Mbona wapo zaidi ya watatu kuna huyo mzee kuna risu kuna mzee warioba kuna John heche ni wengi sana wenye mtazamo wa kufanana tatizo lililopo hawako kwenye mfumo hawana mamlaka ya kufanya chochote
Wanataaluma wetu wanapopata teuzi za kusimamia jambo lenye maslahi mapana kwa Taifa, wao hugeuka na kusimamia maslahi ya wanasiasa jambo ambalo hukatisha tamaa wananchi, kwani wakati wa rasimu ya katiba Jaji Warioba walikuwepo maprofesa na madaktari lakini walipopewa nyadifa walitupa taaluma Yao jalalani.
Sisi ni maskini Tena walemavu wa akili. Katiba yetu inamfanya Rais aongoze kwa kutumika busara yake, kitu ambacho ni Hatari kupindukia. Lakini pia wale wanaotambua eti hawawezi kuacha vyeo vyao kwa kuitetea nchi wao wanatetea ajira zao ulemavu mwingine. Nimeioenda hiyo hotuba isiyo na unafiki.
Wewe mzee ulimbwende husemagi Yale tu yaliyopo mezani lkn huachi kuchimbua makaburi na kuwakanyaga ksnyaga watu ambao hawapo na walifanya mszuri tu kwa wakati wao. Wewe ni waho vyo na hunaga la maana usemalo sijui kwanini Mungu huwa hakuoni. Una maneno ya. shobo shobo tu loooo.
miaka yote huko nyuma mlikua wapi au mlikua hamnazo pia, mlikua mnaenjoy tu kwasababu mlikua na nafasi , leo ndio mnaona kuna emperial president wakati huo hakua emperial, ila sasa kwasababu hamana nafasi tena basi rais ni emperial, mnachekesha sana wazee wa zamani. hiyo ni useless bana, tafuteni ya kazi ingine ya kufanya wacheni presidebt achape kazi yake ya kuwatumikia watanzani kwa uhuru na kwa nafasi🐒
Sijui kama alitegemea hilo, lakini kawapa Wapinzani petroli ya kuwasha moto wao. Ile ilikuwa ni ajali ajali ajali. Sasa inataka itumike kisiasa. Rais ni Rais duniani kote, hawezi kuwa Rais butu la sivyo kina bin Laden wangekuwa hai.
Big up sana Mzee wetu Wew ndo mfano wa hazina ya Taifa
Stay blessed Mzee Jenerali Ulimwengu.
One of my favourite Mzee! Iam always vwry keen to listen whenever he is making a speech. Hakika lazima uvune kitu toka kwake🙏
General ulimwengu you are so blessed. Always you speak the truth. Wewe ni zaidi ya maprofessor.
The only one jeneraly ❤ mzee anayejielewa
Tungepata kama hawa kila mkoa mmoja tu tungeenda mbali...sio wakina Kabudi
SAFI SANA MUNGU AWALINDE...
KUNA UMUHIMU WA KATIBA MPYA
Big up Mzee General Ulimwenguni 🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu mzee na muombea umri mrefu sana na afya njema… wachache sana kwenye nchi yetu
Mzee Ulimwengu, mkandala na Lwekaza na wazee wanajitambua, nawapa big up sana.
baada ya kua hawana ajira wameanza kunusa harufu ya vikwapa vyao juani ndio wanaanza kujitambua sio, na kwamba AC ni za muda tu🐒
I respect mzee
Safi sana Mzee ulimwengu yamo humohumo ndani mojawapo ni kabudi
Asante Mh Ulimwengu.
Stand up with justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Quran 4:135)
Huyu Mzee general ulimwengu nampenda sana
Ukweli hukaa mahala pake, Power of God live in Jesus name
Mzee warioba na mzee ulimwengu inshaallah nitapiga nao picha
Wangekuwepo watatu kama Hawa Mambo yangekuwa mazuri sana
Mbona wapo zaidi ya watatu kuna huyo mzee kuna risu kuna mzee warioba kuna John heche ni wengi sana wenye mtazamo wa kufanana tatizo lililopo hawako kwenye mfumo hawana mamlaka ya kufanya chochote
Respect !
