How to solve paper jam for Canon IR 2520/2525/2420,(OFFICE MACHINE MANTAINANCE)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @godfreymbevi2879
    @godfreymbevi2879 3 роки тому +1

    Asante kak mung azid kukupa moyo uwo uwo wa kuelimisha,kutufundisha ufundi coz nimejifunz sana kupitia video yako...

  • @TeferaKebede-oc4dx
    @TeferaKebede-oc4dx 8 місяців тому

    Wow the best work

  • @hashimselashi5250
    @hashimselashi5250 4 роки тому +2

    Shukran imesaidia sana video yako. Nimefanikiwa kufix tatizo la printer kwa mara 1 👍

  • @gideonmbabazi8436
    @gideonmbabazi8436 6 років тому +2

    Wow, nice to get this.... My canon 2520 had the same problem like this...asante sana..

  • @alihemed4484
    @alihemed4484 4 роки тому

    habar wadau, mimi mgeni wa haya nataka ninunuwe fotocopy machine jee aina gani ni mzuri isio matatizo na ambyo wino na spare zake hazina tabu na ambyo inafanya kazi vzri kwa ufanisi . ahasanteni

  • @paulsanga9703
    @paulsanga9703 5 років тому +1

    Asantee sana Maira TV, mimi natafuta waya huo huo watatizo hilo kwan panya wamekula sehemu kubwa kiasi ambacho hata kuunga imeshindikana. Nahitaji waya mzima kwa ajili ya replacement, alie nao naomba anisaidie napatikana Misungwi-Mwanza

  • @calvinmbanile9986
    @calvinmbanile9986 5 років тому +2

    hlw! safi sana na asante kwa kusolve tatizo langu endelea kutoa vitu vyenye uhakika tutakusapot

  • @KhamisAbdulwahabi
    @KhamisAbdulwahabi 10 місяців тому +1

    Shukran

  • @alainmugisha2958
    @alainmugisha2958 Рік тому

    Vip

  • @petermwansasu3051
    @petermwansasu3051 5 років тому

    Nimekwelewa sana na uko vizuri, sasa hujaonesha namna ya kuitoa na namna ya kuirudisha hiyo tray. Nimeona ukiwa tayari umeitoa na ukiwa tayari umeirudisha

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      hapana kitu ambacho nimekifanya hapo,baada ya kugundua kuwa kuna waya ambazo ndio zimekatwa waya za mawasiliano kutoka kwenye cruch kwenda kwenye boars,kwa hivyo shida ndio ilikuwa pale zaid kwa hivyo kwenye machenism ya trey kulikuwa hakuna tatizo unaona mpaka mwisho nimeunga waya zile na imekubali, kutoa trey ni kuikata machine kuiachanisha vipande viwili ntakuja na hilo somo ndani ya wiki ya j.3 jinsi ya kuikata trey,

  • @aminaibrahim8632
    @aminaibrahim8632 5 років тому

    Soma safi,tunashukuru sana.

  • @zayomaonlinetv.6067
    @zayomaonlinetv.6067 Рік тому

    Good....

  • @saidmaamir1184
    @saidmaamir1184 2 роки тому +1

    Habari Mkuu. Mimi nina ir2520 ambayo tatizo lake ni paper jam kwenye roller... naomba msaada tafadhali sana

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  2 роки тому

      Kwenye roller gani?upande upi wa roller?ni transfer roller au,charge roller au iron roller, ipi upande wa fixing? Ebu ikinasa tuma picha kwenye whatsap 0656 151515 aksante

  • @eligitairo781
    @eligitairo781 3 роки тому

    Kazi nzuri Weka mawasilino yako tukupigie simu na kukusaport.

  • @khamisabi4244
    @khamisabi4244 3 роки тому +1

    asante kwa vedio nzuri, kln mimi mashine yangu inapata paper jam wakati wa kupiga dublex wakati karatasi inarudi kuchoraupande wa pili wakaratasi, tatizo ni nini

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  3 роки тому

      Karibu..Mara nyingi tatizo Hilo huwa linasababishwa na zile cruch za nyuma zile zinazofanya dublex,fungua kule nyuma then angalia.mzunguko wakati Ina heuza uwone zile cruch Zina mzunguko sawa,na ule 1 side?

