Mwl Hy stairi yakukajaga tepu nimeipendaaaaa sanaaaa,, samahani nikikata solo kubwa inahitaji kuunga chini,, swali je naweza unga muungo ukaa kwanyuma usiwe mbele nisaidie mwl
Mimi sijakuelewa naomba urudie unapotufundisha wengine ambao bado ni wanafunzi na mshono ambao ni mgumu kidogo hutakiwi ukate vyote kwa pamoja. Ulitakiwa uanze cha juu halafu cha nyuma
Jumamosi nitajitahidi niangalie tena ila tumia cha.mbele peke yake na nyuma peke yake wakati wa kukata na hizi inch unszoongeza na kupunguza uzifafanuwe kwa makini ili tukuelewe vizuri.
Kumbuka hufundishi mafundi wenye kuelewa unafundisha wanafunzi kwa hiyo ni muhimu stage by stage. Kama mimi nilifundishwa mshono huo hukati cha mbele halafu ukakitoa kiwe hakina kazi. Hapo umenichanganya. Niliambiwa unakata moja kwa moja hiyo overlap.
Hakika ww unaeleweka Sanaa dada angu ongela Kwa kipaj hicho na ss wanafuzi tunashkul Sanaa tunatama. Siku tuwe Kam ww JAMAn ❤❤❤❤🎉🎉
Ubarikiwe sana dad angu unaeleweka vizur
Shukrani dada barikiwa sana.
Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri unaeleweka
Asantee sana dada nimekuelewa naomba kujua jinsi ya kupangua kwapa
sister uko vizl lkn ntk ivo vyajuu unielekeze tena uviludie like❤️
Napenda unavyofundisha yaan unaeleweka vzr sana naomba msaada wa princess dats
Ouky princess darts somo linakuja
🙏🙏
Yan kama ulikua kwenye akili yang
Asante dd nami nimejaribu nimeweza nashukuru mwl wangu
Mashaallah tabarakaallah... Unaeleweka sana
Yaan nakuelewa sana dadaa mungu akutunze
Asante kwa mafundisho,naomba msaada was gauni la m kifuani
Asante dada.
Mungu akutunze
Asante my dear mimi nimeelewa sanaa ubalikiwe sanaa
MaashaaAllah,mwalimu unaeleweka sn.
Asante dada hapo nimeelewa vizuri
Nikitaka kuja kujifunza kwako nakupataje dear?
Nmependa hyo my
Asante nimeerewaa
Asante na unafundisha vizuri sana mungu akubaliki
Naomba ufundishe jins yakukata gaun lakupishana likiwa na prices dats
Naomba unielekeze jins yakukata gau
Nimekuelewa sana ubalikiwe
Ubarikiwe kwa kujitolea,,,bt kwa hiyo nguo njia hiyo ni ndefu sana unaharibu kitenge jicho unachotupa
Theks madam
Naomba niunge kwenye group lako,love u
Nakuelewa Dada ang nakpend mungu akutangulie
🙏🙏😘
Dada nlikuwa naomba unifundishe parachuti yenye rinda katikati mbele na nyuma
Asante tunakuelewa Sana mungu akubaliki ila naomba ufundishe jinsi ya kukata off shorder
💛✔️
Kweli kabisa
fundi uko vizuri
Mwl Hy stairi yakukajaga tepu nimeipendaaaaa sanaaaa,, samahani nikikata solo kubwa inahitaji kuunga chini,, swali je naweza unga muungo ukaa kwanyuma usiwe mbele nisaidie mwl
sijaelewa jinsi yakupata kwapa
Asante sana dad ila naomba ueleweshe kwenye mpshano
Amazing❤
Mwalimu mzur
Naomba msaada nataka kushona gauni la miposhano juu na chin
Axant dadang nimepend xan jins ulivokat ilo gaun ila naomb unielekeze jinsi yakulishona
Napenda sana vidio zako naomba unifundishe kukata jampsut
Dada nimependa unavyo fundisha naomba uniunge kwenye group
🙏🙏🙏 tuma ujumbe wasap kupitia namba 0625333493
Ouky dr 🙏🙏🙏
Mimi sijakuelewa naomba urudie unapotufundisha wengine ambao bado ni wanafunzi na mshono ambao ni mgumu kidogo hutakiwi ukate vyote kwa pamoja. Ulitakiwa uanze cha juu halafu cha nyuma
Ouky ntarudi kufundisha dr
Huna darasa kwa mtu asie jua kabisa
Nakupenda Dada yangu
Uko vizuri dada nimekupenda bule
Ongela sana kwa mafunzo unayo tufunza dada mupendwa
❤
Asant nimekuelew nielekez njis ya kuishon unafundish vzr
Mm sjafahamu kidogo umenichanganya kwenye hivi vifua
Uko vizur dear naomba nifundishe kukata off shorder
Ombi lako nitafanyia kaz dr
Naomba uniunge kwenye group la wasap mumyy no 0628904769
Asante nimeelew sas vizur nashkru kwa maelekezo sister ang
Jumamosi nitajitahidi niangalie tena ila tumia cha.mbele peke yake na nyuma peke yake wakati wa kukata na hizi inch unszoongeza na kupunguza uzifafanuwe kwa makini ili tukuelewe vizuri.
