Bro, it seems that the government has no funds to back up subsidise due to cash going through different porous . Things are getting out of the frying pan to the fire 🔥..
Mbona asipunguze kwa wabuge ndio wana gain hela nyingi maana wanaongwa why jeshi lichokonewe yafatuwe kimoja sasa jeshi bravo guys coz hiyo kazi ni nzito
Mimi nilikuwa airforce kwa miaka saba hiiii chakula yet beer nyama biscuit Ugali sisi tulikuwa kama wanafunzi wow ruto ni mweizi Atajua hajui huyu ni mkora
Wakule KDF siwezi wahurumia, when we wanted them to join us ,and take our country back, walinyamaza... Wacha wafinywe ndio waamke huko waliko, wache wachukuwe inchi..wanalala KABARAK na kiganjo doing nothing yet tulikuwa tukiwatetea. But walikimya tukiuliwa,.. na hawana mihashara... Alf kaongo anashinda kusema economy is doing well..wanakata pesa wambunge waongezwe mishahara
I agree 💯. Sisi tunangoja our Traore moment na wao wanalala kwa barracks. Tukiinuka hawatusaidii kumtoa huyu shetani. Wafinywe kabisa ili next time maandamano inafanywa watusaidie.
I think there is a power pushing him to keep making mistakes now he has touched where he's not supposed to. there is nothing dangerous like to have military against you if people want to bring his government down they will even help
If you don't feed your military,how do you expect them to PROTECT KENYAN TERRITORY.That will never happen.Military MUST BE FED FULLY AND BE PAID THEIR SALARIES FULLY.
We have always been singing about hash economy ,KDF/police fratanity ever been thinking that we are trying to overthrow the gvnt for lack of manners and law breaking , now your turn has come lets split the pain together ndio muwache hizo ma teagass muna over use.
Ruto dawa yake inatokota.amegusa pabaya tutaamka siku moja msikie ruto amependuliwa. Huyu anacheza na KDF wakati inajua location yake yote😂😂.b4 mwezi wa saba ruto sidhani km atakuwa bado ni raisi.labda abadilishe mawazo ya kutaka kdf wajununulie chakula bila hivyo ruto nakuonea huruma juu chuma chako kiko motoni
This is unbelievable i have never heard that how can u protected by Hungary man Hungary man is Angry man that's to press a button and u know it gonna brow fire
Government can get millions of ksh to renovate/upgrade state house but can't provide military soldiers with subsidised food. How do they expect weakly soldiers to defend kenya???
Wanataka kuiba hizo pesa ili watumie kwa siasa, naam, juzi walitii kuuwa GEN ZS, walipokuwa wanatutetea sisi wote, sasa wamefik8wa, MTENDA AKITENDEWA HUONA KAONEWA, naomba wanajeshi wamke na wapenduwe ruto
This is unacceptable. Our KDF wapewe food. We feel safe as a country becsuse of them. We saw how many lost life in somalia fighting alshabab..for our safety...wapewe foid. PERIOD!!@
Hey !!!!!!
This is very exciting, he has touched life wire,
😂😂😂😂😂😂😂 !!!!
Beautiful !!!!!
Now attempt coup in march
Ezra you are young but full of wisdom! I love the way you update your viewers
Ahsante mkuu
Kabisa big up bro
Ni vizuri wamefikiwa sasa wajoin mwananchi Wa kawaida kutetea nchi yetu wanazo nguvu Na Amri zote
Soon there's no money for salary for KDF and Kenya police.
Bro, it seems that the government has no funds to back up subsidise due to cash going through different porous . Things are getting out of the frying pan to the fire 🔥..
😂😂
Mbona asipunguze kwa wabuge ndio wana gain hela nyingi maana wanaongwa why jeshi lichokonewe yafatuwe kimoja sasa jeshi bravo guys coz hiyo kazi ni nzito
Ezra, keep up with your good work.... of all the channels i have watched on U-Tube, you are the best
😂
This is good news. Hao watu wamekataa kusimama na wakenya kumtoa Ruto. Wacha wasikie uchungu pia ili tupate Traore wetu.
Hapo sasa😂😂😂
Surely GOD is working.thankyou Jesus
Amen.
😂😂😂😂😂😂
Kabisa
RUTO AJUI JESHI NDIYO KENYA
Wakule mshahara yao kwani ni wa red cross
Wewe ni mjinga tu@@jedidahnthenya
It is unfortunate that somebody can think of denying military something like food.
Imagine
Mimi nilikuwa airforce kwa miaka saba hiiii chakula yet beer nyama biscuit Ugali sisi tulikuwa kama wanafunzi wow ruto ni mweizi Atajua hajui huyu ni mkora
Watupatie Traore wetu. Hawa wanasiasa wametuzidi kabisa. We need a fresh start.
