Me naomba kujua je ikiwa mzigo haujafika CBM 1 nachargiwa gharama sawa na 1CBM na kama sio vipi naweza kukokotoa volume ya mzigo wang kwenda kweny dollar yaan mfano mzigo ni 0.345 CBM NAWEZAJE KUJUA ITANIGHARIMU KIASI GANI
@@OmerSuley-gl7go kila mzigo una CBM yake na mzigo wenye CBM1 ni mzigo mkubwa sana na CBM inaweza kuwa ata 0.004CBM bado utalipa kulingana na Agent wako anavyotoza kwa CBM

@@OmerSuley-gl7go 0763800939 kama utakuwa bado haujaelewa tunaweza kuwasiliana kwa maelezo zaidi