Feisal 'Fei Toto' Salum na Jaffar Mohamed 'watambulishwa Yanga SC'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Kiungo wa timu ya JKU na timu ya taifa ya Zanzibar Feisal Salum 'Toto' na kiungo wa Wanalizombe, Majimaji ya Songea Jaffar Mohamed wamekamilisha uhamisho wa kuziacha timu hizo na kujiunga na miamba ya soka ya Tanzania, Yanga SC.

КОМЕНТАРІ • 11

  • @kibundapesamadimba6352
    @kibundapesamadimba6352 Рік тому

    Miaka hiyoooooo safi sana @Feisal Salum

  • @treyibrahim3327
    @treyibrahim3327 6 років тому +1

    hongera Jafari
    ndo malipo ya uvumilivu wako.Mungu amekukumbuka na wewe brother kaza buti nakutakia kila na heri brother

  • @khamisjuma4691
    @khamisjuma4691 6 років тому +1

    Dio.duguzagu tafuteni.maisha.salam USA marekani freedom Zanzibar people

  • @sultanikawambwa4118
    @sultanikawambwa4118 6 років тому

    Bongo Sokaaaaa!! Hahaaaa!! Halafu mnatakaaaa tuwafikie Kimataifaaaaa!! Tupunguzeni porojo kwenye ligi ili tuweze kwendaaa mbeleeee, hatuna mipango endelevu tupo kukomoaaanaa tu!!

  • @benbranco3688
    @benbranco3688 6 років тому

    Sasa kiongoz wa jku na jezu za yanga za nn ha ha ha