I was at home cooking,I just found myself on my knees and praying deeply
I am speechless on how God used this man of God in this Worship. To God be The Glory.
Ndizo ibada tunazozitaka sasa kama kanisa. No maigizo, no show time, no fake life. We need JESUS in our lives.....
Niliwahi kuwa kwenye ibada Kama hii na Boaz danken , sikuwahi kujazwa na roho mtakatifu lakini siku hiyo nilijazwa , broo ipyana na Boaz danken ndio wanaomwimbia mungu katika roho na kweli
Ee Yesu uzidi kuwavuta watu kwako ili wauone uzuri maana ww n mzuri Kristu #uzidi kumpa neema yako dr ipyana🙏
True worship, I feel and experience the presence of Holyspirit through watching ...Be blessed much Dr ipyana.
Powerful.. Jamani...
SAA yaja nayo ndiyo sasa waabuduo halisi watamuabudu Baba katika Roho na kweli..
You're blessed Dr Ipyana
Ani mi ndo rington yangu nashangazwa na pendo lako kuna Roho mtakatifu mkubwa Mungu Mungu
Nahitaji neema yako tuuu 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Maaana sijawahi weza
Sitawahi wezaaaaaaaaaaaa😢😢😢😢ipo nguvu kubwa katika huu wimbo maaana inanipeleka ulimwengu mwingine kabisa Mungu anasema nami
Yes Leo sitoki hapa bila wewe na uso wako uende nami.....😢😢😢😢
Jamani Jamani,Mungu Naiomba Neema Yako..It's Real even Now hapa nilipo.We Give God Glory For the Hearts He has Just given Us.Without Him it's Impossible.
What a powerfull service....the holy spirit was absolutely there.....i pray to God to have session with holy spirit like this.....#@dr_ipyana...my role model............
Nimehudumiwa sana...Mungu akubariki sana kaka
Huu ndio uimbaji ninao utaka, hongera sana . Dr. Ipyana. , Mungu aendeleee kukutumia sana na kukupa moyo wa kushuka mbele zake. Nice
Nashindwa kusema Jambo,moyo wangu unabubujika machozi napo tazama hii ibada, it's all about Jesus, glory be Jesus
Unaona jinsi uwepo ulivyosimama jamani mm napenda ibaya ya kuimba kuliko ibada nyingine yeyote
TUNAMTUKUZA MUNGU KWA HUU UTUKUFU MKUBWA.IBADA ITADUMU NA KUENDELEA KUISHI VIZAZI NA VIZAZI.
NIMEKUTANA NA IBADA KAMILI....💪💪💪💪
Deepest form of worship is right here🙌🙌🙌.. God bless you Man of God..
Nakupenda sana brother, mungu aendelee kukutumia makongoro ni baba yangu,napenda sana kufanya live concert ila kipato kipo chini naamini mda sio mrefu Mungu atanifakusha wewe ndio utakuwa mtu wa kwanza kukupa mwaliko.
Nabarikiwa na zaidi ya kubarikiwa kupitia IBADA!God bless Dr.Ipyana
Dr.Ipyana as I was praying ,I saw you in a vision,you were sitted at the highest level of astair,but you looked un happy,you had supported your chin with too hands,TRUST in the LORD
The oil is pressed from the seed, Power is realised through crushing and pressing ,Gold is purified through fire,Stand still man of God,Soon you are coming out ,Let the oil of worship flow ,
Its amaizing How the Lord is using you sir..Your ministry is like wellsprings of water.
🙌🙌🙌🙌🙌🙌 May God receive his glory, be blessed Dr ipyana kibona, continue to keep the anointing of God, God will put you in your place.
😭😭😭hakika sijawahi weza bila YESU 🙏🙏YESU kwa huruma yako BABA 👏👏👏hii Ndio IBADA halisi hakika Dr Ipyana uzidi kuinuliwa
Nabubujikwa nasikia nguvu ya Bwana ikiwa juu yangu imenifunika
thanks alot for this song it has helped get back my grip its all about finding this Christ not my needs.... am in tears
Wow wow wow what an incredible manifestation of the Holy Spirit. Asamte mtumishi kwa Ibada 🙏🏾🙏🏾🙌🏾 Mungu azidi kuinua na kubariki huduma yako
Still here even now - Sitaki na sitamani kuweza bila wewe, nimeamua kukufuata tuu wewe Yesu 🙌🙌
So powerful ipyana Wacha Mungu abariki kazi ambayo unafanya
Today as I was worshipping through this song, I was taken into deeper presence of God with endless prayers. Thanks alot Holly Spirit, I have managed to release alot of matters that had been under demonic risk. God bless you Dr.Ipyana.
All the honour and Glory belongs to you Holy Spirit
This takes me back to "Ibada In The City" in Kilimanjaro few months ago. Be blessed richly man of God. You are a blessing to many
Oooh lord Pokea Ibada hii iwe manukato mbele zako Mfalme
Lord 🙌without You,without Your Presence am not Going..
