Huyu Dem ni kiruka njia,alishasoma weakness ya Anthony akajuwa,huyu Anthony anamwokolea tu kule kwingine kukiharibika na Anto asipochunga atamletea magonjwa
@@MargaretAwinja-ls7hx Hata km bado yuko, 15 bado ni kidogo sana. But ni vizuri mnaendelea vizuri. Though, si advice or mfano mzuri kufuatia. Kuna mila hufanya hivyo, but mostly ni wa pande zile wazazi huaolesha wakiwa wadogo sana. Na the young couple wananyimwa any say at all. Na ukipinga wazazi na elders, unaeza kua punished na hiyo mila na culture zao.
Gidi tungeskiza anto tumshauri kama wanajambo a move on na maisha. Huyo christine ni mkora
True n mkora sana me nlizaa na 19yrs na nko sijawai fanya utoto
Mtu aniambie hiyo song skiza tune ya Antony inaitwaje❤❤❤
Ni ya Morgan heritage song ni wash away all the tears
@@SashaHussein-sl9cs thanks baby girl ❤️❤️❤️
Mwanaume anaka ni mnzeee haka kasichana chuga kasikulete ukimwi ama kisonono
Uzee sii ugonjwa buda
Thanks so much past Giddy
This girl need to settle and raise her kid with.... Going from one man to another is wasting her's and daughter time....
haka nikamalaya, ndamu mbaya
Radio Jambo hamjaweka patanisho ya leo asubuhi. Na pia kwa maoni yangu naona ingekuwa vyema mkiweka pamoja na mawaidha kutoka kwa wasikilizaji 😊
We bwana
Sawa, lakini hii ya gidi na mulei ni tofauti. Wewe anzisha kipindi chako na unaeza pata watu wapendao hiyo njia yako.
Uyu anachezea uyu mwanaume atarudia tu😂
I love
Huyu Dem ni kiruka njia,alishasoma weakness ya Anthony akajuwa,huyu Anthony anamwokolea tu kule kwingine kukiharibika na Anto asipochunga atamletea magonjwa
Vct giddy woiii
You have no business being married at 22,ulishapata mtoto ni sawa,sasa ungekua unafikiria how to better your life,anyway to each their own
Waaaa huyu aendee nyota ya ndoa kwa pastor Ezekiel
😂
Aiya, uyu christine ako na mtoto, then ameoleka kwa anto( not baby daddy) from there akaenda kuoleka kwa mwingine na sasa anataka kurudi 😢
Nyamira township you are off air for 3months now we are not able to follow you up what might be the problem
Kijana wachana na Malaya.
Hapo kuna mchezo
Hey gidi mbona hukutoka kupeefm na maji maji?
😂😂😂😂😂huyu Dem ni gaidi😅😅😅
Wewe gidi wacha kutuchomea Sisi wengine tulioleka na 18 years na BDO tuko tuu huko tumekorogewa kwa ndoa🤣🤣 but hi generation wee iko na mambo
Getting married at 18 ain't a flex ..
@@chelimovashit9091my sis got married at 15yrs and its almost 24yrs now😂😂😂 na yuko tu
@@MargaretAwinja-ls7hx still ain't a flex
😂😂😂@@chelimovashit9091
@@MargaretAwinja-ls7hx
Hata km bado yuko, 15 bado ni kidogo sana.
But ni vizuri mnaendelea vizuri. Though, si advice or mfano mzuri kufuatia. Kuna mila hufanya hivyo, but mostly ni wa pande zile wazazi huaolesha wakiwa wadogo sana. Na the young couple wananyimwa any say at all. Na ukipinga wazazi na elders, unaeza kua punished na hiyo mila na culture zao.
Kisumu we not getting u clearly kindly producer work on it
Gidi radio jambo aichiki Jana na leo
Cheza na wanaume wa fb utakatwa kichwa tukupate mukuru,ladies be careful dating online
Anthony utakuliwa bibi viproper hapa nje coz she is not serious with settling down with you.
This girl belongs to the streets.
😂😂😂
Thanks gidi na ghost
Mzimu ni nini na, ni nani?
The lady is undecided 😂