MBWADUKE: SABABU YANGA KUANZIA NYUMBANI MECHI YA FAINALI DHIDI YA USM ALGER

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 80

  • @Moteswa
    @Moteswa Рік тому +1

    Top top Football analyst. Huyu ndiye mchambuzi bora kabisa Tanzania, with facts. Hongera Mbwaduke

  • @wajanjaforever4822
    @wajanjaforever4822 Рік тому +4

    Nnachopenda kumskiliza huyu mwamba ni uchambuzi wake wa facts. Ni nzuri akiendelea kubaki neutral, uchambuzi wa haki na facts...Usije chagua upande...endelea kutoegemea upande, haki na facts tu. Safi🎉🎉

  • @joshuajoshuamangoto6299
    @joshuajoshuamangoto6299 Рік тому +3

    Ahsante kaka kwa uchambuzi❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @FranceChihongo-qu5nn
    @FranceChihongo-qu5nn Рік тому +11

    Huyu jamaa Kwa uchambuzi Yuko vizuri sana . YAAN mpaka unajikuta hakuna pakubishia zaidi ya kumsifia

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Рік тому +6

    YANGA mwaka huu imeperfom kwa KIWANGO cha juu MNO....!...ni timu yenye VIWANGO vya NAMBA za juu sana kwenye PERFORMANCE

  • @hazjay4671
    @hazjay4671 Рік тому

    Pole Sana Ramadhani Iddi Mbwaduke Kwa Kufiliwa Na Mama M/Mungu Atampa Kauli Thabit…!!

  • @simonnzella3989
    @simonnzella3989 Рік тому +2

    This is top professional analyst from Tanzania. mbwaduke always talks football

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 Рік тому +11

    Hongerababa tunakushukuru wewe siokama mvimbilwa maharage wa asubuhi alosema yanga kacheza na timu zaifu, asantezee wa data

  • @masoudjuma2310
    @masoudjuma2310 Рік тому +1

    Uyu jamaaa ni motoooo 🙌🙌🙌🙌

  • @kiraemanueli1997
    @kiraemanueli1997 Рік тому

    Nakubali kaka

  • @emanuelmiyonjo4484
    @emanuelmiyonjo4484 Рік тому +3

    Nakubari san mchambuzi wangu

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Рік тому +2

    Yanga bingwaaaaaaa

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 Рік тому +1

    Wangeangalia idadi ya magoli mwenye magoli nachache ianzie nyumbani na mwenye magoli mengi ianzie ugenini

  • @petrochikawe1797
    @petrochikawe1797 Рік тому +2

    Boss kasema YANGA BINGWA

  • @jamesgebu2652
    @jamesgebu2652 Рік тому +1

    Mtangazi rekebisha matamshi yako tafadhali...ni Young African sports club 😊...fanya mazoezi ya kutosha acha usharobaro watu wanaowatazama ni wengi!

  • @johaneslwiza6504
    @johaneslwiza6504 Рік тому

    hongera sana mwaduke. wewe ni mchambuzi wa mpira. wengine wanachambua Mbuzi tu

  • @sadamibrahim8480
    @sadamibrahim8480 Рік тому +7

    Huyu ndo mchambuzi wengine waje kuchukua shule

  • @jacklolenjackson5511
    @jacklolenjackson5511 Рік тому

    Huyu Mzee anajua sana sio wale waganga njaa

  • @abdulazizi4981
    @abdulazizi4981 Рік тому

    We jamaa unajua sana kiukweli Allaah akujaalie afya akuepushe na husda najua kuna watu wasopenda ukweli wanapenda tu kusifiwa hata kwenye hamna

  • @jumamalindo1221
    @jumamalindo1221 Рік тому +1

    Unafact za msingi mnooo,,hawa ndio wachambuzi wa fact

  • @mikamatola4945
    @mikamatola4945 Рік тому +5

    Kuna jamaa alikukebehi sana ulipo shidwa kutumia screen pale tbc lakin mabosi zake wakakuona uko vema wakakuchukua dahh Broo usivimbiane nae ongeza juud ya Kazi na ndo litakua tusi kubwa sana kwake

