Manake nini Mtumishi wa Mungu sauti ya Mungu inenapo nawe, Neno..ni mbali na nje?? 2.maana ya ndoto uonapo nyasi za ngombe zimefungwa vikundi viwili..zilizo green na zilizokauka ni nini?
Samahani Mwl mm bd hua sijaelewa kua, Nitawezaje kujua yakua hii ni sauti ya Mungu ndani yangu inayotakiwa ifanyiwe kaz? / Sauti ya Mungu huwa ikoje? Ahsante naonba msaada Kwa Hilo please Mwl
Sauti ya Mungu ni maelekezo unayoweza kupokea kupitia Sauti ya mtu unae muona mkubwa au mdogo, au usie muona, kwa njozi,kwa mawazo. Yasiyokwenda kinyume na Neno la Mungu. Katika njozi lazima ije Mara 2 au 3.
Ndugu Issa umeuliza,utaijuaje sauti ya Mungu ili uisikie. Sharti la kwanza (1) Umuamini Yesu kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yako.(2) Utubu dhambi na uamue kuziacha kabisa (3) Uwe na desturi ya kujipangia siku ya maombi na kufunga.(3) Mpate Mchungaji aliye karibu wa makanisa ya Kiroho kwa melekezo zaidi. Barikiwa.
Ndugu Elizabeth wanjiru,ndoto ya majani mavu na mabichi,hapo umepewa kuchagua kati ya njia 2,umechgua ainagani ya maisha unayopenda kuishi hapa duniani. Jingine la muhimu:"Ukota ndoto mara moja iliwa haita rudia usisumbuki nayo. Tangu zamani Mungu alisema na watu mara 2 au mara 3. Samweli alipo sikia sauti ikisema nae alienda kumuulza Eli, naye kamwambia arudi tena, mara ya tatu kamwambia ukusikia tamka hivi:"sema Bwana nasikia.
Ndugu Elizabethwanjiru. Sauti ya Mungu unaweza kuisikia kwa njia 3. (1) unaweza kusikia toka ndani ya fikra zako.(2) unaweza kusikia toka kwa mtu atakaye ongea nawewe,awe mdogo au mkubwa.(3) unaweza kusikia sauti inayo ongea na wewe waziwazi bila kumona mtu. Jamboree muhimu zaidi ni kuifahamu. Kwakuwa kama hujaifahamu,utadhani ni mawazo tu au ni wazoo la yule akuambiaye,au ni ndoto tuu. Wengi hawasikii sauti ya Mungu kwa kuwa hawaamini au hawajui kuwa Mungu hadi leo husema nawatu.
Kusikia sauti ya Mungu hhh ni somo nzuri sana ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Nimefurahi sana kukuona tena mzee wetu,tulikuwa wadogo kipindi hicho kanisan mnalani.
Mungu akubaliki mtumishi
Amen from saudi arabia
Lilian, ubarikiwe sana.
Asanti Kwa neno Mwalimu,nakupata nikiwa Nairobi Kenya
Asante kunitia moyo ndugu wa Kenya. Sifa na shukrani kwa Bwana.
UBALIKIWE SANA MZEEE
Mwl hivi dhambi asiri ni Kila mtu anayo au ni kwa baadhi ya watu tu?
Mungu akubariki baba!!...
Manake nini Mtumishi wa Mungu sauti ya Mungu inenapo nawe, Neno..ni mbali na nje?? 2.maana ya ndoto uonapo nyasi za ngombe zimefungwa vikundi viwili..zilizo green na zilizokauka ni nini?
Samahani Mwl mm bd hua sijaelewa kua, Nitawezaje kujua yakua hii ni sauti ya Mungu ndani yangu inayotakiwa ifanyiwe kaz? / Sauti ya Mungu huwa ikoje? Ahsante naonba msaada Kwa Hilo please Mwl
Sauti ya Mungu ni maelekezo unayoweza kupokea kupitia Sauti ya mtu unae muona mkubwa au mdogo, au usie muona, kwa njozi,kwa mawazo. Yasiyokwenda kinyume na Neno la Mungu. Katika njozi lazima ije Mara 2 au 3.
Ndugu Issa umeuliza,utaijuaje sauti ya Mungu ili uisikie. Sharti la kwanza (1) Umuamini Yesu kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yako.(2) Utubu dhambi na uamue kuziacha kabisa (3) Uwe na desturi ya kujipangia siku ya maombi na kufunga.(3) Mpate Mchungaji aliye karibu wa makanisa ya Kiroho kwa melekezo zaidi. Barikiwa.
Ndugu Elizabeth wanjiru,ndoto ya majani mavu na mabichi,hapo umepewa kuchagua kati ya njia 2,umechgua ainagani ya maisha unayopenda kuishi hapa duniani. Jingine la muhimu:"Ukota ndoto mara moja iliwa haita rudia usisumbuki nayo. Tangu zamani Mungu alisema na watu mara 2 au mara 3. Samweli alipo sikia sauti ikisema nae alienda kumuulza Eli, naye kamwambia arudi tena, mara ya tatu kamwambia ukusikia tamka hivi:"sema Bwana nasikia.
Namrudishi Bwana Yesu Sifa na utukufu, ninaposikiwa hata na watu wa Saudia na wa Nirobi.Kweli nasikia mchozi ya furaha.
Ndugu Elizabethwanjiru. Sauti ya Mungu unaweza kuisikia kwa njia 3. (1) unaweza kusikia toka ndani ya fikra zako.(2) unaweza kusikia toka kwa mtu atakaye ongea nawewe,awe mdogo au mkubwa.(3) unaweza kusikia sauti inayo ongea na wewe waziwazi bila kumona mtu. Jamboree muhimu zaidi ni kuifahamu. Kwakuwa kama hujaifahamu,utadhani ni mawazo tu au ni wazoo la yule akuambiaye,au ni ndoto tuu. Wengi hawasikii sauti ya Mungu kwa kuwa hawaamini au hawajui kuwa Mungu hadi leo husema nawatu.
Tupende kusoma biblia na kutafakari. Mtu mmoja kusema mimi muongo niliposema,"Sadaka usio igharamia haina kibali." Tatizo nikusoma biblia kama gazeti. Angalia (2 Samuel 24:1endelea) hata watumishi wengine husoma biblia wanapo andaa somo tu,sio kujilisha wenyewe. Badilika.