Watching from Marsabit county
Eagle Ezra, thanks again for your updates
These Kdf guys have been joy-riding Sasa wamefikiwa pia,raia tumelia sana.
Anatafuta pesa ya kununua kura na wabunge na judiciary 😂😂🎉
Good work Ezra niko saudy
I'm watching From Lebanon 🇱🇧
Wakule KDF siwezi wahurumia, when we wanted them to join us ,and take our country back, walinyamaza... Wacha wafinywe ndio waamke huko waliko, wache wachukuwe inchi..wanalala KABARAK na kiganjo doing nothing yet tulikuwa tukiwatetea. But walikimya tukiuliwa,.. na hawana mihashara...
Alf kaongo anashinda kusema economy is doing well..wanakata pesa wambunge waongezwe mishahara
I agree 💯. Sisi tunangoja our Traore moment na wao wanalala kwa barracks. Tukiinuka hawatusaidii kumtoa huyu shetani. Wafinywe kabisa ili next time maandamano inafanywa watusaidie.
Tulia nanii...wewe usifikirie jeshi inachemkanga mara moja...takes time to boil, and if it boils ; it boils real well.
Kutoka Saudi Arabia Riyath
Watching from lebnon 🇰🇪🇱🇧
Who ever advised Ruto anamkosea coz now this military will be on wananchi side
The IMF advised him.
I think there is a power pushing him to keep making mistakes now he has touched where he's not supposed to. there is nothing dangerous like to have military against you if people want to bring his government down they will even help
Ruto hasikisi advisors wake kwanza hao wanalipwa bure yeye ndio uji advice
Attempt coup loading....
@@shikukariuki4752 the IMF advised Ruto. Any poor country that over-borrows from the IMF loses its sovereignty.
Msituulie mabwana bana😢😢😢😢mmewatuma battlefield alafu muwanyime food na mnatuovertax😢😢😢 madoggy nyinyi
Watching from Poland
Tunataka hata wao watujoin😂😂😂
KDF should do whats necessary. We are tired
Absolutely. They have refused to stand with Kenyans. Wafinywe kabisa.
Wait for march this year there will be attempt coup,
Exactly
Walai nilikuwa najiuliza kwani Hawa wajeshi hawaoni yenye tunapitia😂wamefikiwa tuone sasa kama watatulia😂
The new year is changing everyday and the time is kicking
If you don't feed your military,how do you expect them to PROTECT KENYAN TERRITORY.That will never happen.Military MUST BE FED FULLY AND BE PAID THEIR SALARIES FULLY.
Wachting form germany 🇩🇪 🇪🇺
Watching from kakuma turkana county
Watching from Ka nini? Eti kakuma? Ka nani?
Good kaongo kaongo kaende
Huyu raise in munyama kuliko ata waarabu... hiyo ni unyama Kenya kwisha tangu sijawai sikia hilo.
Things are boiling nicely...temperatures are really soaring as per the look of things.
California well represented 🎉
Watching from kiambu.
A Hungry Soldier 🪖 is an Angry Soldier 🪖 🤣🤣🤣🤣
Murang'a well represented
Thank you 🙏 GoD,
Wacha hata wao kiwarambe,wakati tulikuwa tukitetea haki wao wamekuwa na serikali.let them now take their own now
NRB county. Continue updating the world my son.👋
Watching from Qatar 🇶🇦
Hapa mwenye amempa advise 😂😂amemamua kumchomea kabisaa 😂😂😂
Kweli uyu ni Ruto😂
Very true😢hapa kimeumana😢wanajeshi sio watu wakuchezewa😢wanafanya kazi ngumu sana wanastahiri kutunzwa vyema sio kunyanyaswa🙋🏼♀️🙏🏼🇰🇪
Kabisa
Ruto and his kalenjin hooligans are looting left right centre and doesn't want even kdf to benefit from the lunch only. Ghai
KDF was there before he was born
Tulikuwa tukitaka wafanye ile kitu wakaturingia, sasa ndio muda mwafaka wakamilishe mission.
Maobi yetu imeaza kujibiwa ,,,,,,God sikia maobi ya wakenya
Ruto Apinduliwe mara moja, Gen. Mohamad Noor Hassan amewekwa mfukoni, kama Noordin Haji aliwekwa mfukoni.
