SHK.OTHMAN UBAYA HUU UMEVUKA MIPAKA YA DINI VIPI WAISLAMU TUNAMFUATA MTUME ﷺ BILA KUINGIZA BIDAA
Вставка
- Опубліковано 9 вер 2024
- #riyadhTvZnz #zanzibar
Follow Us On:
INSTAGRAM: / riyadhtvznz
FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
UA-cam: www.youtube.co...
Masha Allah shukrani jazzillah
Mashallah shekh wetu
Maa shaa llah tabarakah llah
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
Mashaalla shekhee M/Mungu akujaalie KHERI na baraka Uzima Afya Njema Tufundishe Watu wa Bidaa waelewe
Allah allah allah
❤❤❤❤
وخير الهدي هدي رسول الله صلى الله عليه وسلم
Kaka nakupenda sana kwa ajili ya ALLLH.
Good speech...wafundishe Hawa watu WA Leo wanaopinga kumsherehekea Mtume SA..wassalam
Kweli waonekana unavyompenda mtume,kidevu cheupeeeeee ,hongera Kwa kuboronga
maulidi ni uzushi super
Ndugu Yangu usiende kibendera kibendera Sikiliza Elimi ya juu hiyo Alihmdulillahi Rabilialamin
Niuzushi kama ILIVYO mashindano ya Quran
Elimu ya hapa mtume amesema fungeni siku nilio zaliwa sio dufu
A.alykum
SALLUU'ALYHI'WASALLIM'TASLIIMAAAA.😢😢😢
Nataka kujua kma shekh yup zanzibar nijue ratiba yke inshallah
Yupo Dar Msikiti wa Kwa Mtoro
Nimekusikiza kwa makini sana mwisho nimefahamu lengo lako.
Uislamu hauongizwi na . maneno ya watu, uislamu unaongozwa kkwa Qur'an na Mwenendo wa Mtume (hadithi) Maulidi haimo ndani ya QUR'AN wala hadithi (mwenendo wa Mtume)
Mashindano ya kusoma qur'an na kupeana zawadi kwamshindi imeandikwa ktk Qur'an ipo aya kamili na dalili kwa suna zake Mtume
Kwani ww nani unaeyaingilia mambo yasiyokuhusu,mwache shekh aseme
@@shamepandu8422
H ata kama si kwelli tunyamaze? Uislamu ni wakila MTU ameushika Mwenyezi Mungu na mwenye kuutaka. Anyway utakuja nijuwa tu muda ukifika. Wala usiww na shaka.
@@user-xo9rb7wj7s😂😂😂😂😂saf sana
Hata akisema uwongo tukubali tu?? Je mtume alisheza dufu na kuchezesha matako kama watu wanavyofanya sasa hivi kama rusha roho@@shamepandu8422
SEMA SEMA BABA Hawa wana ona fahari kusherehekea Vikojozi wao klk Mtume kweli Akili ni nywle kila mtu anazake
Acheni kuongoza dini kwa maneno yawatu tunataka korani na khadithi acheni kutuchanganya
Viongozi wanatukuzwa,wanaimbiwa,wanasifiwa,mbona asiwe Mola wetu na Mitume wetu.
Waeleze hao walio soma juu juju katika madawat na viti vya kuzunguka ambao hawajielewi
Ujue ukiona kitu unatumia nguvu saaana katika kufahamisha jambo liangalie hilo jambo litakua nilakutungatunga hivi jambo la haki limenyooka hata isinge kua na haja ya kusimamwa na mishipa ya shingo, wambie watu ukweli unapambania mauli kwajili ya masilahi yenu binafsi bana.
Je ALLAH Mwenywe Kauli yake Na Mtumie Asemaje Kabla huja fika Kwa huyo Imamu wako
Unataka kasemaje kabla yahuyo imamu ha nakupa sasa innallwaha wamalaaikatih swalluuna alannabiy yaa ayyuhalladhiina aamanuuu swalluu alayhi wasallimuu tasliimaaa kama una fani utajua maanizake
Ni ya leo hee au
Mtondogoooo,,
Salluuu'alyhi'wasallim'tasliiimaa.🎉🎉🎉
Aslm alykm ww tumpende mtume sioni shida ya maulidi mbona hili jambo igawe waislamu
Wewe shekh mtume hajacheza dufu hata siku moja hizo ni mila za kinaswala kanisani huko umeacha swala za suna unacheza dufu vipi wewe dumisha suna za mtume kwanza
Ongea KIELIM soounaropoka tu
Kinaswala ndio kina nani? Au ulikua na maana ya Kinaswara (Manaswara)
Maulidi ni uzushi hata mkiyapamba vip 😂😂😂😂😂
❤❤❤❤