DUA HII HUMRUDISHA MPENZI WAKO ALIEKUTOROKA NA KUMFANYA AKUPENDE NA KUKUJALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @fatumachala4980
    @fatumachala4980 Рік тому +3

    Mashaallah shekh Diwani na shekh Ahmad nawapenda Kwa ajili ya Allah kupitia Dua zenu Sina Cha kuwalipa zaidi yakuwaombea yaliyo mema na Bora na mzidi kutupa yaliyo bora

  • @LitohDamphah
    @LitohDamphah 11 місяців тому +7

    "Bismillahir Rahmanir Rahim"" Allahumma ya manradda Musa ila ummihi ❤wa yaa manradda Yusufa ila abihi bihaqqi innahuu alaa raj ihi la kadir arjii❤ (Fulani) ilaa❤ (fulaani) mutia ❤muhibba❤ masruuran❤ ya maan idhaa aradaaa shay an an yaquula lahuu qun faya qun

    • @omarikable
      @omarikable 10 місяців тому

      Mashallah

    • @LitohDamphah
      @LitohDamphah 9 місяців тому

      @@omarikable 💜💙

    • @ashakhamis9093
      @ashakhamis9093 2 місяці тому

      Hapo arjiii fulan,mfano waandika Ahmad Ila asha hatujaelewa hapo

    • @MaryamShaib
      @MaryamShaib Місяць тому

      Shukraan ❤

  • @usushjsjsj1699
    @usushjsjsj1699 2 роки тому +3

    Mariam Mohamed
    AllahuAkbar,Allah azidi kukuhifadhi Sheikh 2nanufaika na elmu mbalimbali akuzidishie umri In shaa Allah

  • @LitohDamphah
    @LitohDamphah 11 місяців тому +1

    MashaAllah tabarakallah sheikh Yusuf Allah akuzidishie ilmu na akufutie madhambi yako 🤲

  • @HawaomaryMohammedy
    @HawaomaryMohammedy 12 днів тому

    Asante sana mungu awalipe sn mm nashida na Dua shekhe tumetolokwa😢

  • @tanianizigiyimana9339
    @tanianizigiyimana9339 Рік тому +3

    Assalam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh naomba uniandikiye iyo Dua ameniterekeza na watoto na omba unileze jinsi yakuisoma

  • @saidinasaidi8087
    @saidinasaidi8087 Рік тому +3

    Kama siwez kusoma hyo sura ninafantaje

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Рік тому +2

    Mashallah , niko Busia kenya nilikimbiwa na na mume na watoto wa 2 hawatembei yapata miaka 4 tokea hapo anaowa wanawake yofauti nisaidie

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 9 місяців тому

      Pole dear Mimi mwenyewe mpenzi wangu alipewagwa maneno akapndokaga bila mawasiliano na mimi muda

  • @user-lq8zi6on2e
    @user-lq8zi6on2e 10 місяців тому +2

    Shekhe atakama kaondoshwa na kafungwa kichawi

  • @swalehomar4180
    @swalehomar4180 2 роки тому +2

    Masha Allah

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 9 місяців тому +1

    Jina zuri nalipendaga la yusufu jina la kaka yangu

  • @maliamjuma9376
    @maliamjuma9376 9 місяців тому +1

    Mungu nisaidie

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 9 місяців тому +1

    Ahaa duwa hiyo ndio wanasemaga ni nzur

  • @SalamY-n3v
    @SalamY-n3v 6 днів тому

    Asalam ww shekh mie mtoto wangu alitukimbiya ivi myaka2 nataka arudi kwetu naomba unipe namba yako ya sim

  • @MariaArshady
    @MariaArshady Рік тому +1

    Shehee naomba nindikie duya yakumudisha mpenzi wang

  • @JimmyKirumbi-ys4cz
    @JimmyKirumbi-ys4cz Рік тому +1

    Je unaweza kufanya ikiwa hauko twahara?

