NDOA YA ASKARI KIJANA ILIVYOTIKISA ARUSHA BAADA YAFUNGWA KIJESHI, WENZAKE WAMPA ADHABU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 249

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 роки тому +7

    Hongera Saaana , Ubarikiwe hizo ndizo sare ya Askari zinazopendeza Sio zile zingine kama tuko India

  • @fatmaqhta8528
    @fatmaqhta8528 2 роки тому +15

    Mashaallah Nzuri Sana Allah awalinde na husda za waja Awape vizazi vyema. Na mm pia nakaribia kua bibi ya Askari Inshallah 🤲🤲🤲🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @fatmaqhta8528
      @fatmaqhta8528 2 роки тому

      @Amina Said Mbona wacheka nitakualika yakwangu usicheze mbali 😂😂😂😂🤸🤸🤸

    • @hassanisadiki824
      @hassanisadiki824 2 роки тому

      In shaa Allah, mimi nataka hiyo kadi tuu

    • @fatmaqhta8528
      @fatmaqhta8528 2 роки тому

      Sawa msijali Tuko pamoja

  • @gloryshayo9966
    @gloryshayo9966 2 роки тому +7

    Mungu awe kiongozi wenu kila neno baya lililonenwa kwenu lisiwe kwa jina la YESU Kristu.Amen

  • @MozarySeyouMozarySeyou
    @MozarySeyouMozarySeyou 2 місяці тому

    Jidai mama wakat wako ,❤kuna siopenda rah atujabatika2

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 2 роки тому

    Isaya 61:
    1 "Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema;....."
    *NINATAMKA UZIMA KATIKA ROHO, MWILI NA NAFSI YA KILA MMOJA WETU KWA JINA LA YESU! KILA VIFUNGO, UZITO, MAGONJWA, UHARIBIFU, MIKANDAMIZO YA IBILISI NA MSONGO WA MAWAZO VITOKE KAMA VAZI SASA!! POKEA UZIMA TELE KATIKA KILA ENEO LA MAISHA YAKO KWA JINA KUU LA YESU!!!*

  • @joykanjadavid2617
    @joykanjadavid2617 2 роки тому +25

    Congratulations Mr and mrs ♥ , one day my dream will come true.... 🤲

  • @rachelayubu4513
    @rachelayubu4513 Рік тому +1

    Me napenda xana kuolewa na mjeda mungu anipatie 2 mume mwema

  • @elizabethandrew4544
    @elizabethandrew4544 2 роки тому +19

    Dada wa watu wana mchosha😃😃

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 2 роки тому +4

    Hehe na maisha utayakuta ya kijeshi jeshi mwenzangu

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 2 роки тому +20

    Nimeipenda hiyo hadi raha
    ila askari kuolewa nae yataka moyo
    huwa wanapenda wanawake sana hawatosheki ...ndoa yenu ikawe ya kheri🤩

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +3

      Umewahi kuwa naye askari

    • @silyadamian5708
      @silyadamian5708 2 роки тому +6

      Ukweli kabisa na wale madreva wa masafa marefu😎😎😎😂😂😂🙌

    • @anithasemwano8276
      @anithasemwano8276 2 роки тому +1

      Hahaaa wapo kama wanaume wengine tu

    • @neemamapenzi6960
      @neemamapenzi6960 2 роки тому

      @@anithasemwano8276 true dia mi sio eti police to ndo hawajatulia now days wote nisawa ni hurka ya mtu too ila sio kusema wwote ni hawatosheki noooooooo

    • @neemamapenzi6960
      @neemamapenzi6960 2 роки тому

      @@silyadamian5708 mmmh wewe mama wewe inaonekana unauzoefu nae eeeeh😆😆😆😆😆

  • @edithakiondo6114
    @edithakiondo6114 2 роки тому

    Hongera sana Thadeo Tarimo

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 2 роки тому

    Hongereni maharusi

  • @danielkwaslema-k1y
    @danielkwaslema-k1y Рік тому

    nawapend kuliko ❤❤❤❤❤❤❤

  • @joannegodfrey8769
    @joannegodfrey8769 2 роки тому +3

    Ni mbwembwe tu kwa askari wanaopenda sifa, ila kuna maaskari wengine tena wanavyeo vingi uwa hawapendi usumbufu wanafunga harusi ya kanisani au msikitini,ndo yenye nafasi kwa mwenyezi mungu.

