CHEKI JINSI PROF KABUDI ALIVYOTOA HISTORIA YA MKOA WA SINGIDA, KISWAHILI CHAKE CHAWAKUNA WENGI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 69

  • @stevenobunde9345
    @stevenobunde9345 8 місяців тому +3

    Prof. Kabudi you are the best!! Asante kutukumbusha Watanzania tulikotoka na tulipo sasa!!!

  • @peterkanza2207
    @peterkanza2207 9 місяців тому +8

    Mzee Kabudi,sauti ya mamlaka,safi sana.

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 9 місяців тому +4

    Asante sana Prof. Kabudi. Unaielewa historia ya taifa letu vizuri sana. Kiswahili chako ni cha kuigwa na kila Mtanzania hasa wale wenye ulemavu wa kuchanganya Kiswahili na Kiingereza wakidhani ndo wataonekana wasomi. Unakipa heshima Kiswahili chetu.

  • @user-cx7uz3ri6v
    @user-cx7uz3ri6v 8 місяців тому +2

    Asante sana Prof. Kabudi
    Sikuwahi kufahamu mambo mengi kuhusu mkoa wa Singida

  • @justinebosire9804
    @justinebosire9804 8 місяців тому +2

    From Kenya i love listening ..to him fluency..

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 Місяць тому

    Vizuri sana Mzee.🙏🙏🙏🙏 Kumbe ni ndugu yetu👍

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo 9 місяців тому +6

    UHUYU BABA NI HAZINA NA RASILIMALI WATU KUBWA SANA KWA TAIFA LETU TANZANIA. TUNAKUOMBEA AFYA NJEMA PROF P. KABUDI. HAPA KAZI TU NA KAZI IENDELEE.

  • @rajaburajabu12509
    @rajaburajabu12509 2 місяці тому

    Historia nzuri sana kabudi
    Najivunia sana

  • @jumanneshigela2900
    @jumanneshigela2900 8 місяців тому

    Prof. Well done siku nitakutafuta niombe historia hii bora kabisa Mungu akihifadhi na kila lililo ovu na akupe maisha marefu ili tusome mengi toka kwako binafsi saluti kubwa kwako

  • @bijaporaelias4280
    @bijaporaelias4280 8 місяців тому

    Asante mheshimiwa kwa kutupa elimu kuhusu umhimu wa mkoa singida

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 8 місяців тому +1

    the only Prof we have in Tanzania

  • @user-st3ws1ns5g
    @user-st3ws1ns5g 8 місяців тому

    🎉🎉🎉

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 9 місяців тому

    Big up Prof Kabudi, popote unapokwenda na kutoa hotuba ...unakuwa super hii haina kupinga... proud of Tanzania...uko vizuri Sana.

  • @thetopafricatours9355
    @thetopafricatours9355 9 місяців тому +1

    Asante Profesa na salamu kwa wanasingida. Mheshimiwa kabudi bado nakuomba uongee na Mheshimiwa Raisi kuhusu Mkataba wa Bandari Kwani Mheshimiwa Rasi alituambia wewe ni Mtu wa Mikataba. pamoja na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao kwa kweli unahitaji marekebisho makubwa kwani wazanzibar kwa asilimia kubwa wanasema tanganyika inawanyonya nami sielewi. kabisa Tangyika inawanyojnyaje zanzibar. Mimi Naona tuwe na Nchi Moja tu. na serikali tatu hiyo inahitaji kura ya maoni pande zote Mambo haya naona ni vyema yaongelewe na ninyi wazee sasa hivi. na sio kesho.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 9 місяців тому