  • @mwanamkuusuleiman7889
    @mwanamkuusuleiman7889 Рік тому +1

    MashaAllah naomba hiyo number niwapigie Shekh

  • @BiiraSarah-y4e
    @BiiraSarah-y4e 8 місяців тому +1

    Naomba musaada mume wangu ameniasha nataka arudi

  • @user-sw8zv5lk3m
    @user-sw8zv5lk3m 10 місяців тому +1

    Ibrahim namba ya tarakim inakuaje naomba msaada

  • @saquinaalisufo7666
    @saquinaalisufo7666 Рік тому +1

    Allahmdulillah 🇲🇿🙏

  • @nasruddiinmjwahuzi4041
    @nasruddiinmjwahuzi4041 2 роки тому +1

    Ahsant saana shekhe

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 9 місяців тому +1

    Tunaomba utusomee unapatikana wapi

  • @user-sw6dt9ws8r
    @user-sw6dt9ws8r 9 місяців тому +1

    Tuandikieni Dua plz

  • @annaannafaque8953
    @annaannafaque8953 Рік тому +1

    Na mimi nina matatizo hayo nipo mozambique utanisaidiaje ustaz?

  • @maliamjuma9376
    @maliamjuma9376 9 місяців тому +1

    Bismilah rahaman rahm

  • @abubakarsaid9190
    @abubakarsaid9190 Рік тому +1

    Mi naomba uniandikie dua ya kumrudisha mpenz wangu

  • @halimaalimwamajeni6291
    @halimaalimwamajeni6291 2 роки тому +1

    Wlkm slm warahmatuallh wabarkatu mashaallah

  • @feza5153
    @feza5153 Рік тому +1

    Jambo sheikh nataka dua yako

  • @abubakarsaid9190
    @abubakarsaid9190 Рік тому +1

    Shehk dua ndo tatizo tupen namba zenu mtuandikie

  • @roza9883
    @roza9883 Рік тому +1

    Walkum msalm Shekhar naomba dua ama namba ya sm plz

  • @salmasulleysh7101
    @salmasulleysh7101 Рік тому +1

    Mwaregesha na pesa ngp

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 6 місяців тому

    Shekhe Yusuph diwani Unapatikana wapi na tupatie no# zako pls

  • @asia7527
    @asia7527 Рік тому +1

    Naomba hiyo dua

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Рік тому +1

    Na wa miaka 5 na ameoa wengine

  • @SharifaBakari-mq4wc
    @SharifaBakari-mq4wc Рік тому

    A alaykum..shekh naomba namba zako za nipate kuwasiliana na ww

  • @zuwenahaji860
    @zuwenahaji860 Рік тому +1

    Dua ndo shida ulikua utuandikie

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx 3 місяці тому

    Namba munaziandika ndogo

  • @faidhaanderson300
    @faidhaanderson300 Рік тому +1

    Mfano festo

  • @nasemkena2603
    @nasemkena2603 Рік тому

    Vipi hassan

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 Рік тому +1

    Tupeni namba zenu na pia duwa tuandikieni plz

    • @salehkhamis3785
      @salehkhamis3785 Рік тому

      We unadhani utapewa tu hazina za watu!! Yani masheikh kukupa hazina za siri za dua sio rahisi utapewa labda kwauchaaache uambiwe njoo njoo. Pia dua unaweza kupewa zote lkni sio kma nawe ztafanya kazi kma kwake

    • @salehkhamis3785
      @salehkhamis3785 Рік тому

      Na wala usiwalaumu nawe kasome kama raha yani

    • @salehkhamis3785
      @salehkhamis3785 Рік тому

      Mimi nawe tutafute saatul ijaba ijumaa wenyetu

  • @avelinamauyo2523
    @avelinamauyo2523 Рік тому

    Habari

  • @kiduboy5812
    @kiduboy5812 2 роки тому +2

    Mwalimu dua yake naomba uniandikie samahani sijailewa

    • @shimafuad6868
      @shimafuad6868 Рік тому +4

      ALLAHUMMA YAA MAN RADDA MUSSA ILAA UMMIHI WA YAA MAN RADDA YUSSUF ILAA ABIHI BIHAQI INNAHU ALAA RAJIIHI LAQADIR ARJII FULANI (UNATAJA JINA) ILAA AHMADA MUTWIA, MUHIBBAN, MASRURAN, YAA MAN IDHAA ARADA SHAY AN ANYAKULA LAHUKUN FAYAKUN