Tatizo ni kwamba kila kundi likifikia hatua nzuri za kufanya vizuri mna sambaratika ,,Chumvi nyingi bila Chendu Bila mkuza Bila nyau sawa ipo ila kuna mautam flani hayawezekani bila wao haswaaa ,nawao walipo kivyao bila Chumvi nyingi noma Japo wana jitahidi ila haiwezekani ❤❤❤love From Buja Bujumbura Burundi
Mm sasaiv cwez kuangalia tena move nyingine nishazizoea za chumvi nyingi.yani nikiangalia move nyingine naboreka sana.hapana chezea chumvi,na hakuna km chumvi na chumvi nyingi ni mmoja tu akitokea mwingine photocop.maua🎉 yako kijana❤❤❤😅kazi zako nazikubali sana
Kaka chumvi unajua mpka unajua tena mungu Akueke maisha malefu sna
Chumv ee mimi wa mwanza lakin ile nyimbo yako nadoboka ukae naipenda sana
❤❤❤
Chumvinyingi gang back to back kipaji hakirogeki km unmkubl Chumvinyingi wek like tjuane
Unyama ni mwing sanaaaaaa
Hongera chumvi kutuwekeya warembo kqma wote
Duu Luna bhana eti vumbatila duu naomba like zang jaman
We acha kuongea hvyo ongea hvyoooo, unatuzingua tuzinguaaaa
Pashambe leo ndio namuona anakimbia nimecheka sna😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Wangekuvumbatela vumba nani atakuja akuvumbule😂😂
Nmewahi leo naombeni like hata tano twende nalo wana chumvi nying gang
Powa kabisa🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍👍
Hongera sna kazi safi🎉🎉
Chumvi mwanetu zungu mbn umemtupa sana fanya aludi
Mambo ni moto kwa Cumvinyingi kama unamukubali kama mimi weka laike tujuwane❤
Unyama nimwing xanaaaaa
Move nzur
Nilikuwa naisubili sana hatimae imetoka
Chumvinyingi gang mko fresh San
Chumvinyingi gang back to back kipaji hakirogeki km unamkubal mwmb gonga like tujuwan
Namkubali sana masalia kweny engo hii yupo vzr
Asant sana
Ukwel toka moyoni naipend sana kazi ya Sanaa
Pashambe amenifulaish San Leo wakukimbia
Saana chumvi nyingi aujawai feli unatupa kitu kwa kitu big up sana
Asant sana
Duuuh ep yakufata itakuwa🎉🎉🎉🎉🎉
Jaman nimechelew tunaoikubali black lion 🦁 weka like zako hapa🎉🎉🎉🎉
Leo wa kwanz jamn
Kazi nzuri kaka chumvi hongera mauwa yko Hy 💐🌹🥀🥰🥰🌺♥️❤️💝
Asant sana
Kazi nzuri ❤❤❤
Tz one chumvinying Gang
Mjuba ruba king'ang'a churaaaaaaaaaa nawakubali sana🎉🎉🎉
Good good kaka
Kwa mbili mbili kwa mbili mbili tunaenda na moja kichwan
Me nakupa maua yako tu chumvi maan unafanya mabando yetu yako hai hai mala uku mala kule House of trouble 🙌❤️🔥🎉🎉🎉🎉
Asant sana
Wa kwanza toka moro town gairo team chumvi gang
Karibu bos
Kazi nzuri Niko nanyi nawafuatilia team chumvinyingi, I say mko vzuri big up sana kwa movie zenu'.