  • @luogajr
    @luogajr 3 роки тому +1

    Nipo mtibwa nmekufuatilia ngoja na mm nifanye ninatatizo Hilo, then nitalipa feedback

  • @soggy-janvierbamina8568
    @soggy-janvierbamina8568 5 років тому +2

    habari zenu? asante sana kutufunza kifundi kupitia hapa maira tv lakini mimi nilijaribu kwenye machine yangu sikufanikiwa paka sasa inanipa mesage ya paper jammed sijui nitafutiye wapi kosa hilo. kama kuna zingin sababu za paper jam mtufunze tufanikiwe. asante

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      itakaa vizur hiyo clip inaweza isikusaidie kitoka na tatizo lilipo kwenye machine yako..karibu soggy

  • @zubeirmuhammed4997
    @zubeirmuhammed4997 4 роки тому +1

    Thank, imasaidia Sana, ila Sasa ina tatizo LA kukunja karatasi SEHEMU YA drum unity. So utanisaidia vipi halo. Nawakubali sna.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому

      Kama inakunja kwenye drum,by means kuwa drum haizunguuki,kama inazunguka,na karatasi inapita mpaka kwenye fixing unit basi chukuwa mafuta white oil au white Grace,fungua filims paper paka,lakin pia fatilia drum kama ina rotate ipasavyo?

  • @ramakrishnamkrishna3444
    @ramakrishnamkrishna3444 4 роки тому +1

    Tq so much sir

  • @mairaOnlineTV
    @mairaOnlineTV  5 років тому +1

    mambo vipi wadau wa office machine mantainance,(O.M.M)siku nyingi kidogo,ila kuna wadau wameniomba, kama bado huja subscribe hii channel basi fanya ku subscribe, JUMA 4 Ntakuja na jinsi ya kutenganisha trey machinism na main board,kuna wadau wameniomba kufanya hivyo usipitwe,

  • @indianstar8454
    @indianstar8454 5 років тому +3

    Kindly upload video for Canon 2525 finisher unit replacement with normal output tray

  • @shaabanmahmoud5425
    @shaabanmahmoud5425 5 років тому +1

    Safi sana kk uko vzr sana ila ninaomba kujua katika kuunganisha waya tunatakiwa kuzingatia nini maybe kuna kiwango fulan cha waya kinachoendana na waya ulokatika au waya wowote waweza kifanya kazi ??

  • @SydneyHamafumba
    @SydneyHamafumba Рік тому

    kindly do the English version subtitles please

  • @johnmalimi4773
    @johnmalimi4773 4 роки тому +1

    nakufuatilia vilivyo

  • @nicolastesha2321
    @nicolastesha2321 Рік тому

    I have that one paper jam on tray before machen piking

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 3 роки тому +1

    Uongo

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  3 роки тому

      unaweza ukawa unajuwa zaidi sio mbaya ukiwafundisha na wengine vile ujuwavyo.utakuwa umewapa faidi kubwa wanao jifunza hii fan...karibu.

  • @SamuelAmos-s4j
    @SamuelAmos-s4j 4 місяці тому +1

    Tatizo la kutoa madoadoa ya wino kwenye karatasi

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 місяці тому

      Nichek whatsap kaka 0656 151515

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 місяці тому

      Hayo madoa madoa yako je?

    • @SamuelAmos-s4j
      @SamuelAmos-s4j 4 місяці тому

      @@mairaOnlineTV doti nyeusi na mistari mistari nyeusi kwenye karatasi

  • @sarahdaoud6462
    @sarahdaoud6462 3 роки тому

    Tahnk you

  • @libentboniphace9599
    @libentboniphace9599 5 років тому +1

    Asante sana kaka kwa kutujali kwako. Bado kaka naomba unisaidie error code canon ir1022if

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      Karibu sana kaka. Nikusaidie error code ya ir 1022,inatoa error code ya ngapi? Au ile E 010, kama ni ile ni ya motor imefail.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      Umeshajuwa sehemu ya kuicheki kule nyuma umeifungua ukacheki zile waya zake zipo vizur connected na board? Hazijaliwa na mende au panya?