Nimekataa kwenda bila wewe🙌🙏🙏🙏
A man of God Dr. Ipyana may the altar of God flow over all of the way that your moving on......and may the presence of God go high and the glories of God come down.......
Let the power of God take control over you forever bro. I love you for your humble. Thanks God for meeting you brother.......my time to Ibada grand is coming too. Ibada its more than a Prayer, Praise, Glories and Worship to our Lord God.
Ibada in the City.....Minister Dickson Eremiah....the time will might tell.
In His presence is the most beautiful place I will ever be. God bless you Dr Ipyana.
Yes this is how really worship is!!! God be with you forever, coz in worship their is healing & delivery
I love you for free my brother, from kilimanjaro
Two years down the Line and i am very much blessed and touched, and i can feel the Holys Spirit so fresh
God bless you Dr Ipyana For this song
God bless you Man of God for being obedient to the HolySpirit more Grace upon you 'n ur ministry
Duuuh 🙌🙌🙌Kaka Ipyana ...am speechless God bless you brother
GOD WORKS IN MYSTERIOUS WAYS...ALL WE NEED TO DO IS TO TOTALLY SURRENDER,OBEY HIM AND FOLLOW HIS WAYS BY PRACTICING THEM WHEREVER WE ARE AT ANY GIVEN TIME.THANK YOU SO MUCH DR.IPYANA AND THE CREW INCLUDING THE CONGREGATION FOR THIS POWERFUL MINISTRATION.YOU ARE BLESSED AND FAVOURED FOREVER AND EVER AMEN.
Natamani kanisa lirudishe ibada kwa Mungu
Amen amen, nimehudumiwa
Mungu unatisha kama nini 🙌🙌😭😭😭..!!
more than powerfulll....ntafatilia ibada clinic mpaka ikiwezekana Mungu anitumie zaidi yako
It's not live recording, its about true worship now, waoh ibada yenye manukato
To worship you I live
This song is so so powerful.... full of anointing of God. God bless you.
This was So Powerful. Holy Spirit moved Mightily. God Bless You Daktari.
Leo nimejikuta natamani kuusikia tu huu wimbo❤
Nabarikiiiiwa mnoooooo mnooo Yesu azidii kuinua huduma hiii Kila Mtu akabarikiwe
To God be ALL the Glory and Honor!💥💥💥
Glory Yesu Asante
God bless you and your ministry man of God...
Ooohh the Holy Ghost Presence is amazing.. I put this to worship in my house. God bless you MoG
Mungu atukuzwe kwa kipaji na karama ya uimbaji doctor
Mungu azid kukuinua Dr, Mungu ameweka kitu kikubwa ndani yako
Ibada yenye kumpendeza Bwana🙌
Mungu utabaki Kuwa Mungu
Hakuna neno umesema Hutalitekeleza
Nami naomba Baba, Enda Nami katika Maisha Haya
Wow, deep and powerful.
Much love from Nairobi Kenya 🇰🇪
John 4:23-24
But the hour is coming, and is now here, when the true worshipers will worship the Father in spirit and truth, for the Father is seeking such people to worship him. God is spirit, and those who worship him must worship in spirit and truth.”
Hallelujah 🙌 hallelujah hallelujah 🙌🙏 thank you for the powerful ministration 🙌🙏🙌
This song 🙏 your blessed sir
Powerful Powerful
Am here Lord ' Sijawahi weza bila wewe '
powerful🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Mungu azidi kukubariki brother uzidi kumtumikia yeye🙏🙏🙏
VERY POWERFUL 🙌🏻
Mungu akubariki Sana mutumish wa mungu kwa kanzi y'ako
God bless you ,man of God,nabarikiwa na huduma iliyo ndani yako!
Love you GOD for provide men of yours that make us feel you presence on earth . Thank you GOD.
Uwiiiiii
you make cry ,may God blessing your work
😍😭😭😭😭😭😭😭😭😭
This truly is a gift God given to me!
Mungu akubariki saaaaanaaa....
Powerful!
Cjawah weza, ahaaaaa! Jesus!
Asante Yesu...Asante roho mtakatifu....
Amen
Dr ipyana you are ze man of God
Mungu akutunze dr
Sina neno hakika YESU yupo hai
I need you Jesus 🙏
Dr Ipyana Nakupenda ❤
Nashangazwa na pendo lako..🙌🙌🙌
God is real..🙌🏿
Iko nguvu ndani ya Yesu
Hallelujah
Sifa Utukufu na heshima nivyako Bwana . hallelujah
Dr. Ipyana nothing to say, be blessed!
Poweful ......be blessed brother
Glory to GOD🙌🙌
Ameen
Glory to God.
Anointed
Hallleluyah
Glory to GOD..
Who else Goes into a deeper realm after listening to these songs? Spirit filled
Im totally in..
Yes this js really the day that GOD him self pours his SPIRIT to his son and daughters
Downloaldes
Mambo