Mchungaji Msigwa kuhusu kuhamia Dodoma, mipango ilikuwepo tangia awamu ya 2 ya 3 ya 4 ilikua inashindikana kwa vile Mlitanguliza Siasa kama unavyo zungumzia Uchumi hali wewe ni mchungaji!!: pole sana.
Nakuonea huruma sana wa Africa duniani kote tuko kwenye harakati ya kuwastopisha wachina wasilichukue bara letu we ndio kwanza unaongea pumba mchana kweupeee hawa ndio wanaosababisha tuitwe ni manyani mchungaji kenda kuwa mbunge sasa kwenye kutunga sheria atakuwa na mchango gani?
Watanzania lazima Katiba ya nchi ibadilishwe ili kuwatoa CCM madarakani. Katiba ya nchi imekaa vibaya sanaa. Eti Rais wa nchi hashitakiwi amekuwa Mungu.
Genius & wise men of national!!! ☝🏾
Ni kweli kigoma kumesailiwa sana
Safi sana Mbunge nikwamaslahi ya Taiga zima. Hongera kwakuisemea kigoma
Huyu jamaa ni noma kwa kujenga hoja
Mchungaji Msigwa kuhusu kuhamia Dodoma, mipango ilikuwepo tangia awamu ya 2 ya 3 ya 4 ilikua inashindikana kwa vile Mlitanguliza Siasa kama unavyo zungumzia Uchumi hali wewe ni mchungaji!!: pole sana.
pamoja sana kichwa
Hospital ya kibaha tumbi ni chafu sana majengo yamechakaa kwa ujumla kila kitu kiko hovyo kabisa kwenye hospital hiyo
2020
Kichwa
Nakuonea huruma sana wa Africa duniani kote tuko kwenye harakati ya kuwastopisha wachina wasilichukue bara letu we ndio kwanza unaongea pumba mchana kweupeee hawa ndio wanaosababisha tuitwe ni manyani mchungaji kenda kuwa mbunge sasa kwenye kutunga sheria atakuwa na mchango gani?
Kuna mbunge ZITTO kwanini asifiwe kinala ya kujenga kigoma!
hhhhhhh duiiiu
mipango ni kutoa plate za magari zinazopack barabarani
Watanzania lazima Katiba ya nchi ibadilishwe ili kuwatoa CCM madarakani. Katiba ya nchi imekaa vibaya sanaa. Eti Rais wa nchi hashitakiwi amekuwa Mungu.
You are right sir!