Assalaam alaikum warehmatullahi wabarakatuhu hii dear sister hw r u?today I tried to make maandazi it turns vry vry nice nd softy my daddy liked it the maandazi. Shukhraan
Mzuri sana, Mandazi kutofura ni pale umeeka Hamira kidogo ama hamira yako haina nguvu. Number 2 ukiweka siagi nyingi ama Samli pia inachangia. But ukifollow hii recipe vizuri itakusaidia tu sana.
Ukipenda kuangalia video ya Mahamri ya Nazi matamu sana. Video hii 👇ua-cam.com/video/Og99bF4EpMo/v-deo.html
Am your new neighbour come visit me
Kilo moja amila vijiko vingapi vya mezani please
Mahamri mazuri sana❤️alafu Nina swali,tofauti ya kukanda na mafuta moto au baridi ni gani
mashaAllah tabarakallah thanks my sister
Hayo mahamri yavutia bado chai tuu
Maa Shaa Allaah
mashallah allah akuzidishie maarifa nanguvu zaidi nimejifunza mengi kupitia wewe alhdullillah😘👌
Ameen...shukran kwa kuwa nami😘
Yametokea vizuri👌 bado mbaazi tu
Kabisa tena tuanze mchezo😋
Mashallah! Nimejifunza vingi sana kupitia wewe.
Shukran sana
Mashallah mashallah 😋 😋 😋 👌 yamenoga hatari sista
Tena sana tu🤣 shukran sista sista
Mazuri sana nimependa hayo ya light. Shukran habibty ❤😍
Karibu sana habibty ❤
Thanks nakumbuka home I was mbs the whole of 2021.
Also we need Maragwe ya coconut milk and bahazi so we can eat with mahamri please
They look yammyy
Thank you
Like 230 wow this looks delicious and amazing.I am your UA-cam friend.stay connected.⚘👍👌
masha Allah dada nimejifunza mengi sana kutoka kwako keep it up 254
Asante sana kwa support
maashaallah ni mazuri
Shukran
Yummy njoo nairobi utupikie mamaa
Soon nitakuja dear huko ni nyumbani.
Hallo@Tajiri's Kitchen nice job
Thank you so much, my dear.
Mashaallah hasidi asikuone yanakaa weee, nayatamani
Shukran sana
Mashaallah apo na mbaazi na chai ta viungo shukran kipenzi
Mmmmh tutakuka hadi tushindwe kuenuka🤣🤣🤣
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 😀umeona eeh
Yalivyo mathamu nasongeza na zile bahazi ❤️
🤣🤣🤣Shukran
Mashallah mapya kila siku Shukran sana habibty👌
Karibu sana habibity
Masha'ALLAH
Shukran habibty🥰
Waoooooh so mwaaah 😋😋
Thank you
Assalaam alaikum warehmatullahi wabarakatuhu hii dear sister hw r u?today I tried to make maandazi it turns vry vry nice nd softy my daddy liked it the maandazi. Shukhraan
Waaleikum musalam warhma tulahi wabarakatum habibty. Nafurahi kuskia pongezi sana na karibu
I don't speak Swahili but I live for your channel
Much love from Madagascar 💖
FRUIANDISES Thank you so much for your support
mashaalah nice dear
Thank you
Salam alekum mashallaah
Waaleikum musalam
Jamani mke jiko aunty yangu
Kabisa tena 🤣🤣🤣
Asante kwa recipes. Ushauri tu uwe unaandika pia ingredients needed hapo chini kweny description
Karibu na asante sana kwa maoni yako
Looks yummy 😋😋
Thank you
Like you
Hongera 👏👏mahamri yanavutia kweli😋😋,,nauliza utaacha unga kwa muda gani ndio uumuke Kama umetumia instant yeast?
Asante sana, itategemea na nguvu ya hamira, nyengine huchukuwa lisa nyengine masaa 3. Lakini yakifura utayaona tu
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 nashkuru Sana.🙏
Shukran Mami, mbona yangu hayafuri,huwa nakanda usiku nachoma asubuhi, shukran.
Mimi pia, yangu hayafuri
Napenda hio mistari inayotokezea kwa mahamri.unafanya vp ndio upate hio mstari
Mahamri yakifura vizuri huwa yanakua hivyo
Habari madam, Mimi najifunza kupika maandazi lakini kila nikipika hayafuri/hayavimbi kama hayo je nitakuwa nakosea nini??
Mzuri sana, Mandazi kutofura ni pale umeeka Hamira kidogo ama hamira yako haina nguvu. Number 2 ukiweka siagi nyingi ama Samli pia inachangia. But ukifollow hii recipe vizuri itakusaidia tu sana.
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Ahsante madam
Can I put coconut milk in place of normal milk?
Yes you can
badala ya custard naweza weka coconut powder?
Yes dear
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 asante lazima nijaribu leo
My dear naulizia custard powder yasaidia nini kwenye mahamri
Inakupatia ladha nzuri na kuyafandya laini zaidi na yakilala yanazidi kuwa mazuri na laini.
Custard ni nini?
Naweza kueka mayai?
Yes unaweza
Maziwa baridi au?
Hi dear is the milk hot or warm
Warm
Tajiri's Kitchen ok dear Shukran ❤️
@@lifeandliving4533 Afwan
Naeza tumia maziwa ya unga nkoroge na maji ndo nkandie
Ndio unaeza
Siku zote napika mahamri lakini hayatoi ule mstari mweupe....nipe siri dada
Yakifura vizuri yatatoka tu
Yavutia
Asante sana😊
Yanakaa matamu....upate na rojo....waah!!! Please tufanyie mapishi tofauti ukitumia io custard powder, nahisi ugumu kuinunua manake recipe najua ni ya pudding tu, nikikinai pudding je? Naeza itumia io powder wapi tena?
Florence kambe. Tena lile rojo la viazi na Maembe mabichi kama uliiona. Ok, sawa nitaleta recipe zengine soon.
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 niekee link please ya hilo rojo😊
ua-cam.com/video/qSTZwc8x_RU/v-deo.html
Florence kambe hii ua-cam.com/video/qSTZwc8x_RU/v-deo.html