Bongo Man Remix Day 02

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 262

  • @unclej950
    @unclej950 5 днів тому +36

    Mbosso namkubali kwanza ka mshilikisha kijana wetu stive simpol boy big up from 🇰🇪

    • @haronatanasimusic
      @haronatanasimusic День тому

      Eee vile stivo amesukumwa na danser bana 😂😂😂😂😂😂

  • @captain.kid_
    @captain.kid_ 5 днів тому +64

    unajua stivo simple boy na giant n kenya mzima

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 4 дні тому +8

    Mziki mzuri hupendwa , yaani Mbosso wewe ni shiiida
    Huku Zuchu kaachia album , huku Simba kuna goma lake la Holiday, huku Yammi kaachia kitu kikali , huku Harmonize kaachia dude kali la byebye , huku Mbosso na Chino , huku Raivany kaachia albuma kali saana , huku Fere gola na Rayvany , huku founder tz , zote hizo zimetoka ndani ya wiki mbili
    Asante sana wasanii wetu mmetupa likizo bomba sana ,no stress kabisa sikukuu hizi

  • @afrimafrank
    @afrimafrank 5 днів тому +11

    Wow! Congratulations Bradley and Steve. Thanks Mbosso.🙏

  • @ÜNČLËËRÏČK-y1p
    @ÜNČLËËRÏČK-y1p 5 днів тому +27

    Mbosso nomaaaa hi umetisha 🇲🇿👊

    • @baloz8974
      @baloz8974 3 дні тому

      Anatisha outro nivel funga mwaka hiyo .

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 5 днів тому +10

    Wakenya buana😂😂 mmh watz👆👆👆💪ok mimkenya lakin...wee kesho tusisikie stivoo akidharau io rmix kama willmpuzi alivo fanya love u all kenya to tz❤❤❤

  • @timotheovitalis4147
    @timotheovitalis4147 5 днів тому +15

    Aaa Mbosso sio mtu anajua paka anakera big up kwel ngom imeinuka

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi 5 днів тому +9

    Kkkkkie mbosso Khan and Chino kind nawapenda sana 🎉🎉🎉

  • @KevinKharlix
    @KevinKharlix 5 днів тому +126

    Wapi likes za Gen Z Goliath on Top

    • @Gowith_j
      @Gowith_j 5 днів тому +3

      ❤❤❤😂😂😂😂

    • @jamesmichubu4665
      @jamesmichubu4665 5 днів тому +5

      Our Boyz is winning

    • @phenysamba2885
      @phenysamba2885 3 дні тому

      Hakuna hapo mumetusiwa nyinyi wakenya sikizeni mbosso

    • @phenysamba2885
      @phenysamba2885 3 дні тому

      Hakuna collabo we know you tanzanian hakuna kitu hapo

  • @rickyrussel3746
    @rickyrussel3746 5 днів тому +12

    Yaani kila kitu mboso anagusa ni hit🔥🇰🇪

  • @agapemboya6664
    @agapemboya6664 5 днів тому +5

    Mbosso katulia adi raha anacheza vizur katulia yan

  • @funnymustwatchvideos
    @funnymustwatchvideos 5 днів тому +10

    That tall gave me chills 😅😅

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto 5 днів тому +5

    Umeticha Mbosso nimeipeda remix..... makofi kwako 👏👏👏

  • @FlorahNkatha-d9o
    @FlorahNkatha-d9o День тому

    Napenda nyimbo za mbosso kwa vile anainvolve God sana manze big up

  • @fredmokamba8386
    @fredmokamba8386 5 днів тому +51

    kweli wabongo mnatupenda wakenya sisi ndio tunawakosea

    • @SalimMbwana-o9j
      @SalimMbwana-o9j 5 днів тому +5

      Hawatupendi wanatutumia kufika international we are the key

    • @CeciliaOrupto
      @CeciliaOrupto 5 днів тому +1

      we auko sawa

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 5 днів тому

      ​@@SalimMbwana-o9jkey ya matako nioko nyie 🚮

    • @pkcamlesh2465
      @pkcamlesh2465 4 дні тому +1

      ​@@SalimMbwana-o9jwewe inaonekana akili haiko sawa kabisaa unafaa ujinjwe mwezi huu