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      Nipe watsap # yako ntakucheki nikuelekeze vizur kaka.

    • @libentboniphace9599
      @libentboniphace9599 5 років тому

      @@mairaOnlineTV Nashukuru sana kwa kujali kwako # ya whatsapp 0737056770

    • @libentboniphace9599
      @libentboniphace9599 5 років тому +1

      @@mairaOnlineTV Nimecheki ziko vizuri nita recode nikutumie whatsapp inavofanya.

  • @jennythomas3341
    @jennythomas3341 3 роки тому

    Pls show the cute wire joint.how to do it

  • @shaningajah942
    @shaningajah942 3 роки тому +1

    Habari nina photocopy IR1610 ina andika mixid toner nini sheda

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  3 роки тому

      Toa ile tona bin yake then weka pembeni ile tonner ya mule ndani usiimwage weka pembeni kwa kuwa ni wino msafi,au upunguze kutoka mule then rudisha ile bin uwone performance yake,hapo Kuna ishu ya tonner au haifiki kwenye bin au unafika lakin haifungui kwenda kwenye tonner roller,by means ishu IPO kwenye toner bin,
      Toner bin NI like jumba ambao unaingiza ile chupa ya wino ndio toner bin fungua anagalia Kuna wino unaingia?

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  3 роки тому

      Au jina lingine developer unity. Ndio tonner bin kiufund zaid

  • @shaningajah942
    @shaningajah942 3 роки тому +1

    Habari mi mgeni naomba kusaiwa nina photocopy IR 4235 inanipa error ya 0000804-0000 na nilibadilisha cooling hani lakini bado inarudi

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  3 роки тому

      Hiyo fan inazunguka?baadae ya kubadilisha?

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  3 роки тому

      Na je baadae ya kubadilisha hiyo fan umeclear machine?clear engeen au all uwone performance yake.

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 2 роки тому +1

    ir 2520 kila nikiprint/copy karatasi inakuwa inanasia shida itakuwa nini nimejaribu kubadili tray ya kuwekea paper lakini tatizo ni lile lile msaada tafadhali mkuu

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  2 роки тому

      Inanasia sehemu gani?

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  2 роки тому

      CHEKI na hizo roller zako,kama ziko sawa au poa chukuwa maji na sabuni fungua roller sugua vizur hizo roller Kisha weka jaribu japo hujasema wapi inaanzia kukwama?

    • @tungaraza7794
      @tungaraza7794 2 роки тому

      @@mairaOnlineTV FUSER UNIT NDIPO KARATASI ZINAKWAMIA NILIFUNGUA NIKASAFISHA NOW INATOA COPY ILA INAKUWA NA UCHAFU WA WINO

  • @filbertmachesha9323
    @filbertmachesha9323 3 роки тому

    Nashukuru kwa kutufundisha napenda kuuliza mtumiaji alikua anatumia mashine ir 2318 karatasi ikajam kwenye fixing unit nabaadae ilitoka na mwisho wa siku baada ya kutoa bado inasoma paper jam pamoja nilifungua uniti nzima na kusafisha lakini bado inaonyesha paper jam

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  3 роки тому

      Hapo acheki ile sensor ya kwenye unity Itakuwa imeachia ule mtego wa springs wakat anatoa alivuta kwa nguvu.

  • @perfectelly8902
    @perfectelly8902 15 днів тому

    Tatizo kama Hilo kiongozi walakini hakuna karatasi iliyokwama

  • @abdulhhabibu4046
    @abdulhhabibu4046 2 роки тому +1

    Kaka ahsante sana kwa kutujuza tusiyoyajua kwa vitendo nimepata kutatua tatizo la machine yangu kwa kupitia video zako .Mimj ni kijana mwenye ndoto za kujifunza ufundi Nisaidie Kujua majina ya vitu vya photocopy kwa majina kama mfano naweza kuambiwa nibadili waste toner sensor sasa mi nakua siijui ni ipi, Nisaidie kwa njia ya mawasiliano au blog ambayo itanijuza majina ya vifaa Na picha zake Tafadhali Kaka help me

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  2 роки тому

      0656151515 whatsap namba hiyo.utakuwa unanichek unapokuwa unakwama.