  • @verombwambo4683
    @verombwambo4683 2 роки тому +2

    Hongera sana thadei

  • @distonmwaitumile5955
    @distonmwaitumile5955 2 роки тому +1

    Safi hilo ndio jeshi linalotakiwa linaonyesha ukakamavu kili kona

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 роки тому +1

    Maashaallaah mungu azidi kuwabariki sana amina

  • @alindaalinda4897
    @alindaalinda4897 2 роки тому

    Munguhawalinde

  • @didowamchops9229
    @didowamchops9229 2 роки тому +6

    Ndoa ya hivo kwakweli siitaki haina hata raha naona kama wamesimamia msiba,maana nimefiwa sana na ndg zangu askar so nikiona hivo akili inapelekea msiba tu

  • @abellabv
    @abellabv 2 роки тому

    Mmependeza sana. Nilidhani Makapela wangemmwagia mvua ya Champagne...🍾🍾🍾

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 2 роки тому +4

    Hongereni polisi kwa ushirikiano,kila la kheri.

  • @dollysanga5746
    @dollysanga5746 2 роки тому

    Mungu akawape kila itaji la mioyo yenu

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 2 роки тому

    Hongren sana imependza Kwakwer

  • @madamelucy8429
    @madamelucy8429 2 роки тому

    Wamefanya mazoezi wiki 2 lakini nikiangalia kuna wakati bwana harusi alikuwa akiyumba kwenye kutembea na kugeuka na bi harusi hakuwa kwenye matching ya kutembea ki gwaride muda wa mazoezi haukutosha

  • @thomasmayo1198
    @thomasmayo1198 2 роки тому +1

    Hongera sana mkuu

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 2 роки тому +3

    Ningemwambia Bwana Harusi acha ujinga nshafuta inatosha

  • @deusdedit789
    @deusdedit789 2 роки тому +3

    Dah nimecheka sanaaa😆😆😆🤣🤣

  • @asiaoman3040
    @asiaoman3040 2 роки тому +4

    MashaAllah 😘😘😘

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 2 роки тому +18

    Mi siwezi olewa na mjeda khyaaa eeeh nyimbo hakuna ni up tu kulia nakushoto!! Mala pwipwipwiiii

    • @mwigakatumpula6852
      @mwigakatumpula6852 2 роки тому +2

      Umefikiria mbali sana kwaiyo ulitaka zile chereko chereko za piga kerere kwa biharusi ake weweweweweeee 😀😀😀😀😀🙌🙌🙌

    • @princessemmy3190
      @princessemmy3190 2 роки тому +1

      😀😀😀 wakivua gwanda mnacheza bhana

    • @firdausqutty2067
      @firdausqutty2067 2 роки тому

      @@princessemmy3190 hapana kwakweli mmmh

    • @kibabysaid6692
      @kibabysaid6692 2 роки тому +1

      Hahahaha jamani @firdaus qutty umenichekesha Mie Hadi rahaa

    • @ricksonlyimo2662
      @ricksonlyimo2662 2 роки тому +1

      Umenifanya nicheke daaaa uolewi na mjeda nn

  • @LEAHLUCAS-j5j
    @LEAHLUCAS-j5j Рік тому

    Nawapenda mnoooo hawa watu

  • @agnesmartin5716
    @agnesmartin5716 2 роки тому

    Tadei ulitisha Sana hongera

  • @teklamushi8212
    @teklamushi8212 2 роки тому

    Imependeza sanaa

  • @babyrasta9685
    @babyrasta9685 2 роки тому +3

    Mie Mchumba wangu ni Mwanajeshi na tumeishafikia hatua nzuri yenye kumpendeza Mungu ila nishamwambia Ndoa ya kusumamiwa Ivyo kijeshi citaki nataka Ndoa yng isimamiwe Ndg jamaaa na Marafiki waenjoy, ,

