Mzee Saidi haboi wala hapoi😂😂😂much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪...Chagamba nikija bongo 🇹🇿,nitaomba nimuone huyu mzee nipige hata selfie naye😅😅
Mzee saidi mche mche mungu sn kwa umri wako usfananishe upuuzi na dini una watoto wanakusikia chagamba muelewa sn umiskia alivyokuuliza mala mbili mbili apo
Mzee said tunafurahi na interview zako’ ila acha hizo mzee’ kila team inaocheza na simba eti wanachezesha majini’ basi itakuwa nyie simba ndo zenu’ manaake unajuaje kama ni majini that means hata nyie ndo zenu.. other than that we enjoy your interviews 😊
Ila sema hizi faini ni ndogo ndo mana Yanga kila cku anarudia tena yaleyale, sasa faini ziwe zinawekwa hata mil.100 hadi 200 labda itkw dawa Shubbaastedi
@FinestInline Umeona ee Yanga kafa ungekula 50 ya mzee Saidi, tatizo na ww uliiamini Yanga ila ckulaumu hata mm ingkw ngm kuamini Azam atamfunga Yanga😁😁😁
Mzee saidi MUNGU Akupe maisha marefu
Chagamba apo sawa 😂😂😂😂😂😂. Tupo kama sita apa kila mtu ana msikiliza mzee wetu. Mzee Said 💪💪💪💪💪💪💪🎉
Asante chagamba nilisubiri kwa hamu kabisa mzee said mungu akupe maisha marefu mzee wetu ❤❤❤ simba naipenda simba ata damu yangu inajua hilo
Anaemfundisha mzee said kingereza Mungu anakuona😂😂😂
Ahsante chagamba kwa kutuletea Mzee Said huyu ndio furaha yetu
jamaniii tangu saaa12 asubuh nimewasha DATA kusubilia mzee saidi 😂😂🤸♀️
😂😂😂😂😂😂
Skechin😂
😂😂😂😂
Mzee said Hana baya like
❤❤❤❤❤❤❤
Apo kweny mtu anakufa ✌️ mzee said kasema Azam hao😂😂😂😂
Nanngwangula nimjusi uyo anakimbia sana alafu anasimamishwa kichwa. Anapenda kukaa kwenye mikorosho. Kanikumbusha mbali uyo mzee saidi
😀😁😂
Chagamba Asante kwa kumleta mzee said ni shabiki wake namba moja tunaomba tuletee Zanzbar
Mzee Saidi haboi wala hapoi😂😂😂much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪...Chagamba nikija bongo 🇹🇿,nitaomba nimuone huyu mzee nipige hata selfie naye😅😅
Mzee saidi mche mche mungu sn kwa umri wako usfananishe upuuzi na dini una watoto wanakusikia chagamba muelewa sn umiskia alivyokuuliza mala mbili mbili apo
😂😂 Mzee said ameshindikana 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kinacho baki nisisi tumsapport chagamba ili tuendeley kupata raha za mzee saiid😂😂😂😂
😂Mzee saidi jamaniii chagamba asante kwa kumleta mzee saidi LIKE 10 KWA mzee saidi jamaniii 😂😂nampenda sana mzee saidi ❤
Me wa kwanza kwako ❤😂😂😂😂
@JosephEnea-yx8rl ndiyo wakwanza kwangu 🤣🤣🤣🤣
@@Shadia544 😂😂😂😂 jambo
Shadia
@emmanuelsiyengo7401 beeeh emma
Kweli haiishi mpaka iishe😂😂😂
Kingili 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Eeee bwaana haiweezekani hahaha mzeee miaaka ming mzeee wangu ahha😊
😂😂😂😂mzee said unanifuraisha sana aisee
Nimeinjoy sanaaa🎉
Tulokua tunamsubiri mzee said gonga like apaa😂😂😂
Waooo
😂
Mmmm mzee ananifurahisha sana
😂😂😂😂😂 mzee said boga linaitwaje kwakingereza?😂😂😂😂 We mzee brudan sana
Mimi napendakasana mzee uyu mimi ni yanga sana damu Ila uyu mzee .
