😂😂😂 mzee wa dodoma! Hii kali! Tunaomba nyengine!!! Shout out to all characrers and fans of this comedy!!! Benedict lusese be blessed brother! Love your good work
@@lusese1 am always around sir coz i have already subscribe and turned ON my notification 👍🙌🏻 yaan ile comedy ya shule kwanza lazima niitizame kila siku😂😂😂😂so much funny!
Mimi dereva tax msema ukweli 😂 hahaaa
Mkwele mwehu yaan kaahidiwa kuhunuliwa gari na angepata zaid Ila umbea tu 😂😂
Mzee wa dodoma area D hahaaa
Safina mwisho napenda kwa ushupavu wake
Mm ni dereva tex msema kweli
Hatari sana
😂😂😂😂Eti asanteeee
Hahaaaa dereva tax noma. Baba limevaa na kitenge cha nyumba ndogo😂😂😂😂
😂😂😂 mzee wa dodoma! Hii kali! Tunaomba nyengine!!! Shout out to all characrers and fans of this comedy!!! Benedict lusese be blessed brother! Love your good work
i thank you Fey Twist, many more to come 2020 dont go nowhere stick around.
@@lusese1 am always around sir coz i have already subscribe and turned ON my notification 👍🙌🏻 yaan ile comedy ya shule kwanza lazima niitizame kila siku😂😂😂😂so much funny!
Huge salute to you, we apreciate.
😀😀😀😀ati afadhali nife kwa ajili ya dodoma
Nakubali sana mkwele kazi yako
Iko vizuli inairimisha
🤣🤣🤣 nakumbuk dereva bodaboda alimleta jaman getto kumuonyesh mkewe alimpelek Kwa danga
Hapa Area D karibu na ikulu
😂😂😂nimechek hd,nimelia
Hahahahahahaha mkwere
Very interested congratulations casts
😂😂 mzee wadodoma nzr sana kazi zenu
Asante sana
Kwel nyinyi ndiyo kash kash
Mumeuw
Cha umbea 😂😂😂😂😂😂😂
Hahahahahaaaa et nikusanyie mawe
Yani haka kadereva tex nakazibuwa kambea sana
Nikusanyie mawe hahaha
😂😂😂😂😂😂
Ww. Usiamlie😄😄😄😄😄
Kilichokuokoa mkwere ni kwamba hayo ni maigizo.Vinginevyo sina cha kusema.🤔🤔🤔
Kama msomaji comment Kama Mimi gonga laik
Tupoooo😃😃
Znakusaidia nn
Sa we bwana umeaga unaenda Dodoma...Sasa hapa mkuhungu,msarato au uwanja wa ndege?
We usiamulie
Begi la mfanyakaz wa Dodoma
Na dereva tax kweil ndo amezalilisha mwenzake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eti kwa mtogore 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaaaa kakomeshwa
Hatari
Sabasi umelipwa Mara tatu na umezunguka hujapata elf50 za gari umepata 20 usiofata yako umbea utakuuwa mwanamume
aseee mkwere unanogesha story, ila hapo kuna funzo kubwa pia ktk kazi yako chunga mdomo wako mfano : mkwere
Ilauyo dreva Tex awemakini akija kurudiwa akaliwa ndogo shaur zake
Aaaa wapi huyo mlandogo atajuta maishani kwake, sisi ndio watukutu ya mujini.
Nice sin, lakin angekuwepo character msichana ambae ni nyumba ndogo ingekuwa poa
😁😁😁
🤣🤣🤣
Siri imefichuka
😂😂😂😂😂😂😂
Dereva tax mkuda
Nyimbp za pastoti munishi
Nyimbo pastoli munishi
Nyimbo za munishi
Ponjoro Mkoi
Nimeikubari sana
Kwamtogoreeee
Hahahahahaha dreva tax kauaa......
Yote kwa yote mizengwe ni wasaniii wazur mnoooo
HIIIIIIIIII
KIBOKO SANAAAAA
DUUUUUUUUU
SUMAKUUUUUU
KANASWAAAAA YEYEEEEE
Yaani wewe Mkwele sio kabisaaaaaa!!!
Usiamulie ..usiamulie acha nipigwe
Hatari