BABA YAKE NYAGOMAN AMEONGEA YAKE YA MOYONI KUHUSU MZIKI WA MWANAE NYAGOMAN/DAR /FULL INTERVIEW

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Kupitia UA-cam Channel Yetu,baba yake NyagoMan ameongea yake ya moyoni kuhusu mziki wa mwanae NyagoMan
    "Wakati ambao NyagoMan alianza kazi zake za mziki,familia nzima tulimchukulia ni mweu(mvuta bangi),lakini nimekaa chini na kuwaza mambo mengi,nikagundua Nyago ana kijapaji cha kuimba,kwaiyo nimeamua ku sapoti kazi ya mwanangu(mziki wake)...!!!
    Mwaka huu namjengea mtoto wangu(NyagoMan) nyumba hapa dar es salaam
    Ili kuwa mwanafamilia wa AloboVibes,basi hakikisha ume
    SUBSCRIBE / LIKE / COMMENT / SHARE
    #AloboVibes
    #WereAfricans
    #WereHereForAloboVibes

КОМЕНТАРІ • 39