Uyu mzee hana hakili
Kweli kabisa mzee wetu mwenye hekima, busara tele. Wamo humohumo tena wamekukodolea mimacho kisha wanajifanya hamnazo.
Nafarijika sana watu wote tunataka katiba mpy
Sasa kama Hawa wazee wameamka kudai katiba ninyi mnaosema katiba haita leta ugari. Mumesubili nini?
Ndio hamanazo hao kaka
Wanataaluma wetu wanapopata teuzi za kusimamia jambo lenye maslahi mapana kwa Taifa, wao hugeuka na kusimamia maslahi ya wanasiasa jambo ambalo hukatisha tamaa wananchi, kwani wakati wa rasimu ya katiba Jaji Warioba walikuwepo maprofesa na madaktari lakini walipopewa nyadifa walitupa taaluma Yao jalalani.
Sisi ni maskini Tena walemavu wa akili. Katiba yetu inamfanya Rais aongoze kwa kutumika busara yake, kitu ambacho ni Hatari kupindukia. Lakini pia wale wanaotambua eti hawawezi kuacha vyeo vyao kwa kuitetea nchi wao wanatetea ajira zao ulemavu mwingine. Nimeioenda hiyo hotuba isiyo na unafiki.
Umakini wa Generali Ulimwengu! Hongera sana!
Moja wapo ya kitu cha kujivunia tanzania ni uwepo wa generali Ulimwengu
Wapatikane watu kama ata 20 kama uyu Mzee wangu ulimwengu naamin kabisa tungepata katiba mpya
Wewe ni wangapi kati ya ha ishirini unaopendekeza? Au nafasi yako ni kuwaorodhesha?
Na kweli mawazili wanaotokana na ccm ni magarasa kabisa 😂😂😂
Machumu bakari (gazeti wananchi) binafsi husomeki mara nyingi.
Nimerudi a kusikiliza mara kadha maelezo ya mandar prof na generalist ulimwengu hata usingizi nitapata maana ya matumaini hayana njia za mkato
Wasukuma wanasema 'NDUHU TAABU'
Ninataka katibu ya Tanganyika na tuchague Raisi wa Tanganyika. Zanzibar walikwisha jiondoa kwenye Muungano.
Huwez kupata katiba mpya kwa maneno ....hapo mpaka kiwake kwanza ndo ccm watoe katiba
😂
Tunaaaomba tanganyika yetu iwe na mamlakq yake then muungano
Ni kweri magarasa
Wazee wanaongea vizuri Sana,,lakina watawala hawasikii, hawataki katiba
wajerumani walijifunza mengi sana kupitia Madhara ya Adolf Hitler, sisi atutaki kuiifunza kwene kila kitu tunazalisha vijana wa kushangaa
General Ulimwengu katoboa jipu,katiba mpya ni sasa.
Wewe mzee ulimbwende husemagi Yale tu yaliyopo mezani lkn huachi kuchimbua makaburi na kuwakanyaga ksnyaga watu ambao hawapo na walifanya mszuri tu kwa wakati wao. Wewe ni waho vyo na hunaga la maana usemalo sijui kwanini Mungu huwa hakuoni. Una maneno ya. shobo shobo tu loooo.
Akili kubwa hii before comment pima uwezo wako mwenyewe wa akili
miaka yote huko nyuma mlikua wapi au mlikua hamnazo pia, mlikua mnaenjoy tu kwasababu mlikua na nafasi , leo ndio mnaona kuna emperial president wakati huo hakua emperial, ila sasa kwasababu hamana nafasi tena basi rais ni emperial, mnachekesha sana wazee wa zamani. hiyo ni useless bana, tafuteni ya kazi ingine ya kufanya wacheni presidebt achape kazi yake ya kuwatumikia watanzani kwa uhuru na kwa nafasi🐒
Una mtindio wa ubongo.
Ww ni hamnazo zero brain
Wewe Haumjui Generali ulimwengu Kabisaaa
@@masijamajogoro7231 ubongo wake na wako ni useless, bure kabisa atawaaminisha waviu tu kama wewe 🐒
@@MrLusekelo sina haja kumjua mtu useless kama huyu muzee🐒