  • @mwesigwamichael2843
    @mwesigwamichael2843 2 роки тому

    Hongera sana Kaka Tarimo

  • @alindaalinda4897
    @alindaalinda4897 2 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @joykanjadavid2617
    @joykanjadavid2617 2 роки тому +6

    God bless your union 🙏

  • @AliceSamwely-uw9is
    @AliceSamwely-uw9is Рік тому

    Safi sana

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 2 роки тому +3

    Ila bi arusi chamoto umekiona nyumaa geuka hoo

  • @jacklinmasawe2697
    @jacklinmasawe2697 2 роки тому +3

    Hadi rahaaaaa nasubili na mm baby Wangu apande cheo kwanzaaaaa

  • @erickkagisa833
    @erickkagisa833 2 роки тому

    Umekosa habari Ayo tv

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 2 роки тому +1

    Maashaallah

  • @ednambata9503
    @ednambata9503 2 роки тому +2

    Sasa love Wang ni Afisa uhamiaj havai magwanda itakuaje🤔🤔🤔🤔😅😅

  • @ziadaissa7550
    @ziadaissa7550 2 роки тому

    Hongereni

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 роки тому +2

    adi raa wow!

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 роки тому +1

    Hongeraaaaaaa Sana!!!

  • @elizabethandrew4544
    @elizabethandrew4544 2 роки тому +2

    Daaa nimetaman niolew wah😃😃😃

  • @feifei9620
    @feifei9620 2 роки тому +6

    Bi harusi pia anatakiwa kutembea kwa gwaride 😁

  • @zuenaramadhan4044
    @zuenaramadhan4044 2 роки тому +2

    Kumbe mi ndo niolewe na uyo askar ndo atakoma aigeuka kushoto mi kulia

  • @selemankasha4007
    @selemankasha4007 2 роки тому +3

    Iko pwa Sana Hapo ila sasa good unge badirisha camera Hapo picha Aikopow

  • @kawawamamaya8543
    @kawawamamaya8543 2 роки тому +2

    Afu ni st theresia kumbe jimboni

  • @shaniashani7026
    @shaniashani7026 2 роки тому +3

    Nasubiri love wangu hakipata cheo ndio tufunge ndoa mana bado sana v tatu 🤣🤣akija niacha sikubali🤣🤣

    • @ricksonlyimo2662
      @ricksonlyimo2662 2 роки тому

      Akipata tu na wewe unaachwa anaolewa people nyingine

  • @pendoedwin9670
    @pendoedwin9670 2 роки тому +2

    😍😍😘😘

  • @magdalenajohn6564
    @magdalenajohn6564 2 роки тому

    Hivi kama ni msikitini inakuwaje?

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 2 роки тому

    Hongera kwao

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 2 роки тому +2

    Camera nunua nyingine

  • @winfidaedwin390
    @winfidaedwin390 2 роки тому

    Bin hasan

  • @ShelterKijo
    @ShelterKijo 2 місяці тому

    Wanamchosha mdada 😅😅😅

  • @ticasitegeta5809
    @ticasitegeta5809 2 роки тому

    Daah

  • @rab792
    @rab792 2 роки тому

    Nimeipenda hiyo

  • @jumamumaka5846
    @jumamumaka5846 2 роки тому +2

    Hao wanao kusaidi kukanyaga garide siku ukiwa zamu ,wanakuja kulikanyaga gwaride kitandani kwako

  • @jamephiri27
    @jamephiri27 2 роки тому +1

    Hapo ndiyo unapoanzia ufisadi kwasababu hilonijambo binafsi halafu munatumia nyalazaselikari haya bwana mnaona nisahihi kwasababu mlishapotea huwezichanganya jambo labinafsi nanyalazaselikari hayondiyo matumizimabaya yamadalaka hizonikodi zawananchi

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 2 роки тому

    Hongera zao

  • @emeldamodest7039
    @emeldamodest7039 2 роки тому +1

    Nzuri sana

  • @nassersalim3408
    @nassersalim3408 2 роки тому

    Mashal

  • @matridajounior6414
    @matridajounior6414 2 роки тому +5

    kaigia sawa ila musimupeleke kijeshi jeshi jamani

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 роки тому +5

    uyu bi harusi nahisi presha iko juu anatamani akimbie😂😂😂

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 2 роки тому

    Kwan lazima kufanya hayo ya kijeshi ?