    • @shedadiabdul654
      @shedadiabdul654 4 дні тому

      ​@@SalimMbwana-o9jtunawatumiaje?Sisi kuwaleta Hawa Ndugu zenu ni kuwaonyesha Namna Watu Wanaishi Hawa Wakenya Walio kwenye Hii Video wamefanya Nn Cha Maana?Huyo Mrefu Naemuonaga Mitandaoni huyu Mwingine Nilikuwa sijui kama Msanii Hata kuongea Hajui Nyinyi Wakenya sema Nn Music ya Tz Mnaielewa Hamna Namna.Chapa Chapa Achana Nazo Sikiliza Miziki Mizuri🙅🇹🇿💯

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 5 днів тому +5

    😂hatry umeuwa❤🔥🔥🔥🔥

  • @Mr.Jimmy-l9v
    @Mr.Jimmy-l9v 5 днів тому +5

    Sijachelewa liki za mbosso funda hapa kudadadeki😮

  • @Winleizerabdy
    @Winleizerabdy 5 днів тому +8

    Na leo mbosso mbona hajani inform kamaa amerusha kitu😂😂😂 anyways tunakupenda sisi kama wakenya😊❤❤alaf kingine tunawapea stivo tuchukue mbosso khan😂

  • @ojb-star
    @ojb-star 5 днів тому +21

    😂😂😂wangapi wameona stivo simple boy akisukumwa atoke😂 leta like kama umeona😂 bt dar ninoma ila mbona kuwarudisha Goliath na stivo nyuma.

  • @Hermand62HMD
    @Hermand62HMD 5 днів тому +11

    Kama tuko wa kongomani 🇨🇩 much love ❤️❤️❤️❤️ from drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @dennoh1028
    @dennoh1028 5 днів тому +13

    Gen z Goliath na simple boy😂❤

  • @VanlynishDracula-b7k
    @VanlynishDracula-b7k 5 днів тому +7

    Kaka ww noma❤❤❤😮

  • @oluochodhiambo1742
    @oluochodhiambo1742 4 дні тому +2

    Nikama mbosso just realized the best approaches to the kenya market, just work with the most vulnerrable . Our own.

  • @Learnmorey7f
    @Learnmorey7f 5 днів тому +4

    Wasafi on 🔥🔥

  • @hassanabdallah6266
    @hassanabdallah6266 3 дні тому +1

    Mbosso nmkenya 😂😂😂😂😂😂 much love ❤ 😍

  • @NeemaMacheni
    @NeemaMacheni 5 днів тому +3

    Ila wamefanya nacheka 😂😂😂😂😂😂 sitivo anafanyeje huku na goliath😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @DenisDonat-lg4gh
    @DenisDonat-lg4gh 5 днів тому +2

    Mboso ni mbakaji wa nyimbo za watu

  • @ramgofficial1241
    @ramgofficial1241 5 днів тому +5

    I want to see stevo simple boy ft mboso itakuwa Kali bro🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Hyline-g6u
    @Hyline-g6u 4 дні тому +2

    😂😂😂😂this is amazing ,just watching from Kenya 🇰🇪 I can see Goliath and Stivo simple boy😅😅❤❤

  • @siamejerry9239
    @siamejerry9239 5 днів тому +5

    Mbosso u are 🔥

  • @MajimbiTz
    @MajimbiTz 5 днів тому +5

    WA KWANZA LEO ❤❤❤❤❤❤❤

  • @iddshaban6954
    @iddshaban6954 5 днів тому +5

    🙌🏼🙌🏼🙌🏼mbosso

  • @DavidProsper-e6w
    @DavidProsper-e6w 5 днів тому +4

    Sele kama sele🔥🔥🔥🙌

  • @leisureboykenya200
    @leisureboykenya200 5 днів тому +6

    nilikuwa nimengoja sana dance ya stivo na giant
    kwanza nicheke kidogo

  • @Ezdan_tz
    @Ezdan_tz 5 днів тому +4

    Mbossoooooooooo, skia verse

  • @Joelkibawa
    @Joelkibawa 5 днів тому +4

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mbosso baba lao

  • @amadimagadi7978
    @amadimagadi7978 5 днів тому +1

    Mbona mmefukuza stivo😂😂😂

  • @MassoudMtumba
    @MassoudMtumba 5 днів тому +2

    Mbosso mbona hii nyimbo ni kama inamuhusu sana mchezaji wa Yanga .........

