Guardian Angel - MOYO WANGU .X. Dj Kezz Kenya (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 11 гру 2024
- Guardian Angel performing moyo wangu from his album Arise And Ashine
Executive Producers : Peter Audiphaxad Omwaka
Audio Producer : Vicky Pon Dis
Enjoy Guardian Angel Other Songs:
Ni Wewe ft. Esther Wahome ► • Ni Wewe BY Guardian A...
Wema Wako ft. Baraka ► • BARAKA X GUARDIAN ANGE...
Hadithi ► • GUARDIAN ANGEL ~ HADIT...
Utafurahi ► • GUARDIAN ANGEL - UTAFU...
Wakati Wa Mungu ► • PAUL CLEMENT & GUARDIA...
Taunet Nelel Cover ► • GUARDIAN ANGEL - TAUNE...
Swadakta ► • GUARDIAN ANGEL ~ SWADA...
Nadeka ► goo.gl/5Y273n
Watch All Guardian Angel Music Videos: goo.gl/2gaxFm
Guardian Angel Live Performances: goo.gl/7UeUbA
Guardian Angel Non Stop Mix ► • Video
Follow Guardian Angel :
Instagram: / guardianang. .
Facebook: / guardianglobal
Twitter: / guardianangelk
Website: guardianangelg...
Official Artist Channel of Guardian Angel, Subscribe for more : goo.gl/7CvVgW
#Ariseandshine #GuardianAngel
Kindly mnipe likes 100 ya Guardian Angel kwa wimbo mzuri na kuremain kama Best Gospel Artist🙏🙏
Great
I support
Apo kwa landlord umekua personal 😄😄
@@MOUSSAFRARAY you can come home
My favourite song ❤️❤️ happy new year 2023 💃💃
Mawimbo za uyu jamaa inatoa stress God bless you guardian angel
Likes za dj kezz zikam thru💓❤wimbo tamu kweli kweli
Niliyoyaogopa nimeyashinda🙌🙌🙌🙌🙌🙌
The only Gospel artist who still delivers be blessed my brother Guardian😊
Hallelujah
Team strong team gulf wapi likes jameni,tuliogopa yangetushinda but tumeshinda , what a wonderful song wow wow
Nakupa Moyo wangu mzima 🙏🏻🙏🏻🙏🏻Be blessed Guardian and Dj Kezz.
Unipaye uzima nakupa moyo wangu mzima,niwezeshe kushinda ee Bwana kwa maana yamenishinda
Likes za Guardian angel zikam kukam uyu msee ni Superstar walai🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huu wimbo nmeamka nikiuimba imenibidi niuskize tena na tena...The song carries my message of the day...like👍👍
Nakupa moyo wangu mzima 🙏🙏🙏
Finally a song that sums up my 2022,Umeniwezesha kushinda niliyoogopa yangenishinda
Pokea shukrani mungu Wangu.such an amazing song
Kila kitu kitapita lakini neno la Mungu litaenda mbele....Amen bila yesu tutashindwa
Ndugu Mungu na akuongoze katika safari hii ya kwenda mbinguni. Na usiwahi teleza kwa mitego yao maadui. Amina.
Baraka🙏🙏
Pia mimi nitashinda .wimbo wa kuinua imani yangu ,mungu.akuinue zaidi maana nyimbo zako ni za kuhimiza sana.
Can't get enough of this song🥺😭
It really draws someone to God ♥️
Uzima tena wa milele , mashida zote twashinda na aitwe Jehovah
Me listening to this songs more than 10 times🙏😍😍
umeniwezeshaa kushinda niliogopa yangenishida 🙏🙏🙏🙏
Wait🥺🥺🥺🥺 why am I crying 😭 God si I love you haki🥺🥺🥺😭what was meant to kill me I overcame them🥳🥳😫🥺🤗God I love you 🥺pokea sifa zangu 🥺yangenishinda ukacome through 😫thank you for the strength papa🥳🥳🥺😫💕
Pokea sifa zangu mzima bwana
This guy was born to sing 💯🇰🇪
Sure 🙏
❤❤❤❤
Umeniwezesha kushinda niliogopa yangenishinda....nakupa moyo wangu mzima 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
I really love your songs wapi makofi ya waluhya 🙏🙏💪💪💪
Just woken up today and felt i should not go to work😢Been listening to this song and crying to God since 6:00am un the morning....