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Bass haya

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому

    Mbwembwe nyingi

  • @nuhujumatano8156
    @nuhujumatano8156 2 роки тому +4

    Rahaa Sanaa😂😂😂😂😂😂

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 2 роки тому

    Bibi harusi pole mwaya,wangekuandaa hata uweze kwenda mwendo wa pole

  • @zuberiismail2972
    @zuberiismail2972 2 роки тому

    Kuna tarumbeta apo linasauti mbaya Kama linajamba

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 2 роки тому

    Napendaga hii

  • @gabrielkimario1891
    @gabrielkimario1891 2 роки тому

    Anatishwa huyoo....eti Ana watoto 6 na Ni mnuaji wa nini

  • @wematesha5872
    @wematesha5872 2 роки тому

    Duh cwezii🤣🤣

  • @stephen4828
    @stephen4828 2 роки тому

    Hapo ni anafundishwa kwa anapomaliza shughuli za faragha anapokuwa mwenzake ni lazima amfute hilo pingili kwa tishu hadi liwe safi. Kisha waendelee na game kama kawaaa..!!!!!

  • @elizabethandrew4544
    @elizabethandrew4544 2 роки тому +2

    Amna hata nyimbo za harmonize.naskia tu kwakwa

  • @sheilanampenya1833
    @sheilanampenya1833 2 роки тому

    Mbona kama bwana harusi kalewa

  • @neemaneema9969
    @neemaneema9969 2 роки тому +1

    MC mwenyewe ni mjeshi

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 2 роки тому

    Bwana anakaa mbele ya gari bibi nyuma mmm

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 роки тому

    Naomba namba yako ripota...ni muhimu sana...

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 2 роки тому +1

    Mke anashanga hawakumfundisha

    • @rhodaerasto6151
      @rhodaerasto6151 2 роки тому

      🤣🤣 kuingia kweny gar anaachwa solemba

  • @SamsungA-sq9pi
    @SamsungA-sq9pi 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣 Ilo panga mi hoi

  • @utambevilla2054
    @utambevilla2054 2 роки тому

    Yan sasaiv kila kitu kinachezewa tu!!!!! Mana hamna wa kuogopwa tena

  • @rehemapima769
    @rehemapima769 2 роки тому

    Nipo darasani najifunza kazi

  • @dodwiedwin3944
    @dodwiedwin3944 2 роки тому

    Wazee wa kokopi na kupest

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 2 роки тому

    Hakuna mkoa wa Moshi bana

  • @sophiamberesero3889
    @sophiamberesero3889 2 роки тому +1

    Duuh hizo some sas jamn unaweza utage hapo uache yai ukimbie

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 2 роки тому

    Chaliy wa ungalimited ndani ya ndowa

  • @constantinochalle856
    @constantinochalle856 2 роки тому

    Big up!!

    • @habibamohamedi3785
      @habibamohamedi3785 2 роки тому

      Safi mmependeza kamanda mwenyw msimamo Ila mwanamke nae anatakiwa apige gwaride

  • @faridaabdallah7424
    @faridaabdallah7424 2 роки тому

    Ao walio mabachera nipo hapa askar mmoja jitokeze basi nipo tayari kuolewa

  • @richardjosh2636
    @richardjosh2636 2 роки тому

    Hawa wanaforce mchongo

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 роки тому

    Mmmmh 🙄🙄

  • @neemamapenzi6960
    @neemamapenzi6960 2 роки тому +1

    Jomoni nataman kuolewa na askari eeeh Mungu nisaidie 🙏

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 2 роки тому

    6

  • @BLINDREPORT2023
    @BLINDREPORT2023 2 роки тому

    KARIBU SANA KUTIZAMA SEASON ZA LOVE STORY KWA KISWAHILI GUSA HAPA ua-cam.com/video/eHCdyMnWcQc/v-deo.html BURUDIKA