  • @khamisjay488
    @khamisjay488 5 днів тому +3

    Stivo amesukumwa akarudi nyuma polepole hadi akapotea😂

  • @FelixGideon-n9d
    @FelixGideon-n9d 4 дні тому +1

    Nimeona guda guda😂😂kenya 🇰🇪

  • @sabatoager
    @sabatoager 5 днів тому +3

    mwenye nyimbo kafunikwa

  • @LundulaJohn
    @LundulaJohn 2 дні тому

    Acheni Wiv watanzania ndivyo mulivyo anavyo zungumza diamond yupo sahii kabisa mubwa wengne humu wanaanza kumukosoa washenzi kweli!!

  • @RonnyCruze
    @RonnyCruze 5 днів тому +5

    Pia simple ako ndaani😅

  • @donempirestudios
    @donempirestudios 5 днів тому +3

    wanafukuza stivo Kwa video....... baana kwani walikua wanatumiwa ama😅😅😅😅si poa baana

    • @Winnymoreno-w9d
      @Winnymoreno-w9d 3 дні тому

      I saw that too was wondering haonekani kurudi nyuma nikaona how kanafukumwa kutoka kwa vedio na kubaki kujihurumia kulee

  • @Tg_tiger-i4j
    @Tg_tiger-i4j 5 днів тому +3

    Ila mbosso duuh😊

  • @Nasi.B-g7u
    @Nasi.B-g7u 5 годин тому

    Much love from Kenya wapi like za Chino my legend ❤❤

  • @grizu10
    @grizu10 5 днів тому +2

    Kirungi 🔥

  • @Robert-l1c3i
    @Robert-l1c3i 4 дні тому

    Aaah 😂mbosso huna bayaa🙌

  • @elsiekendi1792
    @elsiekendi1792 5 днів тому +1

    Stevoh simple boy❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @emmanuelmaziku2018
    @emmanuelmaziku2018 5 днів тому +3

    hapa bongo nani wa kumkalisha mbosso sahv kwa vers akuna

  • @Dr_Elvis
    @Dr_Elvis 5 днів тому +1

    African Dragon 😂😂

  • @Ramyfalz09
    @Ramyfalz09 3 дні тому

    Bro mbosso huu mwaka umeumaliza ukiwa wa moto

  • @ubunifulifestyle3492
    @ubunifulifestyle3492 5 днів тому +5

    Mboso kashindikana

  • @rajabumaungarajjybreezy7703
    @rajabumaungarajjybreezy7703 5 днів тому +3

    Wa kwanza leo

  • @joshuarhodzz6217
    @joshuarhodzz6217 4 дні тому

    This is the hit song time ya Krissi🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KinyuaJohnke
    @KinyuaJohnke 5 днів тому +2

    ni stevo mnatoa kwa scene ivyo😂

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 5 днів тому +5

    Tanzanian can unite East Africa and African music artists

  • @PrinceMasta254
    @PrinceMasta254 2 дні тому

    Unyama sana wanangu wa kenya👊👊👊

  • @paulkay.254.7
    @paulkay.254.7 4 дні тому +1

    Msijifanye hamjaona stivo akiondolewa hapo mbio😂😂

  • @abuuclassic-i3z
    @abuuclassic-i3z 4 дні тому

    Aise u guys. Mumeua kinoma 🎉🎉 💯💯

  • @theprojectofficial7325
    @theprojectofficial7325 3 дні тому

    Certified banger! 🔥🔥🔥

  • @Billyflavour
    @Billyflavour 5 днів тому +1

    bwana kilungi kashaa shindikana i say sasa ipo tu kolabo moja nagoja iwe ya Mr.bomboclaaaat na bwana kilungi🔥itaua sanaa

  • @hamiduhassani372
    @hamiduhassani372 4 дні тому

    Chino umefunikwa hapa 😂😂😂

  • @pascalmusana2137
    @pascalmusana2137 4 дні тому

    Best songs 🎉🎉🎉🎉🎉wanaman ft mboso 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @phenysamba2885
    @phenysamba2885 3 дні тому +1

