HIV TESTS | KUPIIMA VVU NA UKIMWI | PART 4 | SBK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 14

  • @moseschristina8377
    @moseschristina8377 Рік тому +1

    Tunashukuru sana cheif 🙏🏼🙏🏼🙌🏻

    • @sanirutv2300
      @sanirutv2300  Рік тому

      Karibu sana Mtaalam mwenzangu...tuendelee kujifunzaa...#GrowUpInLaboratoryMedicine#

  • @emmanueljoshua7769
    @emmanueljoshua7769 Місяць тому +2

    Hiv vipimo vinatoa majibu mda gan toka mtu aambukizwe

    • @sanirukimweri9275
      @sanirukimweri9275 Місяць тому

      Hii itategemea na aina ya kipimo unachotumia.
      1. Vipimo vya haraka (rapid tests) vinaweza kuona kati ya siku 18 mpaka 90. Vile vya mchanganyiko kati ya antibody na antigen siku zinapungua kidogo.
      NB: Kwa makadirio hivi vipimo vya rapid test vinaona ugonjwa kati ya wiki 2 mpaka wiki 12 kwa ujumla.
      3. Kipimo cha Molecular (kama PCR au tuseme viral load) kinaona mapema zaidi kuanzi siku 7 ambayo ni kama wiki moja hivi.
      NB: Kipindi kutoka maambukizi mpaka kupatikana kwenye kipimo kinaitwa Window period.

    • @emmanueljoshua7769
      @emmanueljoshua7769 Місяць тому

      ​​@@sanirukimweri9275kwahy cha rapid test kilich andikw aBboth miez miwili kinaweza toa majibu sahihi?

    • @sanirukimweri9275
      @sanirukimweri9275 Місяць тому

      Ukiangalia hivi vipimo vinabireshwa mara kwa mara. Kuna hii antigen inaitwa p24 ambayo unaweza kuipata tu ndani ya wiki. Kwahiyo itategemea sana na advancement ya vipimo unavyopima.

  • @salumujumanne6629
    @salumujumanne6629 11 місяців тому +1

    Kazi nzur sana kaka

  • @LastonMula
    @LastonMula 8 місяців тому +1

    Asante sana kaka

  • @LeyaWiliyam
    @LeyaWiliyam 4 місяці тому

    Sasa msigwa umesha kaanae uka mwambia au

    • @sanirutv2300
      @sanirutv2300  4 місяці тому

      Hatukai Mtaalam bali kila mmoja anafanya ile taaluma yake bila kumdhihaki mwingine. Sisi sote tuna lengo moja la kufanya afya bora za watu wetu. Sasa huu utabibu ndio kuna wa kisasa (Modern medicine) na utabibu wa kiasili (Traditional medicine) ambapo sote tuna lengo moja. Yaani ni kama mkulima anayetumia jembe la mkono na mkulima anayetumia trekta, wote wana lengo l kulima. Kwahiyo huwa pia matibabu haya yanategemeana na kusikilizana pia. Mfano unaweza kutumia juisi ya mimea kwenye tiba asili halafu kwenye tiba ya kisasa ikawa kwenye mfumo wa vidonge. Angalia nchi kama Cuba, India, China, Korea wanatumia sana tiba asilia na wao wamewekeza mpaka kuwapa vibali rasmi na uthibitisho. Angalia dawa za maji (syrup) za kifua utaona kwenye vinavyotengeneza ni mimea sehemu kubwa. Pale Muhimbili kuna Taasisi ya tiba asili (Institute of Traditional Medicine) na ipo kwenye mfumo wa utawala wa Muhimbili hakuna shida. Sisi sote tuna lengo moja, ila mimi ni mwalimu wa matibabu ya kisasa (modern Medicine) tunarahisisha maarifa tuyaelewe. Kila mmoja anapoleta kitu cha kitabibu sokoni kuna hatua yeye anafuata na kuna mamlaka husika za kufuata kwa ajili ya kuingia sokoni ili kuhakikisha usalama wa watumiaji. Kwahiyo mimi ni muumini mzuri sana wa kuona kama tunaweza kuwaponyesha wangonjwa wetu (kwa msaada wa Mungu) na kuongeza maarifa zaidi. Nafkiri umenielewa ndugu yangu. Asante sana😊

  • @ussihussein9264
    @ussihussein9264 2 місяці тому

    Unaongea sana ila sijakufaham

    • @sanirukimweri9275
      @sanirukimweri9275 2 місяці тому

      Kaa kwa utulivu halafu ujiandae kuelewa, utanifahamu vizuri tu ndugu. ❤...kuna baadhi ni za kitaalamu sana nikiwa nawalenga wale wanaotupima ili tupate majibu mazuri.