All glory to you God
Nakupa moyo wangu mzima🙏💜💜
TikTok imefanya nikajuwa hii song amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi safi
Good music bro tumeashinda in all min's
Wish to meet Gurdian one day♥️🥺Always my inspirer♥️🙏 barikiwa zaidi
DJ kezz your voice weuh🔥🔥
Sijui nikuambie nini bro guardian ila mungu awe na wewe katika maisha Yako yoote 🙏🙏
Mungu amejibakishia watu wakumsifu keep up bro ubarikiwe
Wow!wow!..msiani weru okhurula ebutere🔥💪🥳
Mungu azidi kukuinuwa kaka 💪💪💪💪💪🙏🙏🙏
Can't get enough of this song, every time I listen to this song I cry 😭 , for sure God has fought our battles....I give you all the glory Lord🙏
Imeweza ......tumeshinda kwa jina la Yesu .... 👍
Such a great confession,Lord you are so faithful to us,glory be thy name🙌🙌🙏🙏
Anytime i listens guardian sings,my heart fills with holy spirit. He give us the best. Uzidi kubarikiwa
Very nice.Father accept my thanksgiving offering
For the past 4 days I have been through hell kutukanwa kutishiwa I have been scrolling u tube videos but since I heard this song i have listen more than 10 times through this song I have been told process of me going back to kenya has start and I will listen to this song till my ticket is out I will come back to testify 🙏🙏🙏
Hey, I hope you well
Whenever am down I do listen to his songs which gives me hope and the spirit to keep on moving,,be Blessed Guardian
Same case to me,they are super inspiring
Same to me here and they really inspire
Nimerudia huu wimbo mara 100 🙏🙏🙏
Hakika tumeshinda🙏🙏 more Grace and be blessed Mr G-man.
We
Wonderful song. Let's give our all to God. Baraka tele.
Umeniwezesha kushinda,niliogopa yangenishinda😭😭😭🙌🙌🙌🧎♀️🧎♀️
Dj kezz 💕
This man, Guardian Angel, gives me a lot of hope!! Heshima kwako papaa.
Nzuri sana. 🔥🔥🔥
Guardian Angel ni moto wa kuotea mbali... More more grace bro
Guardian Angel to the world 👏👏,quite inspiring...May God keep uplifting you so that you may keep instilling hope😢😢 and optimism😊😊 to all of us who like your music ❤
G Man...,
🔥🔥🔥🔥
Let's praise God
Imebidi nitype kushida song.
i love this Song.. God bless you. yangenishinda😢😢nakupa Moyo wangu Mzima💪
Guardian angel to the worl keep on spreading the word of God this song is on it's on level nitashuka nayo Ndege nikirudi kenya😘😭 lots of from Lebanon
Nimebarikiwa nawimbo mzuri. Endeleni nakazi yaMungu jamani
Yes this the only gospel artist we have in Kenya,keep going and preaching the Gospel
Wow God chosen you never disappoint.... what a beautiful song kweli tungeogopa yangetushinda baba pokea sadaka zetu za sifa
This awesome. Keep going
Ningeliogopa yangenishinda I just give you my heart.
This Song hits different 🔥🔥🔥 I jst love Guardian, his songs are a blessing.
I love guardian angel Soo much,,my gospel artist number one and my mentor
You are indeed a God's vessel...Acha akushindie zaidi as you continue serving Him. Much love the omwakas
I can't get enough of this
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Guardian angel,May God continue blessing you ooh
I love this song💥
Daily dose ❤. One day will testify✅
kwako unipaaaeee uzimaaa
na kupa moyo wangu mzima aaa
umeniwezesha kushindaaa niliogopa yangenishinda
kwako unipae uzima
nakupa moyo wangu mzima
umeniwezesha kushinda
niliogopa yangenishinda
Kwako unipae uzima
nakupa moyo wangu mzima
umeniwezesha kushindaaa niliogopa yangenishinda
majanga tumeshinda aa
magonjwa tumeshinda
mitego ya maadui
yote tumeshindaaa
mawimbi na dhoruba ee bwana tumeshinda
natuliogopa yangetushinda
milima na bonde ee bwana tumepita
yaliotutetemesha bwana umetuliza
yaliotuogopesha umeondoa mashaka
na tuliogopa yangetushinda
kwako unipae uzima
na kupa moyo wang mzima
umeniwezesha kushindaaa niliogopa yangenishinda
kwako unipae uzima
nakupa moyo wangu mzima aaa umeniwezesha kushindaaa niliogopa yangenishinda
niliogopa yangenishinda
sasa nakupa shkrani zangu nakupa
baba pokea sadaka yangu sifaaa
baba nakupa moyo wangu nakupa
nakupa moyo wangu mzima
sasa nakupea shukrani zangu nakupaa
baba pokea sadaka zangua za sifaa
bwana pokea moyo wangu nakupaaa
nakupaa moyo wangu mzima
ee kwako e bwana
kwako unipaaaeee uzimaaa
(kwako ee bwana)
nakupaa moyo wangu mzima
(eeee hhh)
umeniwezesha kushindaaa
(heiii)
niliogopa yangenishinda
ee kwako ebwana
(kwako unipae uzima)
nakupa moyo wangu mzima
mm eee
umeniwezesha kushindaaa
niliogopa yangenishinda
my best friend my mentor my every time and best gospel musician ever
Sasa nakupa sadaka zangu za sifa very impressive
Guardian angel you are my inspirer.i have alwaz followed yu and listened to your hits everyday.nyimbo zako zimejaa kwa list yangu kabisa.May Yahwe increase yu and yur family.