Boga no searching 😂😂😂mzee said weeee😅😅
Mzeee Saidii hizo honi ni mpya sanaaaa😅ilaaa Dik sound😂😂😂
😂😂😂sasa chagamba mzee saidi anatafuta neno priority unamchunia badala ya kumsaidia jamani nimecheka mbavu zangu mimi
Nimecheka sana nilivosikia jina la nan'ngwangula 🤣🤣🤣🤣🤣 ni jamii ya mjusi 😂😂😂
😅😅😅😅😅😅 weweeee ee jaman!!!!!!!!!!!! huku kumekucha mzee said weeeee 😅😅😅😅 jaman nakwangula ndo nini jamn 😅😅😅😅😅😅😅
Mzee said huwa ana fanya kaz gan chagamba
Haya nione comments za wafiya timu au wapenda mpira.... Kwa maelezo ya mzee said
😅😅😅 hamli halali ya polisi sogea sogea😅😅😅
Mzee Said kumbuka wewe sio mungu mpira unamambo mengi.
Kwali mzz said 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
mzeee said wee😂😂😂 50000 ya chagamba umpe na tuone ukiwa unampa😅😅
😂😂😂😂 ila Mzee said jamani
Namkubali mzee said xan
Ila ww Mzee saiz nomaaa
Probability 😂😂😂😂
Namngwangula😂😂😂😂 kimakonde
Shida yake mtoni bar 🍺😂😂😂
Mzee Said 😂😂😂😂
Mashujaa walijisahau wakaloga dakika 90 kumbe kuna nyongeza dadek
Alitaka kusema PRIORITY
Mzee said ni fulaha yangu😅
Mzee Saidi ni Mtu na Nusu Mbavu zangu hukuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
ongea mze
Mzee Saïd safi sana
From zanzbr.... Mzee said checheiiii hakika upo very smart refa kutoka na msaada wa FFU hhhhhhhh
😂😂sasa ndio mkadhurumu mashujaa
Ila uyuuu mzeee said atakufa na utam wake
hahaaa😂😂😂 tatizooo❤❤❤
Chagamba naomba muulze Mzee Said Ngalakasheneee maana yake ni nn? 😅😅😅
leo nimewahi like zangu na za Mzee said zije hapa
Mzee namuelewa sana, alafu ananifurahisha sana
MZee saidi said unavituko sana
Mzee said alikua anataka kusema priority 😂😂😂
Aliyezima TV yanga 🤣🤣🤣🤣
Chagamba utakuja kula makofi kwa Mzee saidi 😂😂😂😂
Mzee saidi daah😅😅😅😅😅
Mmebebwa Jana ndomaana Leo umepoa
Side boy 😂😂😂
Ila Mzee said huwa nafurahii sanaaaa daaaaa
Mzee uko sawa
Jaman mzee said dah
Mzee SIDE BOY❤❤❤
Mzeee saidi bwana
Chagamba forward nani😂😂
Mzee said 😂❤
chagamba muhulize mzee said pale yanga mchezaji gani namkubali sana
Alishasemaga Azizi k jamani husikilizagi interview zake ?
😅😅😅😅 muzeee saidi
😂😂😂😂😂😂Dukushonali
Namnkwangula😂😂😂😂
Advantage kakusudia mzee said sio feva
Nangwangula ni mjusi
Please tuleteee mzee daima
Safi sana
😂😂😂 co 97
Mzee said tunafurahi na interview zako’ ila acha hizo mzee’ kila team inaocheza na simba eti wanachezesha majini’ basi itakuwa nyie simba ndo zenu’ manaake unajuaje kama ni majini that means hata nyie ndo zenu..
other than that we enjoy your interviews 😊
Mzee said 😂😂😂😂😂
Mzee said,Waloshangilia ni simba si Yanga
😄😄😄😄😄😄😄😙
Ninapomsikuliza Saidi napata raha
😅😅😅😅😅😅😅
Safiiii
Ila sema hizi faini ni ndogo ndo mana Yanga kila cku anarudia tena yaleyale, sasa faini ziwe zinawekwa hata mil.100 hadi 200 labda itkw dawa Shubbaastedi
Tupo pale mzee said mbio bado ndefu xn hamchelew kufunga midomo lawama kwa refa haziishi
Mzee said nooouma
😂😂😂😂🙌🏾
na wamuweke uyo nkane leo km hawatobakwa
Respect Mzee said😂😂😂
Chagamb hujaangalia miech ety kadi4 moja tu yagolkiper
Mzee said leo yanga amekufa, utabiri wako leo katafute mganga mpya.
Wewe hueleweki msukuma ulie shangamka
Mzee said 😂
Yanga amepigwa
Chagamba umekosa elf.50
Uoga wangu umenikosesha 100k daah 😂
@FinestInline Umeona ee Yanga kafa ungekula 50 ya mzee Saidi, tatizo na ww uliiamini Yanga ila ckulaumu hata mm ingkw ngm kuamini Azam atamfunga Yanga😁😁😁
Mzee saidi tuma number
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Wagurunjugu
Mzee saidi unanivunja mbavu