KUNA TIMU ZIMEKIMBIA CECAFA DAWA YAO IPO’, RAIS WA TFF ATUMA UJUMBE KWA SIMBA NA YANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лип 2024
  • Michuano ya CECAFA imeanza kutimua vumbi leo katika uwanja uwanja mpya wa KMC ambapo RAIS wa TFF ametoa neno kwa timu zilizoikimbia michuano hiyo
    "Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market"
    #sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 17

  • @mboya4jc
    @mboya4jc 28 днів тому +2

    Huyu mwenyekiti sijui kama anafikiria afya za wachezaji. Kwa maoni yako, inabidi ajiuzulu TFF na CECAFA

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 27 днів тому +1

    Kwani lazima wacheze Simba na yanga

  • @WinnersonMahali
    @WinnersonMahali 26 днів тому +1

    Huyu rais hana akili kwani lazima kila ligi ichezwe? Watu wana ndoto za mbali ulitaka simba day tuende kufanya nn sasa,asilete sheria za kipuuzi tupoteze mapato simba day kisa cecafa embu watuache kidogo

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 23 дні тому

    😂😂😂Wamekosa maokoto mamaee..wanaleta ushuuuz

  • @thadeylyimo9772
    @thadeylyimo9772 27 днів тому

    Muda wa hawa mashindani siyo sahihi.... wachezaji ndiyo wametoka likizo uwapeleke kwenye mechi ngumu...

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 28 днів тому

    Kwn lazimazicheze timu ziache kujiandaa na maandalizi ya ligi

  • @0diraWilson
    @0diraWilson 24 дні тому

    Huyu PUMBA kabisa, hana lolote lile. Hivi hayo mashindano ya CAFCL na cecafa ni mashindano hayo ya ndondo cecafa. Nia ni kupiga FEDHA. Kalale, huna lolote lile. NYAMAZA

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 28 днів тому

    Mashindano yawekwe kwenye ratiba sio ligi inaisha wachezaji wanavunja kambi halafu kuna mashindano mengine yanaibuka tu bila maandalizi

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 27 днів тому

    Roho inaliuma kukosa mapato makubwa😂😂😂

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 28 днів тому

    Atawafanyaje kama ni jambo la hiari dawa gani sasa

  • @user-hp5zf2fw4o
    @user-hp5zf2fw4o 28 днів тому

    Mmefeli

  • @user-io2tp1lr4r
    @user-io2tp1lr4r 26 днів тому

    Yanga na Azam waadhibiwe watu wapo hapahapa timu kwa kudharau cecafa

  • @AmecChee
    @AmecChee 28 днів тому

    Acheze yeye na wenzake

  • @GodfreyMlay-n8p
    @GodfreyMlay-n8p 25 днів тому

    Hili lizee lipuuzi la akili kweli kweli kwani ktk hizo timu kuna at mia yako unaitoa kwa ajili ya kuwalipa wachezaji peleka usenge wako uko ufai kuwa kiongozi ktk soka letu la bongo mjinga mmoja ww

  • @gililwise
    @gililwise 25 днів тому

    We Rais kacheze wewe. Hao wachezaji wameandaliwa lini. Ovyoo kabisa

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 25 днів тому

    Wewe laisi wa tff wachezaji wamepata fitinesi muda gani hayo mashindano ya sekafa yange kuwa mwezi wa 8 inge pendeza zaidi jalibu kuli angalia hilo

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 26 днів тому

    Mdomo firimbi