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 2 роки тому +1

    NINA Color lserjet nikiprint page zaidi ya moja inatoa ile page ya kwanza alaf inayfuatia ina inakwama nikiitoa nikaprint tena ina print page moja tu nyingin tena ina inakwama msaada tafadhali

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  2 роки тому +1

      Ingawa sijakuelewa kwa uzur lakin ishu yako kama machine shida ipo kwenye cruch ebu check vizur ,cruch trey uwone iko sawa?

    • @tungaraza7794
      @tungaraza7794 2 роки тому

      @@mairaOnlineTV yaani Kwa mfano nikiprint kazi yenye page tatu ile page ya kwanza inatoka fresh ila ya pili inang'ang'ania nikifungua printer nikaitoa hiyo karatasi then nikaprint tena ina print page moja inayofuatia inang'ang'ania

  • @yagnikpatel6150
    @yagnikpatel6150 3 роки тому

    I am in rdc 🇨🇩

  • @setiagulo212
    @setiagulo212 Рік тому

    subthemistor location ir 2520?

  • @pieeremasjacob901
    @pieeremasjacob901 3 роки тому +1

    hili tatizo la paper jam limenipata kwenye mashine yng ya Cannon 2206 haivuti paper kwenye tray, nipo mwanza-Ukiriguru naomba msaada wako fundi

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  3 роки тому +1

      Pole kwanza,lakin pia wakati inataka kuvuta ukifungua trey unaona kama ilikuwa inavutwa?ukiangalia vizur utaona kama uchafu kidogo pale mwanzo kabisa ya karatasi ilipo kuwa inataka kuvutwa na roller,kama chafu chukuwa maji na kitambaa futa zile roller vizur kisha toa copy,ikikataa,cheki kuna kitu kinaitwa seronide cruch au cruch tu kazi yake ni kufunga na kufungua sasa huenda ikawa inafunga haifungui mara nyingi hutokea kama tu cruch ile sponji yake nikiwa ime expire.

    • @cassianmalunda7263
      @cassianmalunda7263 3 роки тому

      Fundi naona kazi yako nzuri ya kutufundisha mm nipo morogoro mashine yangu inashindwa kuoandisha karatasi inasema paper jam na shida nineona ipo kwenye trey na ile krachi sponji yake imeisha ili nilekebishe natakiwa kufanyaje aina ya mashine yangu ir2016j

  • @TeferaKebede-oc4dx
    @TeferaKebede-oc4dx 8 місяців тому

    I can do it ?

  • @dictyosomesgolgi2537
    @dictyosomesgolgi2537 4 місяці тому +1

    I need to buy

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 місяці тому

      You need to buy machine

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 місяці тому

      And which model but now never get new from shop that is old model there is new model.

  • @yagnikpatel6150
    @yagnikpatel6150 3 роки тому

    I need man who know this machine very well
    If you need job tell me

  • @kuchumabhunia5673
    @kuchumabhunia5673 4 роки тому

    How to solve paper jamed problem in Image runner 2022i please sir

  • @floramturano
    @floramturano 5 місяців тому

    Ir. 2520 inatoa cop na kuprint katikati tu maandishi mengine haitoi.shida ni nini mkuu

  • @ashishkumarbhanja7875
    @ashishkumarbhanja7875 4 роки тому

    Second pick up section ir 2525 Ka kaese kholenge

  • @mwakamwamlima3603
    @mwakamwamlima3603 4 роки тому +1

    Kaka samahani nina mashine canon 2204 inaniambia out of toner,ingawa wino upo tena umejaa,nimesafisha developer unity na mambo mengine lakini bado,naomba msaada hapo

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому +1

      Katika kusafisha na kufungua ulikumbuka kucheki sensor ambayo ndio inaitambulisha hiyo pannel ya wino?

