TUNANUNUA VIDOLE 🇿🇼 AU BASI SIUZI KIDOLE MOYO WANGU UMEKATAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 215

  • @asahdmedia1034
    @asahdmedia1034 2 роки тому +38

    Dah nmecheka sana hadi machozi. Huyu clam mazee ni comedian mwenye amekomaa sana tanzania na nje ya tanzaania,watching from kenya

  • @abdibile8751
    @abdibile8751 2 роки тому +17

    Walai hii imenimalizaaa daaaaaah tumewatch tukiwa wawili mwenzangu n mm tulicheka hadi majirani wlikam kutuonaa

  • @frebojw3143
    @frebojw3143 2 роки тому +9

    Namupenda sana clam kutoka Congo 🇨🇩

    • @frebojw3143
      @frebojw3143 Рік тому +1

      Ukitosha za mupya unijulishe nakupenda sana

  • @dinabilemanga1703
    @dinabilemanga1703 Рік тому +2

    Dah nmecheka sana hadi machozi Yani nyiye wawili munanifurahisha sana

  • @JimmyJimmypaul
    @JimmyJimmypaul Рік тому +3

    Clam heshima Zako ziko hakuna mbishi anae kupinga🙏🙏🇰🇪

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa Рік тому +1

    Maashaallah kazi za timu mzima ya clam vevo ❤❤❤

  • @maylucson001
    @maylucson001 Рік тому

    Kanumba alizaliwa.kwa.mara nyengine ❤❤❤clam mwambaa uekewe ulinzii brow🎉🎉

  • @hassandmpozhassandmpoz4759
    @hassandmpozhassandmpoz4759 2 роки тому +12

    Braza, braza, au basi tu moyo wangu umekataa 😂😂😂😂😂😂😭😂😂

  • @swalesale2229
    @swalesale2229 Рік тому

    Clam uko sawasawa ongeza bidii babaa from Kenya nairobi,ila huko bonge anaboa

  • @mohamedyabass9259
    @mohamedyabass9259 2 роки тому +5

    Ma brother mmetisha sana nimecheka sana

    • @MerrySaidi-gu6so
      @MerrySaidi-gu6so Рік тому

      Mnajua kuigiza sana jaman nawapenda ♥️♥️♥️

  • @juliasmolellmolell4815
    @juliasmolellmolell4815 2 роки тому +3

    Waha nimecheka kwasauti 😀😀moyo imegoma sio

  • @MiriamNthoki
    @MiriamNthoki 13 днів тому

    Fantastic shadow na other commedians

  • @mercymbithe0001
    @mercymbithe0001 2 роки тому +5

    Walai kila siku swali langu moja nija la wimbo please niko na zawadi ya yule atakae nambia

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 2 роки тому +6

    Nampenda huyu msichana

  • @maggiekadii6766
    @maggiekadii6766 Рік тому +4

    From Kenya hapa,, you guys make my day

  • @FatmaHassan-dn7wk
    @FatmaHassan-dn7wk Рік тому

    daa nimecheka hadi nimeishiwa nguvu 😆😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤸🏼‍♀🤸🏼‍♀🤸🏼‍♀♥❤♥❤ jamani umasikini huuu

  • @Saumsaid-d1x
    @Saumsaid-d1x Місяць тому

    Naona clam ulitoroka milembe au mnaonaje😂😂😂😂😂

  • @philipmahava7168
    @philipmahava7168 2 роки тому +13

    Kweli Tanzania hali haierezeki maisha magumu

  • @malicklaurent9442
    @malicklaurent9442 Рік тому

    Moyo tuu umekataa

  • @TamimaMuhidin
    @TamimaMuhidin 9 місяців тому

    ❤❤❤nkukubli clam

  • @fatmakambanga7726
    @fatmakambanga7726 2 роки тому +14

    🤣🤣🤣🤣🤣❤️🌹🫀Nime Enjoy Sana Aisee Mnaweza

    • @FezaErnestin
      @FezaErnestin 5 місяців тому

      hhhhhh adoption 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @EmmanuelMumba-os3xm
    @EmmanuelMumba-os3xm Рік тому +2

    Namupenda sana kutoka Zambia

  • @swalesale2229
    @swalesale2229 Рік тому +1

    Huyo bonge mwenye bleach anaboa

  • @mussayassine926
    @mussayassine926 2 роки тому +11

    Asante sana. Kwa kunifanya nicheze mpaka nalia hongereni sana kwa kazi nzuri

  • @dorcasnafula5314
    @dorcasnafula5314 Рік тому +5

    Iam from Kenya you guys make my day 🤣🤣🤣🤣

  • @Tato-k5d
    @Tato-k5d Місяць тому

    Yaan clam waniumiza mbavu zang

  • @mwachilungotsimba141
    @mwachilungotsimba141 Рік тому

    😂😂😂😂kali

  • @MesheMeshe-c8c
    @MesheMeshe-c8c 9 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂 clam mbavu jmna🙌