  • @joramkimario9321
    @joramkimario9321 2 роки тому

    Kwa hunyo mwanamke mbn kma ni mateso. Sas

  • @canibalgazaboy8325
    @canibalgazaboy8325 2 роки тому

    KILA KITU MNAIGA KUTOKA JWTZ HATA HAIJAWA NZURI

    • @mussahaule1576
      @mussahaule1576 2 роки тому

      Kenge wewe mkienda kuwafundisha nyie

    • @alexmwakaseka
      @alexmwakaseka 2 роки тому

      Mbn apo hawajaiga chochote ivo vjtu tumeviadapt toka nje sasa kama ni ivo na wanajeshi wameiga co halafu soma katiba ndio utaerewa maana ya mwanajeshi

    • @kadogorimwinyi1466
      @kadogorimwinyi1466 2 роки тому

      Huna akili

  • @marymanyangu2324
    @marymanyangu2324 2 роки тому +1

    Kweli mke wa mwanajeshi ni mwanajeshi

    • @dominickjohn1128
      @dominickjohn1128 2 роки тому

      Kwan kuna mwanajeshi hapo kwenye hii Harusi?

    • @Usxznt
      @Usxznt 2 роки тому

      Bwana harusi ni Askari wa Jeshi la Polisi, hivyo hapo Kuna wanajeshi( Bwana hrusi na Askari wenzie)

    • @jumamumaka5846
      @jumamumaka5846 2 роки тому

      Hao ni polis dada siyo wanajeshi

    • @ramadhanhemba623
      @ramadhanhemba623 2 роки тому +1

      @@jumamumaka5846 Nenda kwenye katiba ya jamhuri ya Muungano ya Tanzania kuanzia ibara ya 147 utaona maana ya mwanajeshi,acha ujuaji usio na tija

    • @ramadhanhemba623
      @ramadhanhemba623 2 роки тому +1

      @@Usxznt Kasome ibara ya 147 ya katiba ya URT utaona maana ya mwanajeshi,siku nyingine uache ujinga

  • @cleophacephelician6739
    @cleophacephelician6739 2 роки тому +2

    Mimi siyo mwanasheria, ila swala la wanajeshi kufunga ndoa wakiwa kwenye sare zenye nembo ya taifa binafsi huwa haliniingii na sijuhi lilianzia wapi maana siyo Tanzania tu, nchi nyingi zinaruhusu sasa sijuhi kama ni utaratibu wa majeshi yote duniani!?

    • @moriscollins4494
      @moriscollins4494 2 роки тому +2

      Kwani huwa nchi inalindwa na baba yako au unajitia ujinga kwani kukitokea vita huwa vitabu vya sheria huwa ndio vinaenda kupigania nchi acha kujitoa fahamu....

    • @hassanmatata9335
      @hassanmatata9335 2 роки тому

      Kwa police Sheria inaruhusu kuanzia askari wa nyota moja ikiwa ameoa mwanamke ambaye si askari hii ni kumkaribisha katika familia ya kiaskari

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 2 роки тому +1

      Kubaliana nalo tu coz ni Dunia nzima naona Aya mambo yanafanyika Tena naona kama Tz Aya mambo yanafanyika Kwa nadra Sana Lakin Nchi za Wenzetu utaona mwanajeshi kasimama barabaran lamda anahubir injili na sare zake wakati Tz sijawai ona

    • @ricksonlyimo2662
      @ricksonlyimo2662 2 роки тому

      @@hassanmatata9335 sio kwa police tu kwa vikosi vyote vya ulinzi yaan police,jeshi,immigration,magereza nakadharika ila ni mpaka uwe na cheo kuanzia nyota moja na kuendelea ila askari usiekuwa na cheo chochote inapigwa sherehe kawaida tu

    • @ricksonlyimo2662
      @ricksonlyimo2662 2 роки тому

      @@moriscollins4494 jibu zur sana no comment hapo umenisaidia kumjibu vzur