HATARI: MPINA AJITOA MUHANGA AFICHUA MAMBO YAKUTISHA USIKU HUU/ NIPO TAYARI KWA LOLOTE HATA MKINI...
Вставка
- Опубліковано 13 чер 2024
- HATARI: MPINA AJITOA MUHANGA AFICHUA MAMBO YAKUTISHA USIKU HUU/ NIPO TAYARI KWA LOLOTE HATA MKINI...
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#hatari #mpinaajitoamuhanga #afichuamamboyakutisha #usikuhuu
#mpina #bashe #mpinavsbashe #luhagampina #husseinbashe
#mwigulu #atajasababuyakutumbuliwa #uwaziri #magufuli #mwiguluvsmagufuli #bungelabajeti
#kinachoendeleasimba #bilioni20 #pesazipowapi
#halimamdee #mwigulu #halimavsmwigulu #wabunge #simbasc #yangasc #simbaleo #yangaleo
#rcmakondaarumeru
#ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu - Розваги
Kanda ya ziwa Kuna watu wazalemdo sana my brother God bless you ♥️♥️
Mpina always is My best friend❤❤
Yes, Mpina you are the hero, tunataka tuone action maana spika nikama alikua anakupiaa mkwara kumlinda, lkni kwa facts hizi hachomoki hapa. Ni Mpigaji tu huyo jamaa.
Msukuma mmoja noma sana
Mpina! Mungu Akulinde, na Akupe Kibali zaidi.
Duniani kuna watu mmojawapo ni Mpina!
Namuona Magufuli akiishi bado
Safi sana tunaitaji watu kama nyie msiokuwa na mzaa na mtu
Tukijenga taifa la watu wengi wenye kujiamini ,kukosoa ,kujenga hoja na wabunifu taifa letu litakuwa madhubuti kwa kuwa hata tukipata viongozi dhaifu na wenye uwezo mdogo kiutendaji kutokana na ukosoaji atakaa sawa na nchi itanyooka.safi sana mpina.
Tatizo viongozi wanaosema kweli na wazalendo hawatakiwi,wapigaji ndo wanalindwa hatari sana
Ccm mnaijadili chadema jee hililinawapendezaa mungu wangu
Du mpina wew ni hazina kwenye nchi hii
Safi sana
Rais Samia chukua hatua kwa hawa mawazili.kama ulivyochukua kwa RC wa simiyu alipomwingilia kinyume na maumbile kama alivyoelekeza mungu tuingiliane mwanafunzi wa chuo mwanza
SWALI LANGU VIBALI VYA KUAGIZA SUKARI WALIVYOPEWA WENYE VIWANDA VYA SUKARI WALIAGIZA?NAKUAMUA HAWAKUAGIZA WW ULITEGEMEA NN KWA WATANZANIA
Ok baada ya kupewa vibali wenye viwanda kuingiza na hata kama haeakuingiza je yeye waziri mwenye dhamana alifanya nn? Je wew unahisi nani analipenda taifa kati ya Bashe na Mpina?
Duuuh mpka dak hii Mpina ni mshindi lkn vile viongozi kubebana Bashe atabebwa tu
Mpina ww ni jembe kaa vizuri na bajeti ya mwigulu
Hi mh. Rais, huyo waziri annsubiri nn kuachia hicho kiti???!
My member of parliament Mh. Mpina
Upo sahihi kabisa, tunataka na kwenye mbolea ya ruzuku achunguzwe
Ndugu Mpina,unatusaidia ambao hatupo Bungeni na ndani ya serkali kuona utendaji wa viongozi wetu ulio na upungufu mkubwa.Kuna haja ya kumsaidia kiongozi huyu.
Sukari haijawahi kumuacha mtu salama...kwa mnakumbuka linakuja kufanana na ile ya Iddy Simba
Wanapiga kwaulefu wa kamba zao,Tanzania😢
Huyo waziri Hana uchungu na nchi yetu anajijua mwenyewe anachotaka kufanya
Mpina sio mpinzani ndio inavyotakiwa mbunge awe kama mpina
Sawa sawa
Mpina nmzarendo period,hawa wengine chumia tumbo
Kila mmoja akifanya majukumu yake na kuacha ubinafsi kama uliosemwa, nchi hakika ingekuwa mbali sana.
Kumbe ushahidi ni nafasi nzuri
Heko LJMpina
Haya mambo yanahitaji elimu kama ya mpina. ndio maana wabunge wa darasa la saba huwa siwakubali kabisa.
Basheeee
Ipo Siku Ukweli Wako Tutaukumbuka
Tumsikie Bashe naye anasemaje
Inasikitisha kabisa kwamba Mh. Rais anamuacha Bashe kuendelea kuwa Waziri wa wizara husika. Sielewi kwanini Rais hachukuwi hatua haraka
LALALA LALALAÀAAAA MPIRA UKO KWENYE GOLI HAPA NI HATARIÌ.
Hayo NI maneno tu hakuna kitu apo bashe piga kazi
Tungekua na bunge la wabunge sitini TU kama mpina wangetosha na tungefika mbali kuliko kuwa na wapiga Makofi bungeni Kila kitu hata kama ni kibaya Kwa taifa letu
Kumbe mamamaaaa
Mpina has capacity drilling reality underground but mostly of this call themselves palament member they are bise difend green uniform not difend national problems
Umejitahidi mpina
Toa Bashe weka abuduli si ndionavyotaka?. Toa Bashe weka mwigulu Basi.
Kawazili bashe ni kajizi sana kama ukikasikiliza kanavoongea utafikili ni kakweli kaongo kajizi sana na hapo katalindwa mtaona kama kitaendelea kitu hapo mama hao ndio anawapenda
Tabaaaaaa
Mpina ni mbunge mkweli na anafanyiwa mizengwe ili kudhoofishwa
Mpna komaa nao usiogope hao wapigaji ogopa my gu peke take.
Huyu jamaa ni msomali hawezi kuwa mzalendo ccm itatuua tudai Tanganyika yetu wasomali na wazanzibari
Hivi wabunge nyie wa sisiemu huwaga mnfikiria Nini mkimuona mpina Ana asesiment hivi maovu ya serikali na mawxiri feki wake?nafikiliaga Nini na makofi yenu TU
MAANA hatuonagi HATA mmoja kumuunga mkono LABDA tabasamu kwa mbaali.mlaaniwe nyie
Shetani alishushwa duniani kufanya Nini? Si sngeshushwa kwa sisiemu tuu? she sense nao jehanam .MAANA sisiemu wote kuacha magufuli na mpina Tuu. Engine wote NI group la shetani.tu msukuma nato mhu
Safi sana