Mikate Ya Chila|||Vibibi.. Rice Pancakes||Jinsi ya kupika Chila//Vibibi vya Mchele Vitamu Sana
Вставка
- Опубліковано 6 гру 2024
- Ingredients
2 cups rice soaked overnight
2 cups heavy coconut milk
2 tbsp yeast
½ cup sugar
method as on the video
Mahitaji
mchele vikombe viwili uliyoroekwa
Tui la Nazi vikombe viwili
hamira Vijiko viwili vya Kula
sukari nusu kikombe
Assalam alykum, Habari? Don't forget to give this video a thumbs up👍👍👍👍 Saum maqbul to my all Muslims brothers and sisters ❤️❤️
Mashaa Allah zimetokea Ajab sana
Shukran my love 🥰
MashaAllah zimetokea nzuri sana. Nazi gani uliyotumia.. thanks 😍🌷
Nimekuna Nazi kawaida Tu
Mashaalah Nashukuru kwa darsa lako👍
Afwan my love..stay tuned kesho kuna donasi tamu Sana😋
mashaallah chila pambeee
Wa'alakum Salaam Wa Rahmatullah Wa Barakatuh
Ni Vitamu Tu Vinaonekana Hata Kwa Macho
****The Gifted Hands****
Shukran love 🥰
Mashaa Allah
Shukran jazzakallahu kheir
Look so nice
Wow!je nikiwa na unga wa mchele waweza pika nao
Mashallah mashallah Chile nzuri sana umetuweza ad raha🤣🤣🤣
Asante my wangu 🥰
Yummy and tasty recipe 😋
Stay connected 👍
Thanks 👍
Jmn Kwan lzm mchele ulale kwa maji massa 12
Kama mchele vikombe 3 sukari iwe vp sukari na hamira
Hy sis nice umetumia mchele aina gani au wowote
Nimetumia unaoitwa Fatma
Sijawahi usikia uko wapi mpishi
Yummy
Thank you ☺️
Naj sjui nipae nije 😋
Asante dear., karibu ❤️
Asalam aleykum waeza tumia baking powder badala ya hamira?
Walykum salam, hapana my mpaka hamira
Nice Ma Shaa Allah lakini hamira pakti 1 huwa ni 1tbsp not 2tbsp
Ok thanks
Kwaio hamira tueke vijiko viwili au kimoja
Kijiko kimoja