MAPENZI YAMENIFANYA NIWE MUUWAJI - 2/8

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Kwa simulizi zaidi subscribe channel hii Simulizi Mix na kwa simulizi fupi subscribe channel simulizi fupi bofya hapa / simulizifupi

КОМЕНТАРІ • 40

  • @queentoto3878
    @queentoto3878 2 роки тому +2

    😂😂😂😂mwanaume wa hovyo sana uyo ndio akawa anaona nikimuacha nani atakulea 🤣🤣🤣m2 unakaa kwenye nyumba ya mwanamke alafu unasema nyumban kwako kaka unazo kwwli 😂😂😂so far simulizi isha ni kwanza siwenzi kusikiliza kabsa mwanaume anaee vumilia ujinga 🙌🙌🙌🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @jacklinequeen3214
    @jacklinequeen3214 2 роки тому +1

    Majina n FM asante sana simulizi mix be blessed

  • @jacklinequeen3214
    @jacklinequeen3214 2 роки тому +1

    Uyu nae na msamaa jamani yaani unaona MTU anatembea na wanaume na anamusamee tu aja tusikie vile kutaenda anataka kuama mbuuzi sana uyu mwanaume

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 2 роки тому +1

    Hongera yake bro F M

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 роки тому +1

    Duu mwanamkee.mkatili yani mimba umetoa mana unajua ni yainjee yandoa pili mnafikii kweli

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +2

    Mm ni mwanamke lkn hayo pia cwezi himili

  • @joycekazungu4003
    @joycekazungu4003 2 роки тому +1

    Mmmmh mapenzi bwana

  • @جيهانسالم-ج3خ
    @جيهانسالم-ج3خ 2 роки тому

    yooo pole sana kadhara

    • @جيهانسالم-ج3خ
      @جيهانسالم-ج3خ 2 роки тому +1

      sasa wanawake kamahawa jamani mbona wanatutukanisha wangi watasababisha wenye hawajaolewe

  • @shamayzawahir2508
    @shamayzawahir2508 2 роки тому +1

    Dah kazara anaficha na yote anaelezew Sasa n Simon dah maneno ya Simon nataman kutoa machoz dah

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 2 роки тому +1

    Kazara atakua kalishwa knyamaaa😂😂😂😂chenye nywele zakeee🤣🤣🤣🙌🙌🙌

  • @kariminjagi7387
    @kariminjagi7387 2 роки тому +1

    Simulizi tamu

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 2 роки тому +1

    Kupenda kubaya Sana, huyu mwanamke ni nyoka

  • @nailamimi20
    @nailamimi20 2 роки тому +2

    Ur voice Fm MashAllah ❤️❤️👌

  • @genovivamarcus5411
    @genovivamarcus5411 2 роки тому +1

    Jamn huo ni upendo na nusu a.k.a uzuzu 😳😳😳 mwanaume Umepooza huna hekaheka jmn uwiiiiiiii

  • @aishaabdallah8558
    @aishaabdallah8558 2 роки тому

    Uyo mwanamke mnafiki na muuaji

    • @medinahsamita3981
      @medinahsamita3981 2 роки тому

      Uko na sauti nzuri sana nazikiza nikiwa Nairobi Kenya 🇰🇪

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +2

    Mke wako ni tembele la uani huyo

  • @beatriceshadrack9020
    @beatriceshadrack9020 2 роки тому +1

    Kumbe wanaume zuzu bando wapo

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 2 роки тому +1

    Mapenzi haya jamani uteseke tu kwa sababu ya kuwa nimzuli si ubwenge sasa

  • @MdBabu-sh4ov
    @MdBabu-sh4ov 2 роки тому +1

    Love 😘 Felix

  • @gigimedia4065
    @gigimedia4065 2 роки тому +1

    Alafu huyu mwanawume ni bwege kbx

  • @mrdocta3106
    @mrdocta3106 2 роки тому +1

    Si dhani kunauvumilivu kama huu, so far nimesha kwazikaa. Wanaume kama hawa awapo, labdaa FM😂😂😂

    • @queentoto3878
      @queentoto3878 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti fm ndio kuna nini

  • @vero756
    @vero756 2 роки тому +1

    Eti mimi nani kwako mke wangu😁hapo hakuna mke ni chagundua🤭eti utapata mke mnzuri kama susan sasa unzuri wake uko wpi lakini makubwa.unafķi tuh😏😏

  • @aishaabdallah8558
    @aishaabdallah8558 2 роки тому

    Sauti ya fm ni sauti ya mwangi kwenye mawimbi ya bahari

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 2 роки тому +1

    mwanamke bahili kweli, mtu mkimiya siwakuaminika hata kidogo, Green snake in the green grass, alafu huyo muoaji sasa hovyo kabisa, kama ni mm talaka ingekua yamngoja 🤣🤣🤣

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥👌

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 2 роки тому +1

    Really painful akii 😰😰😰

  • @pilishazycounterog8200
    @pilishazycounterog8200 2 роки тому +1

    Dunian kunamambo

  • @zainabubahati5661
    @zainabubahati5661 2 роки тому +1

    Asante

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 2 роки тому +1

    Ni bora upate pigo la mara moja na siku ztaenda utasahau kulko kufuga kdonda moyon mana hlo ni kama bomu siku lkilpuka ni shda unakua kama mbogo wa porini🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 2 роки тому +1

    Mimba sio yako Kazara ndo mana yataka kutolewa jamani jamani wanawake

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 2 роки тому +2

    Nafsi ya mtu kichaka. Ugopa Sana mtu mnyemavu

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 2 роки тому +1

    Mhm Mungu kaniumba mwanamke ningekuwa mwanamme nisingeyaweza siwezi kustahamili hata sekunde kama huyu mhm🤔 FELIX weye je ungeyaweza haya?😁

  • @fatumajumanne3529
    @fatumajumanne3529 2 роки тому +1

    ❤️❤️❤️

  • @فوازالفواز-ذ5ظ
    @فوازالفواز-ذ5ظ 2 роки тому +1

    Asante