    • @mwakamwamlima3603
      @mwakamwamlima3603 4 роки тому +1

      @@mairaOnlineTV ndio kaka nimeiweka vizuri kabisa,si unazungumzia kile kibati cha shaba?lkn now inaniletea error ya insert drum unit na inaprint blank page

    • @mwakamwamlima3603
      @mwakamwamlima3603 4 роки тому +1

      Please naomba nisaidie coz nipo shinyanga,kama ningekuwa Dar ningekutafuta

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому +1

      Hapo kaka,ujuwe ishu kubwa itakuwa kwenye sensor ya ambayo inaitambulisha wino,ipo sensor ambayo kazi yake ni kuilinda tonner bin,tulia vizur sana ifatilie vizur hiyo tonner bin utagundua kuna sensor hapo ina fleper,

  • @ebaraniathomas4750
    @ebaraniathomas4750 3 роки тому

    kama inajam karatasi kwenye ut kila muda tatizo nini

  • @ElisanteIsaya
    @ElisanteIsaya 27 днів тому

    Yakwang ina zingua ivo ivo ngoja ni nini fanyiea uta fit la uo uo santen ndugu

  • @frankkessy1260
    @frankkessy1260 5 років тому +1

    Mkuu printer yangu ni canon ir 2520 ina tatizo la jamu nimefanya kama ulivofanya pamoja na kuclear error lakini kila nikitoa copy inasema remove the paper from the output tray.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      inakuonyesha wapi kuwa imejam?

    • @poureenkunambi6413
      @poureenkunambi6413 4 роки тому

      frank kessy sorry frank leo printer angi inanambia hivo namm,nilkua naomba unisaidie pls,kama una namba za hyu maira tv nisaidie tafadhar

  • @justinmsoffe7298
    @justinmsoffe7298 5 років тому +1

    Habari bro. Msaada kuna same issue naipata kwenye machine yangu same model na hiyo umeitengeneza but hii nimesha angalia tray iko poa lakini bado inaleta hiyo message ya paper has jammed
    Msaada Pls

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому +1

      pole kwa kuchelewa kukujibu,ukiangalia hapo kwenye display inakuonyesha paper jam upamde gani,ila ishu nyingine ambay huwa inasumbua sana ni upande wa sensor huwa. kuna sensor ya chini ya trey inaweza kuwa imefunga tu tu haifungui na kubwa kama ile fleper yake iwe imefyatuka spring nakushaur fatilia sensor ya trey na sensor ya fixing unit hapo juu. lakin pia na sensor ya kwenye transifer,most kama utaona una fail nichek kwenye telegram 0736233233 au kwenye watsa namba hiyo hiyo,karibu nikusaidie.

    • @poureenkunambi6413
      @poureenkunambi6413 4 роки тому

      maira Tv mbona hupatikan? Mm pia nna shida pls kaka

  • @mrpj1030
    @mrpj1030 4 роки тому +1

    Yangu kila kitu kikosawa but bado inaandika paper has jammed.
    Nyingine inapeak karatas but ikifika kwenye unit inajam

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому

      hapana hapo kuna vitu haviko sawa ndio maana inaandika hivyo sasa,fungua trey itoe kabisa trey tazama chini yake utaona pickup roller ya nusu mwezi ifatilie hakikisha imekaa katika njia zake na ,kingine tafuta cruch ya trey huko nyuma itazame iko sawa?