    Hakuna kitu hapa mbosso amewaimba wakenya we know you @mbosso

  • @georgecooper02
    @georgecooper02 День тому

    🔥🔥🚒 bongo flava

  • @bengiver-n8s
    @bengiver-n8s 5 днів тому +2

    Killlli pa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 5 днів тому +1

    Mpaka Goliath kwabongo man

  • @abdiladifahmed1039
    @abdiladifahmed1039 17 годин тому

    This is going to be viral in the next coming months

  • @dadykartel4825
    @dadykartel4825 2 дні тому

    hata kama napenda willy over diamond but hii ngoma nayo ni kali🔥💯💯

  • @samsonwakay7566
    @samsonwakay7566 5 днів тому +1

    Strategy ya diamond kuturudisha wakenya form😂😂😂

  • @jayclassic_ke
    @jayclassic_ke 5 днів тому +1

    The tall dude 😂😂😂

  • @pcmofficialtz
    @pcmofficialtz 5 днів тому +2

    Nani kaona yule mkenya akifukuzwa kwenye dande 😂😂😂😂😂

  • @jamesmia839
    @jamesmia839 5 днів тому +1

    Komaa ww😂😂

  • @Winnymoreno-w9d
    @Winnymoreno-w9d 3 дні тому

    Mbosso ma guy always on top

  • @mrgamers1046
    @mrgamers1046 5 днів тому +4

    Dah😂😂😂

  • @Its_konjaboyTz
    @Its_konjaboyTz 5 днів тому +3

    Kaka mbosso Khan mambo Yako ni moto sasa tupe Siri ya mafanikio basi au tukija dar es salaam ndo mafanikio yenyewe maana Kila nikiachia song haipandi kaka

  • @FidelcastroFidelcastro
    @FidelcastroFidelcastro 5 днів тому +2

    Mbosso ❤

  • @OkinawaMchizi
    @OkinawaMchizi 5 днів тому +1

    Mchizi kichizi am on it 🎉

  • @MsaphiToliver
    @MsaphiToliver 5 днів тому +2

    BONGO hakuna Kam mbosso ukiachana na kizaz cha kina Kiba na simbaaaa

  • @Muno_guy
    @Muno_guy 5 днів тому +3

    Big Kepa

  • @MwinyiMwinyiabdallahrashid
    @MwinyiMwinyiabdallahrashid 5 днів тому +1

    Mbona simply boy amekimbia au ajui ku dance yeye nauyo mtu mrefu

  • @Spicy248
    @Spicy248 4 дні тому

    Awesome, Nipitieni pia leo

  • @wajanjaforever4822
    @wajanjaforever4822 5 днів тому +1

    Nguo aliovaa Mboso Ina rangi za upinde

  • @AROMAA-KING_KENYA
    @AROMAA-KING_KENYA 5 днів тому +2

    Likes za African dragon# stevo simple boy

  • @drk_tripple
    @drk_tripple 4 дні тому

    This song is just a vibe man🔥❤💯🇰🇪

  • @masouddadon6519
    @masouddadon6519 5 днів тому +7

    I say kungekua na mashindano ya dance east African ingekua poa sana

  • @samwelshitungulu7694
    @samwelshitungulu7694 3 дні тому +1

    Kama unajua Steve simpleboy katoroka kuchinjwa kwenye krismas weka likes hapa😂

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 5 днів тому +1

    Hii ngoma bila mond ni kwaya😂

  • @RwandaTec
    @RwandaTec День тому

    Mbosso, my biggest artist

  • @ZainabuIddi-s4n
    @ZainabuIddi-s4n 2 дні тому

    Wakenya Mpoo mumeona watanzania tulivio na roho nzur

  • @JamesMchaga
    @JamesMchaga 5 днів тому +4

    Wanaman gang

  • @HASSANNzai-y8g
    @HASSANNzai-y8g 5 днів тому +1

    Mbosso fire....

  • @Vintonekaveli
    @Vintonekaveli 5 днів тому +3

    ❤❤ Kenya 🇰🇪 nipeeni likes

  • @PaulMzaliwa-lu5kz
    @PaulMzaliwa-lu5kz День тому

    Tupo December ❤❤❤ bas tujuane

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 5 днів тому +1

    Mkali Wa Hizi Kazi Za Remix..Ni Ibra Peke Yake..Yule Mbwa Noma Sana..😂

  • @bigtimetz
    @bigtimetz 5 днів тому +3

    Bongo man🔥

  • @ObinnaTv044
    @ObinnaTv044 4 дні тому

    Stivo simple boy😂😂

  • @Trendingkenyatv
    @Trendingkenyatv 4 дні тому

    Kenya hatuwezi tukakosa ❤❤❤❤😅

  • @JeniAlex-e4v
    @JeniAlex-e4v 3 дні тому

    Yaan khan kaua😅😅😅😂❤