THIS CAN END BECCA’S LIFE😭💔!!! KIBURI PROMAX IS WHAT BECCA SHOWED DAKTARI MUKALI😭💔
Вставка
- Опубліковано 20 сер 2024
- THIS COULD END BECCA’S LIFE!!! DAKTARI IS NO JOKE😭💔
KIBURI PRO MAX!!! BECCA ALITUSI DAKTARI MUKALI NA KUMUHAIBISHA MBELE YETU😭💔SEE WHAT DAKTARI SAID!
See What Daktari Did Becca!!! ua-cam.com/video/e1KaVxCeaHc/v-deo.htmlsi=7BWzBpHUGfZW56i0
Brighton nakutafuta agent hu pick calls
Brighton inatakiwa utuletee maisha ya hivi videmu baada ya kurudisha vya watu. Tutafutie evu wa mr ongiri.
Next plz pl hii kitu lazma tuone adi mwishoo wako
Pl mbna unapenda kupost vedio moja moja ii tena keshow..alfu nawa dyz y vedios ni short short kitambow zilikuanga atleast long.. nani anakubaliana na mi??..Brighton inafaa akaze kamba surely vida moja per day nawa dys I can't understand kitambow ulikua na bidii nawadyz naona unazembea😂😂
Walai Niko hapa pia complainer nkt!
Angeppst yenye inakaa long
Ak inaumiza Kuwait adi kexho😢
Very true hata hazieleweki ni kama comedy
Mm nakubaliana nawe ,juu naachwa in suspense 😢,pl please refusha kidogo,,,
Huyu dem kitamramba huyu yani cjui kama anajitambua walai ghai🤭
Becca Becca Becca, itajua ujui mama,, that pride will take you no where.
Pl try kuweka vedio mbili kwa siku yawah
Nasubiria kwa hamu kubwa😂😂😂 beka utajua hujui utaenda kufanya kazi ndo nyashi imeevizuri pumbavu
Hii kichwa yake ka ya mbuzi itafyeka nyasi vizuri,, can't wait 😂😂
😂😂😂😂😂😂
Aty mbuzi ni motina😅😅😂😂😂
Namkubali sana huyu dactar anafanya vizuri sana
Doctar afanye huyu awe anahara soda crest😂 na awekwe kasusu kwa forehead na nyuki zifwate matacore pekee😂😂😂😂😂
Wakule nyasi wote na huyo mwanaume wanakaa na yeye
No mwanaume ajui kitu
Brighton am waiting kwa hamu said 😂😂😂san brother good my jop ❤
Waiting pl 😅😅huyu mdem Ana kiburi yawah pia mnipitie
Good gal. Usimwogope shetani. May God protect you.
Gal rudisha vitu za wenyewe. God will bless you.
But I must admit you aren't afraid of the devil and his tricks.
huyu hafai nyasi anafaa nyuki
beka kitakuramba tu mda sio mrefu😮😮
Uyo boi n mzuri sana pl ebu nitumie no yke
Wah, am just watching repeatedly to see the out come in a few days to come.
ghaiii mungu nitafutie jamaa kama uegen aky
Kiburi promax ati chinyuma😢😢😢😢 rikembii eriii aye
Kiburi yote itaisha tu kitamramba😅😅😅😅
Pl umeanza kuboo short video
Weh Becca kiburi kiburi utajua hujui utakula nyasi pumbavu
Mungu wangu mbona Eugene apitie haya but bro Mungu ako na ww😢😢 huyu dem ningekuwa ni mm walai angezikwa akiwa hai
sura hana but kiburi ndio anechaza but kitaisha tu nkt unaudhi ww mdem msimuhurumie hataaa
mungu nisaidie nipate jamaa kama huyu
Aki huyo dem Ako na kiburi sana
Post video zikifuatana colz we're eager waiting to see next and next,
Kwani alikuwa ana warecord na simu yake😮
Huyu demu Ana bahati sana.. ingekuwa mkisii hapa Ama mkuria.. ungezikwa saii😅😅
Eweeeh hata kama ni kiburi😢😢😢
Huyu demu nmemchukua hata tabia yake imekuwa mbovu
Huyu Becca anafa kutembea uchi na akunia akikula nkt 😊
aki huyo dem hajitambue😢
Iyo kiburi itaisha tu
Huyu Dem Ako na ujinga saan tabwati bosoku
Oooooh ooooooh bibi Ako n kiburi pleas😢😢😢😢
Uyu dem akule mawe ata sio nyasi😂😂😂umbwaaaa muone vile anakaa kama yy😂😂
Warambwe wote na huyo fundi wa saa😅😂😂😂
Becca usijali... pole sanaa
Becca you days are numbered utalia mimi nangoja kuona kiburi yako penye itafika
Mbna yuko na kiburi ivi kichwa ndogo hafikirii
It shall end it tears walahi 😢😢😢
Kiburi haitasaidia akule nyasi manze.