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому +1

      au ncheki whatsap 0656151515

    • @mrpj1030
      @mrpj1030 4 роки тому

      @@mairaOnlineTV sawa nimekutext whatsapp

  • @LawMghase
    @LawMghase 6 місяців тому +1

    Boss mawasiliano naomba

  • @samuelkwabenaokyere9545
    @samuelkwabenaokyere9545 4 роки тому

    Ir 2520 jams after two printout... Any solution

  • @sindoudosso9964
    @sindoudosso9964 6 років тому +3

    Hello brother help me my canon printer IR 2520 poster re-check if the hood top and right are closed. forgive help me

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  6 років тому

      Hi.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  6 років тому +1

      If you have your copier there,please capture the word which display on screen. Or send to me the word shown on display I'll help you soon as possible.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  6 років тому

      You may send to me on my Instagram account (tubongemedia)

    • @sindoudosso9964
      @sindoudosso9964 5 років тому

      @@mairaOnlineTV ok no worries must help

    • @sindoudosso9964
      @sindoudosso9964 5 років тому

      find me on my account gmail hangout we find laba so that I can send you the foto of my machine

  • @siatha_lee3793
    @siatha_lee3793 2 роки тому

    What was the problem? I didn't get anything especially that I couldn't understand the language

  • @princekaale6946
    @princekaale6946 2 роки тому +1

    Vipi kuhusu canon ir 2425

  • @danielkaguli7500
    @danielkaguli7500 5 років тому +2

    Nimekuelewa brother upo sahihi kabisa ila natatzo la photocopy iR 2420 paper jam na haionekan nifatilie maeneo yapi?

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      Kwanza karibu,na nafurahi kunielewa,
      Answer-
      Inapo kwambia paperjam inakuonyesha upande gani katika display yako?

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      Lakin pia kubwa zaid la kufanya hapo kwanz kwa haraka,na ishu kubwa hapo iliopo ,kuna mambo mawili,kwamza lazima kuna sensor ambayo inaruhusu karasi,ambayo inafunga na kufungua wakati wa kutaka kutoa copy itakuwa imefyatuka,sasa imefunga,kwa hivyo ina asume kama kuna paper jam.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      Lakin most la kuku saidi,nicheki kwenye email yangu hii,nikupe watsap # ambayo tutawasiliana na ntakwambia namna ya kulitatua tatizo lako faster sana,nicheki hapa.simwanzacom@gmail.com,we tuma namba yako hapo au,ntakupijia tutaongea but kwa kesho,thanks and dont 4get to be a member,bonya susbscribe tu hapo then kengere hiyo,mimi ntakuona na utakuwa pamoja,na nyumba ya mafundi.

  • @sr.morningstatus4020
    @sr.morningstatus4020 5 років тому

    2270 Canon printr se print ok hai but photo copy me one inch ka lmbi patti aata hai ye patti kabhi kabhi thik bhi ho jata hai kya kren

  • @yimchantha1010
    @yimchantha1010 3 роки тому

    Hello, I have a problem with the paper when the machine is running a little, it is stuck with paper (when hot), please help me

  • @shigelakeya2414
    @shigelakeya2414 2 роки тому

    Machine yangu ina tatizo la load paper kwenye screen, naomba msaada cannon 2520

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  2 роки тому

      Pole Sana mdau aiseee Sasa CHEKI na flaper ipo chini ya trey ukito trey chini kabisa ukichungulia utaona flaper Ina chungulia Kuna sensor pale icheki iko sawa?

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  2 роки тому

      Fatilia huo way wa flaper.

  • @mohammedalamery8417
    @mohammedalamery8417 5 років тому +1

    Hello is Canon2520 paper is appear copy vary dark wat is making ????

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      How are you mohammed your welcome to my channel,and this is offce machine mantainance,,
      Problem is charnging roller replace it,take drum unit under the drum there is a dack roller thats is charng roller.replace it now,your copy will be arlight

  • @nannurajesh
    @nannurajesh 4 роки тому

    B

  • @musondapeter3441
    @musondapeter3441 5 років тому +1

    I a Canon ir3025 showing paper jam message when there's no paper jam. Kindly assist.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      youre welcome to the office equipment chennel,please dont forget to click subscribe,you have 3025 ir and shown paper jam while no any kindl of paper, solve the solutions by check the paper sensor of fixing unity.ihope sensor is moving other side and machine apear jam,thank for vist us.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      check for insure all sensor from to trey machenism till to fixing unity,also check cable of main door if is correct installed.hope not as insure try to cool your brain you will be solved hope it

  • @HeinMinLatt-l3d
    @HeinMinLatt-l3d Рік тому

    in the. copiet. wire. bote. little. mouse

  • @parthapoddar9112
    @parthapoddar9112 5 років тому +1

    3025 load paper problem kindly solution

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      thanks for contact with us,
      check trey sensor,there is a sensor under the trey,which make machine to catch la paper, main sorution remove the trey,inside of the trey machenism you will see that sensor ihope its out of the position.