      Kama huoni Zanzibar inadhulumiwa vipi na Tanganyika basi acha Muungano ubakie hivi hivi lakini sasa mamlaka yote iliyonayo Tanganyika kwa Tanzania sasa ipewe Zanzibar na Tanganyika iwe na Serikali yake kama ilivyo leo Zanzibar.
      Wazanzibar HATUKUBALI hata siku moja iwe nchi moja, kimsingi hatuutaki tena Muungano kwa sababu Watanganyika wengi hamuujuwi Muungano kwa sababu hauwaumizi, Wazanzibar wote wanatafautiana kusiasa lakini kwenye kudhulumiwa na Muungano wote wanaelewa. Nakutajia mambo machache Wazanzibar hawahawahi kuwa na hata Naibu Spika, Naibu Gavana, kuna taasisi kadhaa za Muungano kama vile NECTA, TCRA, ATCL nk Wazanzibar hawapati hata ujumbe wa bodi achilia mbali management. Kwenye Katiba ibara ya 133 - 144 imezungumzia masuala ya fedha ikiwemo kuanzishwa akaunti ya pamoja, mikopo na misaada, CAG nk mbona ibara hiyo hadi inadaiwa Katiba Mpya HAZIJATEKELEZWA. Fedha ndio uchumi mkiizuwia hapo Zanzibar ndio mumeiua kabisa. Ndio tunasema Katiba mpya tuangalie na tuujadili upya Muungano kwanza tuone uendelee au uvunjwe. Wazanzibar HATUTAKUBALI Katiba Mpya ambayo ni Mkataba mpya bila kuelewana vizuri kwenye hii. Yanayoidhulumu Zanzibar hayatokani na Katiba iliyopo ni kutokutekelezwa tu, kuna assurance gani kwamba Katiba Mpya ITATEKELEZWA 100%?

  • @shadowkasi6881
    @shadowkasi6881 9 місяців тому +1

    Mimi sinashaka pro kabudi
    Namkubali sana.

  • @user-mc3du2rz8l
    @user-mc3du2rz8l 9 місяців тому +1

    Huzee wako unafaida kwetu vijana pa kujifunza mengi ya kimaarifa Na kizalendo big up prf kabudi long life💐

  • @ObediKinkusha-gq8fw
    @ObediKinkusha-gq8fw 9 місяців тому

    Asante kabudi uko vizuri tunakuhitaji

  • @mwanaidiomari2676
    @mwanaidiomari2676 8 місяців тому

    It's very good

  • @christopherchisuligwe512
    @christopherchisuligwe512 8 місяців тому

    Real profro

  • @joycemalima2790
    @joycemalima2790 9 місяців тому

    Hongera sana

  • @meshackmwankusye2908
    @meshackmwankusye2908 9 місяців тому

    Amina Amina sema amen ukombozi wa kweli unakuja

  • @user-yd1pc8uy8x
    @user-yd1pc8uy8x 8 місяців тому

    Good man

  • @sashawambura
    @sashawambura 9 місяців тому +1

    He is always unique...

  • @bonnymartin3348
    @bonnymartin3348 8 місяців тому

    Asante kwa kuitaja shule yangu ya Mwenge Sekondari sauti ya Mamlaka hiyo.

  • @alexanderdustan8872
    @alexanderdustan8872 9 місяців тому +2

    Huyu ndio professor

    • @user-ur4rx1lr6l
      @user-ur4rx1lr6l 9 місяців тому

      Huyu niwaukweli sio wengine wanao ota kama uyoga

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 9 місяців тому +1

    SAUTI YENYE MATUMAIN SAUTI UKISIKIA UJUE KUNA KITU HAPO ..HONGERA MH.KABUDI

  • @mdoeonesmo6780
    @mdoeonesmo6780 9 місяців тому

    🔥

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 9 місяців тому +2

    Umesoma sana lakini umetuagusha kisa cheyo simamiya ulicho someya

    • @obedlwinga9194
      @obedlwinga9194 9 місяців тому

      Cheyo kafanya mini tens hapo? Au cheo

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 9 місяців тому

    Mungu akutunze ww Baba

  • @yahayaally8416
    @yahayaally8416 9 місяців тому

    Baba Pinga kazi nakubari ww mze

  • @braviuscosta1430
    @braviuscosta1430 9 місяців тому +1

    Huyu ndo angekuwa rais nampenda sana

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 9 місяців тому

      Haswaaaa uongozi wa urais unahitaji mtu mwenye akili

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl 7 місяців тому +1

    Professional person God helps you for everything

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 9 місяців тому

    Unashangaa dhahabu kama hii haithaminiwi kisa simwenzetu,ila Mungu akuongoze pr Kabudi

  • @shd12m55
    @shd12m55 9 місяців тому

    Hk kichwa ni balaa,,RIP MAGUFULI

  • @rwekazamugasha6448
    @rwekazamugasha6448 9 місяців тому

    Prof Kabudi apewe majukwaa ili aendelee kutuo historia sahihi na uasilia wa Kiswahili.
    Keep it up, Prof Kabudi

    • @user-yd1pc8uy8x
      @user-yd1pc8uy8x 8 місяців тому

      Kwa Nini mama kamtoa w ya mambo ya ndani?
      Niliuzika Sana.