Hakika nitashinda👏👏👏this song is amazing, your songs inspires me a lot🙏🙏🙏🙏 wen I'm Abt to give up I remember there is a living God behind every situations🙏🙏🙏🙏🙏🙏,weuh🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰nitashinda, God bless you Guardian Angel🙏🙏🙏🙏
Omg... the best song to close the year. Hakika Mungu umeniwezesha kushinda. Thank you Jesus love.
This song I danced to it on Sunday the day before yesterday and rada and other guardian angel songs plus other musicians songs after feeling so down after I looked into my life and the delays in my life and God did something yesterday that is still too big for me to comprehend. Glory to God alone who gives us visibility.
Niliogopa yatanishinda nimeishinda.
Nakupa moyo wangu eeh mungu you are faithful God you never fail
Amen 🙏 thank you Lord umeniezesha kushinda, barikiwa sana waingo
Nice song Mr Omwaka.....kwa God ndio Kila kitu remain kwa God Kuna Kila kitu...May Almighty God bless 🙏🙏🙏
Umeniwezesha kushinda,🙌🙌🙌🙌.I almost lost the battle to depression in March 2022,but here I am to see the last month of the year 1/12/22 .Pokea sifa zote bwana.
Amina barikiwa sana bro
Eiiish the song is more 🔥🔥🔥🔥 Guardian angle all the way😍
Its awesome😇🥰😊...praying that oneday i'll meet you guardian
Mungu ameziwezesha kushinda as we almost end 2022 he has protected in Riyadh I thank God....Great song gurdian
🙏🔥🔥🔥More grace bro,,, in every generation God usually rises it's own dynamic Men,, God is using brother 💯💯
Nice one bro ewew ni we esimba yefwe khupa khuche angle to the world 🔥🔥🔥
My prayer today dear God . blessed be your name God giver of life .forgive my iniquity dear father and make me what you want me to be
Eh bwana nakupa moyo wangu mzima❤🔥💖....
Toooop toooop🔥🔥🔥🔥
Am in lots of debts Corrina affected my kids kikazi one day I'll testfy through this song 🙏🙏🙏🙏
Kwa yesu tu pekee yake ndio Kuna uzima
Ooh hallelujah bro go go go until satan say yes
Wow🔥🔥🔥GMan,my soul surgeon 🤝
This my testimony#Djkezzy go! go! go! dear 😘
I have searched for this song the whole day today.
It's such a blessing 🥰
Wimbo uko vzr Sana mtumishi
Pokea shukrani zangu bwana.
Wow what a beautiful song.
Keep going my brother..
Amen keep it ❤️🔥 for Christ
my favourite gospel artist rn🔥🔥🔥🔥🔥
In every desert 🏜️ of calamity God provides an oasis of comfort....this song is a motivation
True gospel artist, the only true servant in the gospel industry standing I wish you well my brother God bless your ministry in Jesus name 🙏
We have truly overcome the enemy this 2022🔥✨💯 this master piece sums it all for us. I'm blessed
My testimony!!!.... God bless you Guardian Angel....
What a beautiful song. MUNGU azidi kukutumia kutubariki na kututia moyo
Amen amen hakii hi nyimbo yani bariki san .mungu awabariki 🙏🙏🙏
I can't get enough of this🥺🙏🙏🙏🙏
Kazi mzuri omwana wa engo🙏🙏🙏🙏💕💕💕
Nyimbo zako zmenitoa mbali sana balikiwa sana npo Tanzania natamani siku moja tuonane guardian angel