  • @kimberlybautista3319
    @kimberlybautista3319 4 роки тому

    how to solve the printer canon pixma ip 2770 paper jammed but there is no paper insidr

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому

      Its about sensor of tha trey, check it well

  • @stiviemshuza446
    @stiviemshuza446 4 роки тому +2

    Asee kiongozi napambana na machine yangu inaniambia System error E808 ,ni canon IR2016J nini itakua tatizo!?

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому +1

      pole kwa kuchelewa kutuma majibu,

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому +1

      je umesha solve tatizo?kama bado hiyo 2016 shida ipo kwenye fixing films unity,

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому +1

      hakikisha zile terminal zinazoshika ile unit ambayo katika ina vaa films iko sawa na ile element yake inapata moto wa kutosha.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому +1

      kama utaona inakusumbua nichek kwenye watsap 0656-151515

    • @stiviemshuza446
      @stiviemshuza446 4 роки тому

      @@mairaOnlineTV thanks bro ngoja niicheki kesho ikizingua nitakucal mkuu

  • @frankanthony9143
    @frankanthony9143 5 років тому +1

    mkuu we umeajiliwa au umejiajili

  • @bonykilonzo855
    @bonykilonzo855 5 років тому +1

    have a problem with canon ir2520, karatasi inakwama apo kwa drum area. kindly what might be the problem? also help with your number so as to reach you for such solutions..

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      Your welcome,ukiitazama drum wakati wa karatasi kukwama je inakuwa chafu,? Ntumie picha watsap wakati inakuwa imekwama.au ncheki kwenye email simwanzacom@gmail.com ntakupa namba uncheki whatsap nikueleweshe kitu.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      By the way chake na fixing unit kuna uchafu kwenye transifer iron ndani ya unit hapo.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      ua-cam.com/video/Zsyt_sAAL_k/v-deo.html

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      Open link,jinsi ya ku solve tatizo lako la kukwama chini ya drum

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  5 років тому

      ua-cam.com/video/Zsyt_sAAL_k/v-deo.html

  • @mairaOnlineTV
    @mairaOnlineTV  5 років тому

    Click link to watch more about paper jam
    ua-cam.com/video/Zsyt_sAAL_k/v-deo.html

  • @dottoerasto6394
    @dottoerasto6394 3 роки тому

    Nisaidie namba yako

  • @wisehachintu7134
    @wisehachintu7134 2 роки тому +1

    Use English bro

  • @rararuru3128
    @rararuru3128 4 роки тому

    Canon 2530i E000197

  • @peterpius3452
    @peterpius3452 5 років тому

    Canon 2420 A4 plain

  • @mairaOnlineTV
    @mairaOnlineTV  4 роки тому

    ua-cam.com/video/YHEAyTGs5sU/v-deo.html

  • @tizitadana294
    @tizitadana294 4 роки тому +1

    H! How to Solve error for Canon IR 2420

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому

      your welcome,

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому

      very easy but how tyoe of error shown?

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому

      any way click *28* then clear click ok then engine click ok,ok,ok ok 3 or 4 times then off machine after 1sec turn on,solve.

    • @mairaOnlineTV
      @mairaOnlineTV  4 роки тому

      iwill send video how to clear it. by to morrow.

  • @sainathyadav6596
    @sainathyadav6596 7 місяців тому

    2525 ir error code 197-0000

  • @zubeirmuhammed4997
    @zubeirmuhammed4997 4 роки тому +1

    Naomba mawasiliano menu YA simu plz. 0778183711

  • @Computertech-ik1jv
    @Computertech-ik1jv 4 роки тому

    Phn no boloo apna