  • @Samuwapili
    @Samuwapili Рік тому

    Hii imeenda

  • @FatmaHassan-dn7wk
    @FatmaHassan-dn7wk Рік тому

    Jamaniii mnani uwaaa adi napaliwa

  • @johnndegwa67
    @johnndegwa67 9 місяців тому

    Daaaah,kitumbo kanunua nyumba😅

  • @NadiaIrakoze-xr3je
    @NadiaIrakoze-xr3je Рік тому +4

    😂😂😂😂 naceka hadi nipasuke naceko munguwe clam ❤

  • @nibiziaudreille3686
    @nibiziaudreille3686 2 роки тому +5

    Yaani clam unaweza nimecheka kwa sauti 😀😀😆😆

  • @theresiamdamu6410
    @theresiamdamu6410 2 роки тому +2

    Wanangu ninoma, mnaweza.

  • @seifjuma9769
    @seifjuma9769 2 роки тому +1

    Ah hahahahaahaaaaa jamaa anachekesha sana

  • @paulwoiepangaboi1406
    @paulwoiepangaboi1406 Рік тому

    Kenya tupo wengi,,,,kicheko cha siku

  • @omarabdullah6002
    @omarabdullah6002 Рік тому

    Wallahi niyache unafik nimecheka sana ety Mama'Angu kasema hichi kidole cha mwisho nimefanana nae🤣🤣🤣

  • @lydiahnyamokami5058
    @lydiahnyamokami5058 Рік тому

    Clam wee ni noma penda ww😂😂😂❤❤❤

  • @jovinsylivester3601
    @jovinsylivester3601 Рік тому

    Vidole vya fangasi🤣🤣🤣

  • @marthasirengo1520
    @marthasirengo1520 Рік тому

    Hahaha haha me pia napenda chapaty na mahalage

  • @NeemaJumanne-h5d
    @NeemaJumanne-h5d Рік тому

    Nimecheka jaman

  • @aminaabdalla-uo9zq
    @aminaabdalla-uo9zq Рік тому

    Kwan nikitoa mguu mzm sh ngap🤣🤣🤣🤣jmn clam

  • @diegomontenego5158
    @diegomontenego5158 2 роки тому +1

    Akili hannaa selikali ikowapi. mhhh hayasio mafunzooo

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 2 роки тому

      Khaaaaaa

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому +1

      Sasa kwanini unawafuatilia watu wasio na akili basi na wewe mwenyewe hauna akili utawafuatiliaje watu wasio na akili kama si upunguani ni nini

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 2 роки тому

      @@Mpakauseme mwambie

  • @neemaalphonce109
    @neemaalphonce109 2 роки тому +1

    Nimecheka jmn😂😂et amtumuag ganzi😂😂😂

  • @mbarakajuma4640
    @mbarakajuma4640 2 роки тому +1

    Make kwanza ncheke 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Seleseleps
    @Seleseleps 9 місяців тому

    Kbxxx vevo una juwa 😂😂😂

  • @MariaJoseph-yd9kp
    @MariaJoseph-yd9kp Рік тому

    Clam unajuwa nimecheka sana ety moyo wangu umekataa

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 2 роки тому +3

    😂😂😂😂🥰mungu wangu kula umasikini wako

  • @ashasalum4762
    @ashasalum4762 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣usipocheka huna bandama

  • @ibvisions4321
    @ibvisions4321 2 роки тому +2

    Moyo wangu umekataa kabisa mjomba

  • @appolinairendihokubwayo3594
    @appolinairendihokubwayo3594 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣jameni huu ni mnoma sana

  • @salmamgeni5016
    @salmamgeni5016 Рік тому

    Watu wa nchi za nnje wanapenda kuharib Maisha ya watanzania kwanjia tofauti tofauti....mara utasikia kalynda mara MTFE mara mambo kama hayo😢

  • @pilselman2955
    @pilselman2955 9 місяців тому

    Clam mashallah move zako konk

  • @omarikweyu5426
    @omarikweyu5426 2 роки тому

    Utakiona Leo kihere here kitakutoka Leo

  • @Shacmanatoo
    @Shacmanatoo Рік тому

    Unajuwa klamkaka

  • @Halimamaere
    @Halimamaere 2 роки тому

    Najikuta ncheka hadi nipo chini isay🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣clam waijua hio mguu mzima haswa ety hkuna ganziii jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣braza, braza, au bc tu moyo umekataa nmefulahi akii🤣🤣🤣