Mmmmmmmmm what, ruto is joking with fire God will hear the prayers of Kenyans
Rwanda
Let's wait for the deductions of salaries
Si sherikali, iwe tu na hekima, ya kurejeshe viwanda vilivyio fungwa kujenga nchi, eeeeeeh 🙆 shaka
From ethiopia nakupenda sana
Doha Qatar watching from
Ethiopia watching
Let Ruto destroy his pillar he will know after amy action hawa niwengine
May the Lords will be done glory to God
Matungulu sub County,Machakos County
Hizo pesa ruto anataka kuiba na watu wake
We have always been singing about hash economy ,KDF/police fratanity ever been thinking that we are trying to overthrow the gvnt for lack of manners and law breaking , now your turn has come lets split the pain together ndio muwache hizo ma teagass muna over use.
We need our Traore here in Kenya coz military have displine and they deliver look kasarani and talanta and ABC hospital 🤔🤔
Hey alex niko kwale unaona kah ruto gez wataweza kweli
From Iraq
Asante kuvikiwa ili tuwe kitu moja Ruto changanya machi na damu ndio ujue mungu halali
😂eti nini,Jameni kaongo Kasongo anavyieka kuvyieaka Kila kitu hataki kuwacha kitu akiondika mamulakani,😮
Hata sisi hatupewi wanaotulinda pia wacha tundegemee Mwenyezi Mungu
Ruto dawa yake inatokota.amegusa pabaya tutaamka siku moja msikie ruto amependuliwa. Huyu anacheza na KDF wakati inajua location yake yote😂😂.b4 mwezi wa saba ruto sidhani km atakuwa bado ni raisi.labda abadilishe mawazo ya kutaka kdf wajununulie chakula bila hivyo ruto nakuonea huruma juu chuma chako kiko motoni
Anaposa mwelekeo from Londan
Hizo pesa zinabebwa na magenta kupea kanisa,na abductors zinatoka wapi?
Acha wakatwe ju walininyima kazi.eti nikashindana na mwanajeshi mumoja mbio nikamshinda eti wanasema mbio nizamwizi sio zakawaida😅
Ruto na sericali yake imeshindwa kazi kabisa.
Mbona ma mp na ma gavana hawakatiwi mishahara yao na allowance. Lakini raia wanajeshi na ma police mbona wananyanyaswa ...WHy
Huyu mtu ana Nini inamsumbua,, uzuri tu ameguza electric wire n we like these😂😂
This is unbelievable i have never heard that how can u protected by Hungary man Hungary man is Angry man that's to press a button and u know it gonna brow fire
+31 Netherlands.
Kwisha tuombeni mungu.
Watching from mesopotamia
What about the money that is wasted in state house and bribing mps to do stupid things by your order.
Watching from Githurai 45.
Ruto,atatumaliza apigwe lisasi
Surely ,wanajeshi huwa hata hawako karibu na manyumbani kwao I'm basi watakuwa wakinunua chakula wapi?MSITUNI?Hii ni Kali.
wanasave pesa na wanaiba, accountability akuna ruto aende nyumbani akuna kitu anafanyia wakenya, corruption na ma deals
🇰🇪🙏
Ngai Ruto Ruto una uzuri ata moja??? Masikari wangome kabisa
Nakuru county
Government can get millions of ksh to renovate/upgrade state house but can't provide military soldiers with subsidised food. How do they expect weakly soldiers to defend kenya???
Jessica watakua wakitupiga geta na kuwa majabazi
sasa kasongo ameendea hela zaidi ya ku-loot huko ni wizi itatembea
Tunangoja Ibrahim Traore ajitokeze tuone
Johannesburg
Anajichimbia shimo pole pole ataingia mwenyewe ebu wajoin mwananchi wengine kutoa huyu mtu
MUNGU NI MWEMA.🙏
Lakini ndio wawache kukimia,ongeeni nyinyi kdf,anyway amchunguliaring from North America Mexico.Adios.
Wanataka kuiba hizo pesa ili watumie kwa siasa, naam, juzi walitii kuuwa GEN ZS, walipokuwa wanatutetea sisi wote, sasa wamefik8wa, MTENDA AKITENDEWA HUONA KAONEWA, naomba wanajeshi wamke na wapenduwe ruto
Makueni Caunty
kweli ruto na hao watu wake hawana akili poa wanafikilia Kenya ni yao
This is unacceptable. Our KDF wapewe food. We feel safe as a country becsuse of them. We saw how many lost life in somalia fighting alshabab..for our safety...wapewe foid. PERIOD!!@
Hii nayo wacha kido wajue nikwanini sisi wanaichi tuna lie bati hapa napo ruto ume chokoza nyuki wee
Nairobi
Kasongo apunguze mshahara wake na wa waheshimiwa wote nchini sababu wanajeshi wakiwa na njaa, hatutalala kwa amani kwa nyumba zetu.