#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 10 годин тому +3

    Mimi sija ukubali mpira Azam na refa wote ni shabiki wa Simba

  • @AbdulIsrah
    @AbdulIsrah 10 годин тому +2

    Huwezi kuwa mchbuzi mzuri na utabakia kuwa mchambuzi wa vichochoroni kwasabb si mkweli uchambuzi wako una unazi flani hv.Na husemi uhalisia na unaonekana unaumia timj yako ikifungwa hata ikiwa wamezidiwa unafichaficha.
    Watu wanaujua mpira na wanatazama mpira wanachotaka kusikia ni uahalisia wa matukio waliyoyaona si kutoa maoni yako na kuwa kocha wa nje na kusifia uozo.
    Wenye akili washakuelewa kuwa Friji novu pia ni kichwa kibovu

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 11 годин тому +2

    Fei mnamshangaa nini kwa sababu kila siku yupo na viongozi wa simba.

  • @HawaUtegele
    @HawaUtegele 10 годин тому +2

    Unaumia ukiwa wap iiii ndo maan y ubay ubwelaaa

  • @VascoKasambala
    @VascoKasambala 11 годин тому +2

    ATEBA NI SAYARI NYINGINE AFRIKA

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 10 годин тому +1

    Asante sana Mungu kwa haya matokeo. MUNGU IBARIKI SIMBA

  • @VascoKasambala
    @VascoKasambala 11 годин тому +2

    AZAM ATASHIKA NAFASI YA 7

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 10 годин тому +1

    Uchambuzi lWewe friji bovu huna uchambuzi Fei toto hajacheza kitu mechi bado mbichi

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 9 годин тому +1

    wew yupo wakumfananisha na Ateba wew unamuonaj mzee magoma sraika hatari sana

  • @EmanuelSichalwe
    @EmanuelSichalwe 10 годин тому +1

    Fei nilidhani ni beki maana mda wote unamuona yupo nyuma na akina lusajo

  • @HUSSEINRAMA-pp8ez
    @HUSSEINRAMA-pp8ez 11 годин тому +1

    Diddy ,nenda nawewe kwenye part mafuta mwamposa

  • @chotark1881
    @chotark1881 10 годин тому +1

    Yanga mtapata taabu saaaaaaaanaaaaaaa huuuuu mwakaaaaaaa

  • @malietamaliet
    @malietamaliet Годину тому

    Sa Pdidy anaingiaje kwenye uchambuzi?? hivi hamtaki boka asemww kua ni Bora kuliko zimbwe ila Camara ni Bora kuliko diarra??😂😂🙄🙌

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 8 годин тому

    Yanga ikishinda goli mbili yanga mbovu simba ikitowa droo sinba inasigiwa simba ikishinda goli mbili simba itauchukuwa ubingwa Kwa yanga eeeeh inaonekana ndugu zangu mnachambuwa kiutimu utimu mi naona mnabaguwa timu hapo mbona Leo simba imeshinda sawa ila awakuwa ktk ubora wowote pia mechi inaonekana inamaelekexo Fulani Ilo amuongei

  • @marmotteignace7773
    @marmotteignace7773 4 години тому

    Uyu naye eti ni mchambuzi ; mchambuzi ni mmoja tu TZ Mbwatuke awa wote ni mashabiki tu

  • @deusjoseph8554
    @deusjoseph8554 4 години тому

    Tunza maneno tarwhe 19 tutakupigia na upokee-azam kala 4 na sis tena finali unatufananisha na uchafu

  • @GodwiniFwelo
    @GodwiniFwelo 2 години тому

    Ndio maana hupati redio kubwa unaishia sibuka fm maana sijawahi ona mnafiki kam ww

  • @GodwiniFwelo
    @GodwiniFwelo 2 години тому

    Mpumbavu we we unatugombanisha

  • @agustinombilinyi
    @agustinombilinyi 9 годин тому

    Hauna unacho kijua fala wewe

  • @NjamasiLupaa
    @NjamasiLupaa 3 хвилини тому

    Ubaya ubwela