Aki Brighton 18 hours ni mob nafenye nadai huyu jibwa nione matuda ya dakitari kwake
Ako n kiburi ,n nywele anamshinda kuituza,,akule nyasi
Kwani huyu Dem anajiona vp
Waiting for it........
Sound kwani haiko
Pl weka video long ama ,, mbili kwa siku plz
uhu dam ana kaa ana wazazee
Akule nyasi can't wait
Wewe msichana kitakuramba utaamini😂😂
Wait...
Waaah huyu Dem kitamramba atapunguza kiburi tuh
Weee kiburi
Hky hnyu dem anajua vile watu wanapitea uku majuu
This lady is crazy just deal with her , bro dont for give until she brings your properties
Next please pl
Waiting
Kitu y mtu si poa ..Becca rudisha tafadhali ..Kitakuramba 😂😢
Brother hapo uli bugi Hilo ilikuwa bomu sio mke huyo Bora amjionyesha mapema tatak tak kabisa hiy mshenzi mdada asiy jitambua
Aya hiyo Dina utatamani hipo siku itafika
Beccq ne enyuma piii😅ataona kq kiburi kitamfikisha wapi nxt episode😂
Rebecca anafakuwekewa kashushu kwa uso😂
Huyu dem Yuko Sawa kweli,? Dooo
Next pliz Brighton
Na vile kanajikunja mwili kakitembea 😅kitamramba tuu
Becca Becca,nimekuita mara ngapi,kitakuramba
Uyu Dada ni Kama Eva ila Eva na baba yake walishuka kabisa Hadi ongiri akapata malizake zote
Mm hata waseme nn but weeh Mr Eugine mm nakupenda n roho ndio imependa n Tena kuvunjika Kwa mwiko c mwisho w kupika ugali plz tunaweza ongea c ati Mali ndio imefanya wasichana wakupenda c hivyo plz usiogope kipenzi wangu
Aký huyu brother ako na stress sana
Waiting for the next episode 😢
Unabo na vedeo Moja Moja post even two ...izo zako zinaboo sana
Nilifikiria ni video mpya,Brighton mbona unaboo? !
Brighton ambia eugine am single and a ready to settle with him
Wallah hii story imepoa sana why unapost nusu story nakushauli weka story mtu anafurahia nasiku nyingine anawoch
Huyu Dem hananga style ingine ya kushuku nywele
Anakaa mbuzi Kwa kichwa
Wooow hata kama bibi ya ongiri alikua na kiburi ya huyu imezidi but ni Ile TU ajui atafute eve amwambie plz
Kwanini vijana Muna trust girlfriend zenu kuliko wazasi wenu? Sasa ona vile ilikufanya ata kama huna wazazi ungetumia brothers or sisters zako
Am waiting 🙏🙏
Naomba no ya doctors
Kitamramba huyu kiburi gal anadharau Eugine ati passby 😢😢unaji spoiled Atm yake ..nahurumia Eugine aki better ungetafuta mzungu USA 😢😢.arudishe property.
Tangu nianze kuwatch vitu za Brighton sijakutana na mtu kama huyu, round hii ndio nimejua. Kuna watu na viatu
😢😢😢😢😢
Pl wacha kutuwekea clip moja,weka atleast mbili kwa siku
Tunangoja sana
Next video
Huyu kitamramba aulize Eve atamwambia
Waiting 😂😂😂😂
Even men who blindly invest heavily on women assuming love is the foundation are putting themselves in a very aukward position like this gentleman and he has to do all these to recover what he can get. The lady is a outright a gold digger it is written in her face how he didn't see it is itself a surprise.
Hiii nayo siezi kosa😂😂😂
Rebecca utanyolewa nywenywenye kiburi kitasahisha namshamaha ataomba kwa lasima
Egesagene keriaye becky kitamuramba sura mbaya wewe ntk😢
Wacheni kum bembeleza fanyeni kilemtafanya
Tunangoja ingine ikuje haraka mnatuchelewesha na udaku yawaa
Huyu hatumii akili na sio mwanamke wa kuishi naye she is a green snake in a green grass
Brighton plz nataka namba yako nakuja home from saudi date 23 July
Gal u shouldn't be sitting there.
Waah hio pride yake ita Kam down baya
Brighton nowadays video zako ni fupi yawah..jaribu kupost hata mbili kwa siku