Mabadiliko ni kitu ambacho kipo Kila siku lakini mabadiliko ya akili ni kitu bora sana.maisha ni zaidi ya elimu ya darasani.kila mmoja ana upekee wake katika ujuzi mbalimbali.elimu ya darasani ni kichocheo Cha kutukumbusha na kutumia uwezo wenye thamani tulionao.tutafute A's za kweli za maisha.heshima kwako Antony Luvanda.naitwa Hosea na vile vile ni inspirational speaker.
pale unapo tambua Taifa linaitaj nini n lazima uliangiakie pia kw juhudi yako mwenyewe sio lazima iwe gov hapana ,,,Mr luvanda haongera sana endelea kulipigania Taifa lako (iko siku ) ×2 watu waliosema hapana ' basi wao ndio watakao kimbilia yale ulioanzanayo awali ikiwa wengine tyr wapo mbele sn big up broh🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Safi sana. Walimu wetu pia hawajajua kufungua akili za wanafunzi kwa kuwachallenge wanafunzi kupitia maswali na ambayo yangewafanya wafikiri critically badala ya kufundisha kuhesabu, kusoma na kuandika tu ni vyema walimu wetu wawe creative ili kuwafanya wanafunzi wawe creative pia.
huyu kaka namkubali sana kwa kutoa vipindi vyenye kumfanya mtu kushawishika na kuamka kiakili zaidi hongera sana kaka angu allah azidi kukupa afya njema na umri wenye barka tele.tunajifunza vitu vingi kupitia vipindi vyako🙏
Thanks mkuu. Mm sijasoma sana lkn nimejifunza vitu vingi kazin na niko vizur kidogo. Shida yangu sio muongeaji sana. So nahis kuna vitu vingi nakosa pia ndoto zangu ni kujiajiri mwenyewe
Samahani sana mm nilikuwa naomba niongee na ww private kuna swali naomba nikuulishe na pia kuna maamuzi naitaji kuyatenda ila naomba ushauri kutoka kwako.
Ukitaka kuwatala watu wanyime Elimu , Mheshimiwa Elimu ni muhimu Sana kwa mtu na kila Taifa ndo maana wenzetu wameendelea sana hata kutibiwa twaenda huko #The world of money is unpredictable 😷
nimejifunza kitu kikubwa sannnaaaaa 💯

kaka asante kwa kunisaidia sana
Asante kwa madini
Safi sana. Walimu wetu pia hawajajua kufungua akili za wanafunzi kwa kuwachallenge wanafunzi kupitia maswali na ambayo yangewafanya wafikiri critically badala ya kufundisha kuhesabu, kusoma na kuandika tu ni vyema walimu wetu wawe creative ili kuwafanya wanafunzi wawe creative pia.
huyu kaka namkubali sana kwa kutoa vipindi vyenye kumfanya mtu kushawishika na kuamka kiakili zaidi hongera sana kaka angu allah azidi kukupa afya njema na umri wenye barka tele.tunajifunza vitu vingi kupitia vipindi vyako🙏
Your quiet write my Brother, to me always I trust and enjoying your speech
Shukraan sana,karb pia chuon kwetu M.U.M
God bless you and expand your mind!!!!! @
hongera ndugu kwa production nzuri ya picha, sauti na soundtrack ya kuvutia.
Barikiwa Sana kwa masomo yako natamani siku moja niuzurie semina Zako
karibu Dodoma
Bwana akutie nguvu katika kazi unayoifanya bro ninazidi kuwaalika watu kufatilia chanel yako mungu akubariki
Asante sana kaka endelea kutufungua
Huwa sichoki kuangalia hii video.
This is amazing mentor. Pushing boundaries
Daaaaah. Bro Tony you have thy talent God bless more.
@life is more than Academics
Asante sana kwa elim hiyo
bro asante sana kwa elim poa.
Very good
mungu akubaliki kaka kwa elimu unayo tupatia
Azisa Azisa Shukran
Nice teaching
Nice sana
Thanks for enlightening my mind sir
My Pleasure
ur amazing speaker in tz
Kenned John Thank you
Hakika ukipenda kipepeo usimkimbize kumshika Bali panda maua vipepeo vitakufuata karibu mbeya.
Ujumbe mzuri sana
Thanks ,,ubarikiwe Kaka welcome mzumbe university
ELIAS LUWELA Amen. Andaeni semina then mnialike ntakuja
+TonyInspirationalTalk
I will do so my br Thanks a lot
thank kaka be blessed
wow nitafika tu
Thanks mkuu. Mm sijasoma sana lkn nimejifunza vitu vingi kazin na niko vizur kidogo. Shida yangu sio muongeaji sana. So nahis kuna vitu vingi nakosa pia ndoto zangu ni kujiajiri mwenyewe
yes my teacher tupe madini
,mtumishi luvanda be blessed ,somo zuri sana!
binafsi napenda sana kusikiliza speech zako napata vtu good sana
Hatariiiii
Mjomba naomba unitafute kupitia namba hii nina maswali mengi na ushauri kupitia 0656554800/0758021560

barikiwa kaka sku ukija mbeya naomb nijuze jamaniii
LIGHTNESS MVUNGI Sawa sawa
Samahani sana mm nilikuwa naomba niongee na ww private kuna swali naomba nikuulishe na pia kuna maamuzi naitaji kuyatenda ila naomba ushauri kutoka kwako.
Wengi tunaamini mtu kwenda shule ni sehemu moja wapo ya mafanikio
Good
thanks a lot broe
tunatafsiriwa vya kwenye vitabu,watanzania tusome vitabu
james assanga unamaanisha nini?
james assanga nawe una uwezo wa kutafsiri
kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofaut waweza kusoma lkn huwez kukiuliza kitabu maswal uliyonayo
Uzembe wa watanzania wengi kusoma vitabu ni fursa kwa wenye bidii ya kuvisoma.
Ukitaka kuwatala watu wanyime Elimu , Mheshimiwa Elimu ni muhimu Sana kwa mtu na kila Taifa ndo maana wenzetu wameendelea sana hata kutibiwa twaenda huko #The world of money is unpredictable 😷
nitawafunza wanangu
Good for the message, regardless you copied from different authors and speakers
Most of Africans do copy and paste that which has been produced by whites. We need to create our own so that whites will copy from us too.
hai bor nahitaji kupata kitabu chako cha mpenyo naomba unisaidie jinsi ya kukipata
Kaka Luvanda nahitaji CD za "think beyond employment", naomba msaada wako naoataje??
Nipo dar
Nipo dar
PIGA KAZI MKUU
Kuwa na funguo bila kukiona kitasa ni kazi Bure nikiwa na maana ya kwamba kuwa na elimu ambayo haikusaidi in kazi bure
Nc
GUD SANA
Subscribe KA HOPE TV
swadakta
Luvanda Nakuelewa since nikiwa Chuo now npo Mtaani natamani sana maarifa yako - mnduluamon07@gmail.com naomba tuwasiliane.
.