  • @malitozzy3538
    @malitozzy3538 Рік тому

    Mjomba nakumbali Kwa uchambuzi mm namfatilia Kila siku kazi njema sanaa

  • @elikanamtawo5675
    @elikanamtawo5675 Рік тому

    Real Analyst

  • @saidirama2797
    @saidirama2797 Рік тому +3

    Naitakia yanga ushindi wakiwa nyumbsni na ugenini.Inshallah.Kutoka LUNGALUNGA KENYA

  • @hasaniabdalah6148
    @hasaniabdalah6148 Рік тому +2

    Ramadhani we ni bingwa data

  • @BinayesuPesha
    @BinayesuPesha Рік тому

    Nimekukubali Mzee wa data,tunayo mengi ya kujifunza kwako.

  • @michaelselis8531
    @michaelselis8531 Рік тому +4

    Hii ndo channel ya kuitazama maana unajua usivyo vijua kwny soka

  • @AshaSelemani-pp1ec
    @AshaSelemani-pp1ec Рік тому

    Yanga wajipange wafunge nyumbani zaidi ya BAO 2 na wasiruhusu goli hata moja

  • @ushindieliya278
    @ushindieliya278 Рік тому +1

    Mchambuzi ni mmoja tu Tanzania ndio Huyu Ramadhani

  • @enockjoniphas924
    @enockjoniphas924 Рік тому +1

    nimekukubali mwamba

  • @alleyissaramadhan6068
    @alleyissaramadhan6068 Рік тому +2

    Yaani huyu mchambuzi ni Shidaaaa

  • @alfaexstarvellymwaikimba-cl2hn

    Kassid pandu we ni mbwa ndio maana Kila miaka unaishia robo robo robo yanga msimu mmjona fnal hakia dona shaidi mlenda hata maisha yako inaoshesha ni ya shida Sana sula ka mende shoga ,

  • @godfreylushiku3081
    @godfreylushiku3081 Рік тому

    Al ahly walilalamikia kutangazwa kwa uwanja baada ya mechi ya kwanza ya nusu fainali...CAF

  • @EzekieliCharles-en1mu
    @EzekieliCharles-en1mu Рік тому +1

    uko vzuri .mzee wa data

  • @jemamlozi8481
    @jemamlozi8481 Рік тому

    Hatujutii kujiunga nanyi

  • @guccij6236
    @guccij6236 Рік тому

    Ata kombe lenyewe linawataka wananchi

  • @SimonBoaz-lj8lk
    @SimonBoaz-lj8lk Рік тому

    Kweli huyu jamaa nimwamba

  • @issamagambo1879
    @issamagambo1879 Рік тому

    Uchambuzi kisomi sio kama wale wenzangu na mie

  • @silaspaul3935
    @silaspaul3935 Рік тому

    Anajua anachoeleza sio wale wachambuzi kenge

  • @josephsamwel2845
    @josephsamwel2845 Рік тому +1

    Pandu pole na homa. Utaumia sana

  • @victormneney1307
    @victormneney1307 Рік тому

    66 kwa 77
    Kombe letu
    mayele 6
    wao 4

  • @allexisaya6590
    @allexisaya6590 Рік тому

    Samahani Mzee wa data mbona sijawahi kuona final iko Mara mbili Kama nusu fainali

    • @wapole5620
      @wapole5620 Рік тому +1

      umeanz kushabikia mpira huu mwaka

  • @adamsimbeye2713
    @adamsimbeye2713 Рік тому +1

    Tunaomba ufafanuzi

  • @adamsimbeye2713
    @adamsimbeye2713 Рік тому +1

    Kwani saiz yanga imekua nafasi yangapi? baada ya kumtoa malumo gallant?

