Mora peke tosha kwako lisu na team yako nzima,, pige magoti muumba wenu,, awasimamie na kuwatangulia katika mikutano yenu yote,, yy ndo pamabanaji wa pambanaji, mpiganaji wa piganaji,na YESu ndo mshindi wa washindi,, akawashindie vita hii ngumu, akawalinde na kuwakinga na damu ya mwanae YESu Christ popote muendapo..
Chizi kakabidhiwa sime 😂
umeyamwaga utayazoa mwenyewe
Hii
Watanzania tunapenda amani we sio kabisa watanzania tuamuke sasa
Tunataka mabadiliko
Mpigeni shaba kwani yy nani?
Akina Mdee wakaribishwa
Tumechoka bwana akuna anayekusifia mkenya
😂😂😂
Mora peke tosha kwako lisu na team yako nzima,, pige magoti muumba wenu,, awasimamie na kuwatangulia katika mikutano yenu yote,, yy ndo pamabanaji wa pambanaji, mpiganaji wa piganaji,na YESu ndo mshindi wa washindi,, akawashindie vita hii ngumu, akawalinde na kuwakinga na damu ya mwanae YESu Christ popote muendapo..
Wanasifia nn ? Hiki chama kimefanya makosa kumuondoa Mbowe...subilini kidogo
Mjinga kama wewe unajua nini?
Ni wajinga tu wanaompuuza Lissu,
Kichaa kapewa Rungu.chadema mtakoma