Asant boss
Chumvinyingi Wewe ni Most Talented Aisee Uko Vzuri bro sana Muumba Azidi Kukubariki Kazi za mikono Yako
Wa kwanza nipe like
👏👏👏👏 kaz nzurii
Chumvi ushauri wangu ni uongeze kiuzima na ubunifu 🎉🎉
Sawa boss
Eeeeeh mjooooooomba
Fundi chumvi umetisha sana
Asant sana
Uyu afande wa mission impossible yupo uku😂
Chumvinyingi umetisha
hii naomba nijibiwe na manager mwenyewe plz...hivi manyanya aliendaga wapi tunamiss mambo yake huku😢
Tatizo ni kwamba kila kundi likifikia hatua nzuri za kufanya vizuri mna sambaratika ,,Chumvi nyingi bila Chendu Bila mkuza Bila nyau sawa ipo ila kuna mautam flani hayawezekani bila wao haswaaa ,nawao walipo kivyao bila Chumvi nyingi noma Japo wana jitahidi ila haiwezekani ❤❤❤love From Buja Bujumbura Burundi
Kikubwa nikufatilia kaz
@chumvinyingigang Pamoja sana
Luna ananisumbua sumbua😂😂😂😂😂😂😂
Chumvi anajua anajua mimi nimemuelewa elewa
Asant boss
Kazi nzuri
Leo mm ndio wakwanza sitaki like nataka 2wasapoti hawa wasanii wetu❤🎉
Saf
Unaakili nyingi kaka
Kazi nzur jmn nampongeza huyu alieamua kutujibu coment za mashabik wake nawapenda Mungu abariki kazi za mikono yenu❤❤❤❤,kumbe pashambe mchumba2😂😂😂
Duh mchumba tena
@chumvinyingigang ila usimwambie pashambe namuogopa ivyooo
Chumvinyingi vip@@chumvinyingigang
Chumvinyingi ume tisha bado nakufatilia sana
Asant sana
Afande yup
Chumvinyingi gang back to back kipaj hakirogeki km unamkubal Chumvinyingi wek like
Mm wa kwanza 🎉
Mungu akulinde kak utusaidie na wengine🙏🙏🙏
Amin
🎉🎉🎉❤❤❤kwaote
Chumvi nyingi gang Kila siku munauza ufuta na kulima mbona hatuuoni huo ufuta 😂😂😂
Kwamala nyingine tenaaa
Bro chapa kazi na mungu akuongoze na pa1 na team yako
Amin
Huyu bazuka aendelee kutafuta staili nzuli ya kuigiza maani hii ya chuga na ile ya kimasai hazimpendezi
Alaf akiigiiza kawaida atapendeza sana hajajua tu
Ukimuona kiraka mwambie nimemsalimia😂😂😂
Kaka chumvi unakiwasha siku nikikuona live nakuzawadia gari yenye imeandkwa chumv nying hapaaa
Asant sana
Mambo ni Liv kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉🎉
Shukran sana
Kp vip chumvinyingi vip
nimekuha wa 23 leo❤❤❤❤
Kaliiiii
Weka tuweke gang la magang @chumvinyingi
Kazi nzuli
Kwa mala ya kwanza namuona pashambe anakimbia
Kaz nzur
Wa kwanza leo ni watakie siku njema
Pashambe leo umetoroka😂😂😂😂
Ahaaahaaa mtoto mdogo tu
We chumvi
huyo bazuka Muda Umefika sasa Atoe Hiyo Bandeji Kwa mBili mbili 👉🏾Kwambili Mbili Unaenda Na Moja Kichwa Kishapona😂😂😂
Kazi nzr
Afu uyu masalia afande kweli nn
Kwaiyo na Mimi Leo nime kuwa wa kumi na 14 NIPENI like zangu
Jamani huyu afande Kwan ndoto yake ya utotoni ilkuwa afande😂😂😂maana sinema nyingi afande
Hadi kwa chado
wakwanza kama unamini mungu ni muweza wa yote usipite bila ku like mungu awajalie nyote mlosoma comment hii amen
Amin
Mxwiiiii toeni usenge kis like Mxwiiiiiiiiii
@@TausRaj mbona comment zote ue ndo umetukana aibu uoni
Chumvinying gang kipaj akilogeki
Asant
Kaka chumvi ukuwashaa siku nikikuona nakuzawadia gari yenye imeandkwa chumvi nyiingi hapaaa
Sawa boss
Vipi jamani ao mimi tu ndo nipo naitazama liv?🎉🎉🎉
Ikovizuli migitaidi
Tunae mkubali chumvi like zenu tafathali
Tushtuane jamn tuwah hizo nafac za kwanz
waooo🎉🎉
Ananisumbua sumbua 😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Chuma hiki hapa chumvi nyingi
Asant bos
Diretamente Mozambique parabens ❤
Asant sana karibu
@@chumvinyingigang tupo pamoja kaka we noma sana
Jamani wanaotaka iende hadi 100 weka like hapo
Mbona ep fupi ivo
pambana Dua ndugu
Amin
Leo ni live
We mjomba nae Mdeni hafungwi na saut nayo yakera
Mnoooo Mxwiiiiiiiiii
Sasa awez kubadir saut katikat ya mchezo
Nakubali
Ni nzuri sana lakini mbona nifupi.
Mabuti
Naomben like za afande kila movie anaonekan
Ila afande kwa chumvi yupo kwa chado yupo na kwa kelvin yupo big up kwake
Mm sasaiv cwez kuangalia tena move nyingine nishazizoea za chumvi nyingi.yani nikiangalia move nyingine naboreka sana.hapana chezea chumvi,na hakuna km chumvi na chumvi nyingi ni mmoja tu akitokea mwingine photocop.maua🎉 yako kijana❤❤❤😅kazi zako nazikubali sana
Plz Tuaomba Ya 12
Saf san pooa chumv
Munta deeee
❤❤❤❤❤❤🙌🙌🙌🙌🙌💃
Kisofa 😂😂😂😂 una m believe him respect kisofa unatuvunja mbavu ww hatari kupenda unapenda kusema haaa
Mvuto umezidi kwa watazamaji