Kenya niwambie kitu... Muziki wa saut sol na vijana wao wa sol generation... hio ndo music... coz every rule in writing and preparing music is respected, music notes and keys of different kinds are used according to the melody... but huku bongo wasanii wetu uimbia funguo moja tu KEY C almost every song...
Can we agree that Kenya's got the best music in Africa. Why are these our great artists not getting much airtime as Bongo and Afrobeat. And that thing called Grammy need to search better next time.
Afro Rumba which has evolved with the young generation authentic Kenya music that’s the way Kenya music will go far just like the Nigerians have done to Afrobeat by Fella now it’s Afrobeats and Tanzanians have done to Taarabu and evolved it to bongo we need to stick to our roots and evolve the music . Tuwache genge na rap na English music
Dear future husband....masaa ya kungfu please jua playlist ni ya okello max....Na tunaanza na nakufa.....by the time tunafika kungfu I should be speaking like shaolin😂😂😂😂........aki this one akiiiiiii🙆♀️🙆♀️🙆♀️❤❤❤❤❤❤
Hii nayo Ni Kali majamaa... Finya if we are together
Sijai skia ngoma chafu safi hivi😆😆.....LEEEER!!!👌
I got your point from far buddy. You must be a good meditator 🤗..... LEEEER NDI!!!👌
Napenda hii translator ati.. I don't know how to clean dirty dance like this🤣🤣
@@infortechn 🤣🤣
😂😂 same bro..same 😂😂
@@infortechn😂uo
Yani tabia mbaya imerembeshwa hivi💥💥💥💥💥now this is creativity, delivery kama za tz
🤣
🤣🤣🤣🤣
Sasa watanzania tumekosa nn😂😂😂😂
😂😂😂😂I swear
😂😂😂😂
Mimi kama mwalimu wa rhumba hii mumejaribuuuu sana ..😂😂😂😂😂😂😂😂🎻🎻🎻🎻🎸🎸🎸🎸 mkuje darasani kuna vibokoo zenu
Wacha ujinga😂😂😂😂
Samaki haliwi upande moja 🤭 sheesh!
Niliskia kwa show wakiimbia bebii😂😂😂❤❤
Mrenda will not be innocent in my eyes ever again😭😭
Kenya niwambie kitu... Muziki wa saut sol na vijana wao wa sol generation... hio ndo music... coz every rule in writing and preparing music is respected, music notes and keys of different kinds are used according to the melody... but huku bongo wasanii wetu uimbia funguo moja tu KEY C almost every song...
Wah.....iko top aje 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
mit nyowuoyo 💥💥💥💥💥wuod OBOTCH CHIRO NYALENDA 🏋♂
Baada ya kusikia bebii akiimba hii wimbo ilibidi niitafute and its on its on level mwaaaahh❤❤❤❤
Rhumba sio Kali kama sio ya Okello, bado ni moto kama NAKUFA✅✅
He is the king of Drill Rhumba
Leaving this comment for my future daughter in 2033❤.. Was here 10yrs ago
HII TOA VIDEO.. USICHELEWEE..🔥🔥🔥
Naskiza G.O.A.T. 🐐 💪
Eeih 🔥🔥🔥lakini nimeiskiza nikiblush... Veery veery naughty but smooooth.
Poooodi! Lich mar hatari
❤❤❤ iyo song Iko lit
This song will one day top charts. If you believe so like this comment
Heh! 🙌🏾🙌🏾 ! Dirty but ler! ❤
On behalf of my family ,my village people,my ancestors and also my wicked landlord,I approve this HIT!!💯💯🔥🔥🔥we love it💯 🇰🇪🇰🇪💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wicked landlord akiona hii utalala nje mtu wangu 😂
Amenyoa Shaolin
The wicked landlord was just chilling then BOOM 🤣🤣
@@djmems2545😮r😅
Remix...ft mejja and the OG MTA choma hizi systems penye zimebakishwa na hii Ngoma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💀💀🦸🦸🐓🐓
Noma sana 😅💓💓💓
Boss toa video bUaNaA...huezi toa hit utucheleweshee video apa
Can we agree that Kenya's got the best music in Africa. Why are these our great artists not getting much airtime as Bongo and Afrobeat. And that thing called Grammy need to search better next time.
Bien alikuwa amengoja sana kuangusha izo verse alafu Collab ikakam
Kenyans don't know how we South African loves them😊
And we love you back same way
we also love you the same
I am here after watching Okello kwa Obinna jana. I love this song 🔥🔥🔥🔥.
Same to me
Same to me
Mee too was fascinated by his birthday song to dem wa fb he has the best vocals
Wakalie hii ngoma iliimwanna jnr kotestes...if you know you know
Motooooooooo🤪🤪💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This is indeed the bare minimum for art,crystal na kaskazini ni 🔥💯💥👌🙆🙏💪👊
action time. I have listen to this song more than 100 times. Next time naita Dj afro atangaze hii Kung fu
Kali Haina budi kuikukubali
Kali 🔥😅😅😅wueh
Eeeyyyy si pole😍😍🔥🔥🔥🔥🔥
hehehehe. Hii nayo iko on repeat. Majirani watanichukia leo.
