MUNGU ANAWEKA UBIA KATI YAKE NA MWANADAMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2024
  • #GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo)
    Follow our Social Media:
    FB: / mzeewaupakotzz
    IG: / mzeewaupako_tz
    TIKTOK: / mzee__wa__upako
    Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
    Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
    Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za UA-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @kuryatvfilm1161
    @kuryatvfilm1161 7 днів тому

    Pete ya nn Hiyo mzee

    • @mtumeananiasjohachim8760
      @mtumeananiasjohachim8760 21 годину тому

      We mbona umekuwa mjinga Sana siku hizi? Haupo kama zamani kabisa, kwahyo wewe hapo umeona Pete tu? Aliyozungumza hukusikia?