    • @user-yd1pc8uy8x
      @user-yd1pc8uy8x 8 місяців тому

      Samahani mambo ya nje

  • @MartinLaban
    @MartinLaban 9 місяців тому

    Jembe jembe jembe sauti haijawahi badirika safi saaana mama akitoka kura yangu nakupa roho saaaafi.

  • @josephkafumu3006
    @josephkafumu3006 2 дні тому

    Hiii ndo sauti ya kutunzwa sasa

  • @humbemusa3480
    @humbemusa3480 9 місяців тому +1

    Mbojo ni hatariii saana kwa wakati huo

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 8 місяців тому

    Nyerere alikuwa na akili sana

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 9 місяців тому

    Amesha ramba asali uzalendo umemshinda sasa anafukuzia vyeo. Tuliambiwa yeye ndio mzee wa mikataba na matumda yake tumeyaona bandari wanakabidhiwa Dubai na watanzania wanafukuzwa kwenye ardhi ya nchi yao wapewe wageni hongera Prof.

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 9 місяців тому

    huyu akiongea hatulii macho

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 3 місяці тому

    Singidani NI jina la kimangati ua barbagi pia hujakosea Sana watindiga NI WA barbagi WA mbugani na wanyaturu hawakutokea ethopia wametokea Somalia wao na Watusi waliondoa wakati moja

  • @jairoshamisi3266
    @jairoshamisi3266 8 місяців тому

    Wana manyoni singida hoyeee

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 9 місяців тому

    Nabii hanaga heshima kwao,,,,,watu kama hawa ingepaswa kuonekana wamekalia ngazi za juu za uongozi wa nchi ili tuyafaidi madini yaliyomo vichwani mwao,,,,ila ndivyo hivyo

  • @msafiriatanasiovicent209
    @msafiriatanasiovicent209 8 місяців тому

    Kabun we ni baraa mkuu mpe uwazir

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 8 місяців тому

    Vipi yale makonteina ya makinikia na mikataba yake imeishia wapi...

  • @johnmsambuzi9094
    @johnmsambuzi9094 9 місяців тому

    Lengo la historia hiyo kwa mda huu nini,tunaomba kuelewa,na anayesomewa historia hiyo lengo afanye nini

  • @kianda973
    @kianda973 9 місяців тому

    Noah zetu ziko wapi?

  • @godiusjilaoneka3484
    @godiusjilaoneka3484 9 місяців тому

    9

  • @amanikudeli5297
    @amanikudeli5297 8 місяців тому

    Mwamba huyu

  • @user-cs7xw9gl2p
    @user-cs7xw9gl2p 8 місяців тому

    Vee umnyaturu mbuyani

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 9 місяців тому +1

    Kwanini ulijitukana mwenyewe nakukumbusha uliokotwa wapi? Do you still remember

    • @alexanderdustan8872
      @alexanderdustan8872 9 місяців тому

      Akili yako ndio inaona hivo

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 9 місяців тому

      Endelea kukumbuka historia na roho yako ya chuki...huwezi mfikia huyu mwamba kwa lolote !!!

  • @humbemusa3480
    @humbemusa3480 9 місяців тому +1

    Nimeipanda bureee hii historia ya Singida kutoka kwa Kabudi umetishaaaaaaaaaa ungesema na kinyaturu kidogo tukusikie.
    Maua yako tunakupatia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-or8ow5vr7m
    @user-or8ow5vr7m 9 місяців тому

    Acha upumbavu wewe nani kakuuliza

  • @jumanneshigela2900
    @jumanneshigela2900 8 місяців тому

    Prof. Well done siku nitakutafuta niombe historia hii bora kabisa Mungu akihifadhi na kila lililo ovu na akupe maisha marefu ili tusome mengi toka kwako binafsi saluti kubwa kwako

  • @user-mc3du2rz8l
    @user-mc3du2rz8l 9 місяців тому +3

    Huzee wako unafaida kwetu vijana pa kujifunza mengi ya kimaarifa Na kizalendo big up prf kabudi long life💐

  • @ybmtaakwamtaaofficial3415
    @ybmtaakwamtaaofficial3415 8 місяців тому

    🎉🎉