💥
wasafi 4 life
Wana Nzengo.....we can't wait to see you guys.....
Ila kuwajaza hivi safari ndefu ni makosa wangewagawanya mabasi mawili
Pasinge kua na vibe Kama wangegawanywa
Bab levo maneno mengi
Baba levo yuawachangamsha, ila ana mbwembwe sanaa
Baba levo daaa sio kwa kuongea huko
Mbona kichwa cha habr kama kina uhongo flan iv
Baba levo hatariii
Mondy next time chukua basi kubwaaaaa...mamb ya kukaa kweny mlango kina momo halaf safar kahama😂😂😂
Iwe safari ya kheri salama na baraka nyingi ndani yake upendo mashirikiano furaha na mafanikio zaidiii na zaidi. Family WASAFIII.
God be with you
Baba levo mshamba sana acha kutema mate broo
73.4
Rayvvany una chekesha duuh!!!
Ila baba levo nyoko sana
Nai kakutan na shoga ake 🤣🤣kawa mpole ,,
😂😂😂☝️
Mfik salam
A.ah
Wanachowaza DIDA n'a AMBANGILE mi nakijua
Ambangile na Ahmed wanawaza UEFA tu hawaelewi
😂😂😂😂
Baba levo huna mshipa wa noma !
WCb 4life
Baba levo kama baba lao
Baba levo jmn
Baba levoooo
Baba Level kiboko aiseee kwa uongoo
Hizo ndo sura zenu na rangi zenu sio zile pich za insta🙌🙌😃😃😃🥰
Mvp bila makeup ni chikubalanga sukari ya warembo ahmedabdallah nae kanipa wakati mgumu nikimcheki kwenye sports arena anavyo weka pozi la dadake na hapo alivyo kibandidu mbona mtihani
@@yasirhassan9296 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yan WCB walimuandka Baba Levo kwa Kaz hyo tu yakuwafraisha
Babalevo namkubali saaana kwa vituko vyake
Yani babalevo asipo kua apa kmya
Ambangile na Ahmed wanawaza UEFA tu hawaelewi😂😂😂😂😂
😂😂😂
Umeonae hawana mda kabisa
Kama umemuona hastone. Like hapa
Nice
Jamani wasafi muna raha sana
Chui 4life
Mbosso haonekani
Gigy money mama lao hapo 😃😃
Sielewi hizi jokes za Kiswahili 🇰🇪
kudate na mnigeria ni sawa na kuvaa BOMU hahahaha
Ricardo momo ndio konda au?
Pombe sio chai😁😁😁
Gigy ft baba levo hatariiiiii!???
Wazanzibar hakunaa staar kila mmojaa starr
Sasa umeeongea Nini jmn
Baba Levo hajisikizi na kupima aina ya maneno anayoyaongea
Baba levo kichaa sana 😂😂😂
Jamani uchebe na shishi hawapo
Kizazi sana leo wakwanza
Mbn mboso na lavalava hawaonekan
Mboso Kaka na vann boy yupo dirishan
@@husseinremmyjohn2350 ok lavalava
Rayvanny n nywele za pisi hapo
Gigi nimuhuni mkumba anatakaharibu anataka aharibu penzi simba na zari binadamu gani mbele yawanaume avuwa nguo
Sijajua jamani hiv baba levo ni diwani au
Basha wa Gigi alikuja hotelin kwetu Zanzibar
Nmesikia tunduma home sweat
Where’s gingi money 💫 🌟 star TanZania 🇹🇿
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💗💗💗
Baba Levi mfike salama naulevi wenu msmpe draiva
Mnajua Raha ya mtoto wa kiume asifiwe kuwa simba sio binti Kwa hiyo so vibaya Simba kupenda warembo vibaya kuwa shoga kama warembo poa Sana mama dangote hoye umezaa Simba wa kweli akitokea mwenngine photocopy Simba juu
Kwani nyinyi Corrona mlitugeuzia
Edoo yupo kimya kama hayupoo
😂😂😂😂😂safar raha sanaa
😂😂😂😂😂😂😁
Baba levo bhana anasema ukinywa ukilewa utaona watu wengi haaaaaaahaaaahaaa
SAFARI ISIO CHOKWA MDA WOTE KU FURAHI.😄😄😄😄😄
Konda recado
Wapenda vya bure.
Mbn mondi simuoni
amekaa nyuma
Tizama nyuma na Zuchu wake uko 🤣🤣🤣🤣🤣😎
huyo diamond yuko wapi ?siku izi wewe huna mpya
🤣🤣🤣
DALILI ZINAZOASHIRIA KWAMBA UNA TATIZO LA BAWASIRI
0689794748
🥦Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
🥦kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
🥦Kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
🥦Kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
🥦Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
Namna ya kupata suluhisho
Wasiliana nasi kwa namba
0689794748
0719191328