Hebu geuza. Eh Sherie, samaki hailiwi pande moja
*Ni Kali sana, it's a vibe. Nimekufa na kicheko especially verse ya mtoto wa Pamela🙌🤣😂😅🔥💯*
Kali SANA ....Toeni hio video 📷📸
Sisi wa 🇹🇿 tunasema hii ni ngoma chafu iliyosafika. Bonge moja la creativity. Salute.
Okello max ubarikiwe jameni...mziki imeenda shule
maaaad
Okelo Max Okelo max nimekuita mara ngapi?
Sasa mtoto wangu abaniambia anifikishe thighland. Hebu njoo umjibu.
Kuna ngoma nzuri, then kuna ngoma nzuri sana, hii unajua ni gani
Hii ndio unaskia kuthink out of the box🔥
Unateleza kama mrenda😅😅😅haki nimependa
Noma sana
oya hii ni bedroom song. Huyu atanijua next akija hapa😂
Aki nimependa🔥🔥🔥🔥🔥
movie na soundtrack ya bango
This song, wueeeh 🙈🙈🤪🤪🤪😅😅❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Poa sana Kenya 🇰🇪 🇰🇪
Okello yawa🙌
Hii verse ya Okello ni Bensoul aliandika wakuu
anateleza kama mrenda(mtere) nice one 😆
Ety nmeskia Shaolin amefanyiwa nini😊😊😂😂😂. The bang is good @okellomax
Afro Rumba which has evolved with the young generation authentic Kenya music that’s the way Kenya music will go far just like the Nigerians have done to Afrobeat by Fella now it’s Afrobeats and Tanzanians have done to Taarabu and evolved it to bongo we need to stick to our roots and evolve the music . Tuwache genge na rap na English music
Ngoma chafu tamu😂❤
Noma kabisa
Dear future husband....masaa ya kungfu please jua playlist ni ya okello max....Na tunaanza na nakufa.....by the time tunafika kungfu I should be speaking like shaolin😂😂😂😂........aki this one akiiiiiii🙆♀️🙆♀️🙆♀️❤❤❤❤❤❤
😂😂
Eishhhh🙌🙌🙌🙌🙌🙌.....
Noma😂
Tumbler usilete tunakunywa kwa pembe..mic drop., Femi na nyash best collabo in 254
Moto kama pasi.. Rhumba imeenda shule.
Eeeey eeyyy mano Kung'u fu❤❤
Woi woi mamaa.... Bien ameua apa✅
Hii ni kwa majirani wangu wote. Aki nyinyi
okello is so under rated , i love your voice bro
Safi sana 🎅
🔥🔥🔥🔥vita vya kikungfuuu❤️🇰🇪
Hit💥💥💥💥it's lit...hata mimi nataka kumfu😜😜
okello mae to kungFu🔥🔥🔥watoto walale mapema🤣🤣ndio 👌 👍
This man Bien is a five star 🌠🌠
Najitolea kua vixen
Aki soul family uwewe🤣🤣🤣
Hebu geuza oh Cheriè samaki hailiwi pande moja😅😜😅
Hii imeweza
Amenyoa Shaolin ni bien
Stinei.... Wagwaan
Kung Fu mara hio hio 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤭🤭🤭
Mistari tu eeeeiii🥰😂😂😂😂😂
This sooong 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯
Okello anto duondi tieka ga the song is beautiful ahero ndi 🤩🤩🔥🔥🔥🔥
Ati samaki haliwi side moja😂😂
Okello 🔥🔥🔥🔥
omera Okello. Okello!💥💥
I fill pity for Tanzanians , do they understand how Kenyan music is good and sweet it is?
Okello Max ft Serro...wueeh
Nakupenda bure. Aaah🥰
Bensoul is such a good writer. He's our Benny Blanco only that he can sing also so, mind blown he is everything this guy 💐
Okelo Hii Ngoma ni HIT
Whaaaaat!!!!!!
hii nayo ni certified vilivyo!
Yani wimbo ni about cha mama na cha baba 🤣🤣... haya basi, wacha niende vita
Did Bensoul just say sherri nipeleke Thighland na mm nikupeleke Bangcock🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Its bensoul actually
@@ashleyhearts8561 aliwai itumia before??
Haha
Urban Rhumba hits t ryt ukiwa jaba😂unasikia Kama uko Thailand
Unateleza kama mrenda aki nimependa...Bien wewe!The luhya in you 😮
Kazi swafi xana
Amenyoa Shaolin 😮😂❤
Eti samaki haikulwi Pande Moja😂😂😂🤭🤭🤭