Wimbo wa uhamsho miaka 1970. Kila niusikiapo una ni kukumbushaka wapendwa wote walio kwisha kututangulia.akiwemo mzee MWAMBANO baba yangu alikua anaupenda sana wimbo huo. Jina la Bwana libarikiwe sana.
Mungu akubari mchungaji nakumbuka kwetu wakati wazamani wamamazetu waliimba wimbo wakati yamikuta hapo zamani ubembe kulikuwa uhamsho wakati wamariamuw walutabula
Wimbo huu huwa unanibariki sana Mungu awabariki sana.
Vraiment hii wimbo ina nikumbusha wa zehe wakwetu bubembe wakati wazamani na ile wakati Mungu alikuwa anasema na wabembe
Wimbo wa uhamsho miaka 1970.
Kila niusikiapo una ni kukumbushaka wapendwa wote walio kwisha kututangulia.akiwemo mzee MWAMBANO baba yangu alikua anaupenda sana wimbo huo.
Jina la Bwana libarikiwe sana.
Naomba ndugu zangu katika kristo munisaidie number ya wimbo huu katika litany cha u’hangya ( wokovu)naupenda sana
Mungu akubari mchungaji nakumbuka kwetu wakati wazamani wamamazetu waliimba wimbo wakati yamikuta hapo zamani ubembe kulikuwa uhamsho wakati wamariamuw walutabula
Wimbo huu nahutaka sana naheza upata je ?
Bwana awabariki sana wapendwa.
nice song
Ubarikiwe sana muchungaji kwa wimbo, uwa una nibariki sana
❤❤
Ameeen 🙏🙏
Amena yesu nijiayakwenda mbinguni
Amen