🤝🤝🤝
Unafundisha vizur kweli sichoki kuku follow
Naomba msaada kushona mfuko katika nguo unakua wazi haufuniki
asanteeee
Nilikua nakuliza apo kwenye zipu ukishatoa inch moja kwenye kushonea zipu unashonea nchi mbili
Ok
Mimi nahitaji darasa kabisa dada unaeleweka sana
Nzuri sana!!! Mie nashona pia pls tizameni 🙏 ua-cam.com/video/XhBmUrbpQzI/v-deo.html
Kumbuka hufundishi mafundi wenye kuelewa unafundisha wanafunzi kwa hiyo ni muhimu stage by stage. Kama mimi nilifundishwa mshono huo hukati cha mbele halafu ukakitoa kiwe hakina kazi. Hapo umenichanganya. Niliambiwa unakata moja kwa moja hiyo overlap.
Nimependa sana darasa lako but cjaelewa
Du nimekuelewa jmn mwalimu
Mm nataka lakupisha kama ilo ila liwe la kola msahada nisaidie
Ok kwa iyo upande mmja unageukiana
Samahan dad kwamfan mtu anajifunz kushon na maesabu yanasumbua anafanya nn naikiw anatak kujua kushon
Napenda san video yako naomb nifundishe kukata gaun ya mapane nane
Nashukuru kwa mafunzo
Naomba unifundishe jinsi ya kukata kaba shingo 0745464168
Saaa dada kam ukitak kushona yenye zipu unafanyaje alaf nilazima kipande cha mbele ukate kimoja kimoja ufwatie na je kitambaa kikiwa kidg inakuaje
Zipu unaweka nyuma ata pembeni, kama kitambaa kidogo tupia pattern
Alaf kam ukimshonea mtu mnene ili maziwa yasionekane ndo shingo unaweka tano
Hi nguo umetumia pisi mbili
Nduo pis mbili
Asantee
Jmn na mim nimeingia kwenye ufundi lkn bado ni mwanafunzi san mliofanikiwa mlifanikiwa mtandaoni tu au mlienda kujifunza kbx
Kotekote karb mm pia n lener km ww
Asante
Asaante saana
Maana mm nashindw kubalase pis mbili kushona nguo ya mtuu mnene
Kama ni mnene Sasa pis mbili hazitoshi labda iwe fupi au isimwage sana
Inamaana unatoa Kwanza vya mbele kwenye pisi mbil
Unatoa kwanza vya chini ,Kisha vya juu ,na vya chin ukate vipande viwili utoe kimoja Kisha ukate na Cha pili
@@milcastylish nkate kwanza solo ndo nije kukata hi Kat au cjaelewa my dear
Namanisha ukiwa unakata usianze na vipande vya juu Anza na vya chinu
Nakuelewa sana
Asante Dada ila naomba maelekezo zaidi
Axante dada
Nakupenda ww dada bac tu
☺️☺️☺️🙏🙏🙏
Na kuelewa sana kipenzi
Dear mm nmejaribu iv unaweka dat naitaji nione video yake ya kushona
nimeelewa dang lakin naomba nielewe jinsi ya kugeuzia laining kwakipande Cha mbele
Mungu AKUBARIKI mpenz tunaomba utengeneze group Whatsapp
Sor dada me cielewi jinsi ya kupima kwapa na shingo nisaidy ya nguo yoyote kawaida
Asnte
Nimekupend naomba unielekeze unupimaje kwapa au unapataje kipimo chakwpa
Nilikuwa naomba kwa mm binafsi ungekata kimoja kimoja
Yani Dada nakupenda unafundisha vizur Sasa san
Nimeipend
Ashant nimeelewa napenda unisaidie jinsi ya kukata nguo ya mapande
Mungu akufanyie wepesi kwakila jambo
Ni meiona
Mimi inanichanganya pale unapopima inch tatu na kushusha inci moja kwa ajili ya nyuma ndo maana nikasema tuonyeshe kwanza cha mbele halafu cha nyuma
Naomba unieleweshe uwo mzunguko wa kwapa unapimaje
asante unaelewe Dada
Nataka mwendelezo wa jinsi yakukta kola ya shingo ya kupishana
Ajanta mwalimu
Naomba mniunganishe kweny group lenu la whatsapp no 0685221070
Ili niwe napata masomo Yako Kila siku nifanyeje dada
Dada sijaelewa kitambaaa chako umekikukujajeee maana naona Umeanza tu kupm ko sjaelew mpendwa
Hahaha yaan mm ukiwa unapima navurugwa ila ukikata ndo napata pichaaa
Mm nipo naangalia
mbona unaharibu Sasa kitenge my dear unapaswa ujuwe kubana kitambaa
Dada ungejuwa unatufundisha na jinsi ya kumpima mtu
Inaeleweka Sana fund Ila Kun mda video haxionesh vizr
4:18
Sijaelewa kipande cha mbele ulivyoanza kupima uerfu wablauz uliacha kanafas kutoka mwanzo nichamchi ngap kile
Nimeipenda nimejifunza
Kwann unacha hafu ya chni nchi moja
Dada hujuh kushona, mbona mkato uko chini sanaa
Nawatilia
Ni mbali masikini ungekuwa Dar ningekuja kwako lazima.
Ooh n mbalii