  • @cfmtanzania
    @cfmtanzania Рік тому

    MECHI YA YANGA SC VS USM ALGER ua-cam.com/video/nYLlQh2t8UI/v-deo.html💥💥💥

  • @geraldmwaigomole3465
    @geraldmwaigomole3465 Рік тому +1

    yanga endapo itashinda ubingwa wa caf coferderation anaweza kushiriki klabu bingwa???? au itashiriki katika caf coferderation tu kama bingwa mtetezi????

    • @paulmwanyika7622
      @paulmwanyika7622 Рік тому

      Yanga itashiriki klabu bingwa kwasababu ni mabingwa wa ligi ya nchi yao....

    • @geraldmwaigomole3465
      @geraldmwaigomole3465 Рік тому

      @@paulmwanyika7622 kwa hiyo nafasi ya bingwa mtetezi wa caf coferderation inakuwaje hapo??

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 Рік тому

      Duh, maswali mengine ,.....kwanza uelewe YANGA ni BINGWA wa LIGI, hivyo nafasi yake ipo Palepale, lkn pia hatua aliyofikia hata asingekua BINGWA wa LIGI automatically angekua anashiriki klabu BINGWA ijayo...!
      Sasa Kwa maana hiyo ana nafasi mara mbili....na ndio maana unakuwa ADVANTAGE nafasi yake ipo, na nafasi nyingine itaongezwa kwenye VILABU vyetu vya ndani kushiriki kwenye shirikisho..!..UMEELEWA

    • @paulmwanyika7622
      @paulmwanyika7622 Рік тому

      @@geraldmwaigomole3465 Yanga atashiriki klabu bingwa kwakuwa ni bingwa wa ligi ya nchi yake...

    • @kelvinwilfred5693
      @kelvinwilfred5693 Рік тому

      @@paulmwanyika7622 BADO SIO SABABU PEKEE BOSS pia ukiunganisha pointz zake na simba na pia sababu kubwa simba yupo top 10 ndo mana anacheza club bingwa na hatakama angekuwa nafasi ya pili bado angecheza club bingwa kama mwaka ambao hakuchukua kombe la ligi kuu misismu miwili nyuma

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Рік тому +1

    Mie sina cha u Tanzania yanga Apigwe Tu tena za kutosha

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Рік тому

    Hili kombe ni dogo na Ndio Maana ni mechi mbili

  • @jumasalim6130
    @jumasalim6130 Рік тому

    Mimi sikubaliani na maelezo yako Ni lazima hizo initionals Letters Q1 Q2 S1 S2 etc zilielekezwa kwa Timu husika

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 Рік тому +1

      Kuna jambo hujaelewa nafkiri,... fixture inapangwa kabla , na hizi herufi zinaanza kuoneshwa kwenye hatua ya ROBO....Kwa hivyo huwezi kuweka majina ya Timu Kwa sababu haijulikani ni Timu Gani zitafuzu...!
      Sasa labda mawazo Yako yafikirie herufi zinakuwepo kwenye preminarry round, sio hivyo...kwenye preminarry round ni majina ya Timu, lkn kwenye hatua ya ROBO huwezi kujua Timu zitakazofuzu , ndio maana kwenye upangaji wanaweka herufi...!

    • @dativafidelis388
      @dativafidelis388 Рік тому

      Huyuuuu

    • @scratcharico6223
      @scratcharico6223 Рік тому

      tuereze wew

    • @sao4028
      @sao4028 Рік тому

      S1 semifinal ya kwanza
      S2 semifinal ya pili
      Huwezi jua nan ataenda nusu fainali

  • @josephjuniormalyusa8677
    @josephjuniormalyusa8677 Рік тому +1

    naona mwamba kidogo uanze kucheka baada ya kutajiwa idadi ya pasi tuu hukutegemea kupewa data kubwaaaa

  • @fridahnawale2833
    @fridahnawale2833 Рік тому

    Kwani kucheza nyumbani na ugenini ilianza lini