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbav zangu😂😂😂🤣🤣

  • @kingsalvamzuka7689
    @kingsalvamzuka7689 2 роки тому

    Haaamhhhh umeweza kweli
    Nime cheka kweli

  • @aminafulubet9727
    @aminafulubet9727 2 роки тому +2

    Nawakubali sana

  • @ModesterSteven
    @ModesterSteven 8 місяців тому

    Yan clm ata uigiz serious nachek,2

  • @japhetkatana2642
    @japhetkatana2642 2 роки тому

    Clam unaweza bro

  • @EmmaCulate-ss4nw
    @EmmaCulate-ss4nw 8 місяців тому +1

    Tama

  • @ashatanzanian7559
    @ashatanzanian7559 2 роки тому

    Ndo ukome tamaa😂😂umeniacha hoi utaiyuwa iyo

  • @seifjuma9769
    @seifjuma9769 2 роки тому +1

    Ati lakini hizi njaa tu

  • @zenjtouristatraction1715
    @zenjtouristatraction1715 2 роки тому +1

    clam..😂😂😂 dahh...mtihani

  • @lydiahnyamokami5058
    @lydiahnyamokami5058 Рік тому

    Hapo kwa panga umenimalisa clam😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rizikihasan2198
    @rizikihasan2198 Рік тому

    Kidole chamwish nafanan namama 😂😂😂

  • @ابرهيم-ج7ن
    @ابرهيم-ج7ن 2 роки тому +1

    😂😂😂🙄Hiii noma Dr Yuko makini na kazi yake 😂😂🙌

  • @Nickxenmzicki
    @Nickxenmzicki Рік тому +1

    CLAM VEVO, bigwa WA mabigwa kichekoni😅😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @rozina2161
    @rozina2161 2 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂Moyo wangu umekataa

  • @generalcommander8921
    @generalcommander8921 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 You Guys you make my days

  • @amanirazalo4338
    @amanirazalo4338 2 роки тому +1

    Da nimecheka sana kwakweli

  • @azizakombo376
    @azizakombo376 2 роки тому +1

    🤣🤣jamaa mnatisha cna

  • @mkariwanyota4398
    @mkariwanyota4398 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Noma mmetish san

  • @NassirChomola-mv8jg
    @NassirChomola-mv8jg Рік тому

    Naaaenda kula chapati na maharage😂😂😂😂😂😂

  • @saidomary3370
    @saidomary3370 2 роки тому +1

    nyie jamaa kiboko nimecheka mpaka nimeria daa mko vizury sana

  • @SabinadaLúciaAtanásioAtanásio

    Wakwaza leo nipen like zangu

  • @sonhoeffer
    @sonhoeffer 2 роки тому +1

    Naenda anakupa

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 роки тому +1

    Bonge wenda kufaa huko 😂😂😂😂😂😂

  • @deniswanjara4505
    @deniswanjara4505 2 роки тому +1

    Hahahahahha cram make kwanz ncheke 🤣🤣

  • @ramlasalim7603
    @ramlasalim7603 2 роки тому +1

    Safi calm jmn

  • @EmmaCulate-ss4nw
    @EmmaCulate-ss4nw 8 місяців тому

    Akili maji

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +2

    Tunalainisha joint😄😀

  • @jejomalengojoffu5971
    @jejomalengojoffu5971 2 роки тому +1

    Daaah sio poaa 🤣🤣🤣

  • @moneymaker4168
    @moneymaker4168 2 роки тому +1

    Bigiii💪💪💪ulipo tupo

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 2 роки тому +1

    ganzi itatuharibia🤣🤣🤣

  • @vdhhhgduue3577
    @vdhhhgduue3577 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣yani nimecheka leo hdi bsi,

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂utakufa mturiki pesazamotoohizoo

  • @mahabaclassictwentyseven27mjeu
    @mahabaclassictwentyseven27mjeu 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka mpk nimeanguka kitandan

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 2 роки тому +2

    😂😂😂😂😂 make kwaza nicheke

  • @matocomedian948
    @matocomedian948 Рік тому +1

    Wapi likes zangu

  • @hamadlucago8951
    @hamadlucago8951 2 роки тому

    huyu jamaa mwenye rasta amefanana na mapinduzi balama mchezaji wa yanga

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 2 роки тому +1

    Mguu mzima shingapi

  • @dnoxdoris624
    @dnoxdoris624 2 роки тому +1

    Niuweni na kichekooo 🤣🤣🤣🤣

  • @BahatiUwembe
    @BahatiUwembe 9 місяців тому +1

    ❤❤❤❤

  • @astridakapwasa9887
    @astridakapwasa9887 2 роки тому +2

    Moyo umekataa😂😂😂

  • @mwakashee3689
    @mwakashee3689 2 роки тому +1

    Jamani nyinyi nacheka yangu yote

  • @Mcyoungpezuza
    @Mcyoungpezuza 9 місяців тому

    Bongo inajivunia kipaj cha clam vevo

  • @saumukahindi3795
    @saumukahindi3795 2 роки тому +6

    Mm nataka hizi nyimbo zenu plz 🙏🙏🙏

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 2 роки тому +1

    Noma hiyo