KWANINI MUNGU ALILETA KITABU CHA UFUNUO?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @josephatodimary3633
    @josephatodimary3633 4 роки тому +4

    Nilivyokuwa roma sikuruhusiwa kuijua bibilia namshukuru roho wa Mungu kuniongoza kuwa msabato ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu hakika tangu nimekujua nazidi kuimarika kiroho Mungu akubariki sana

  • @carolinekibasa5714
    @carolinekibasa5714 4 роки тому +9

    My favorite Pastor all the time. Yesu akutunze!

  • @shijakaneleja6741
    @shijakaneleja6741 4 роки тому +5

    Lkn katika yote nampenda sana Pr. Mmbaga, kwa masomo yake mazuri

  • @yusuph1547
    @yusuph1547 4 роки тому +3

    Leo kuna majibu ya maswali yangu nimeyapata namshukuru Mungu nimebonyeza hili hubiri,,,from xian china,,mim ni msabato na siendi chuoni siku ya sabato ,watu wanashangaa lakin nitaendelea kumweshimu Mungu wangu

  • @tarimobony616
    @tarimobony616 4 роки тому +3

    Ubarikiwe MTUMISHI Ila watu wa Media wanakuangusha unasikika kwa shida

    • @habaritv6364
      @habaritv6364 4 роки тому +1

      Tarimo Bony ukisoma maelezo wameomba radhi

  • @violetjoseph8649
    @violetjoseph8649 4 роки тому +3

    Cjawah kuachwa kubarikiwa nawe#haleluya#

  • @njiletungu7988
    @njiletungu7988 4 роки тому +2

    Mungu azidi kubariki kaz ya kutangaza utukufu na uweza wake.
    AMINA.

  • @labanmitinje3432
    @labanmitinje3432 4 роки тому +5

    Asante Sana nimebalikiwa Pastor, Mungu azidi kukuongoza

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 4 роки тому +3

    Siungo pastor ufunuo usipokuwa na roho mtakati huwezi elewa waeza dhani ni story za bwehaa, mungu atusaidie kumuelewa .

  • @tumainirichard6175
    @tumainirichard6175 4 роки тому +2

    Nibarikiwa sana hemahubiriako Mrungu akurongorie sana

  • @edouardwalofils4135
    @edouardwalofils4135 4 роки тому +2

    asante tena mchungaji, ila tungekusii utuandalie somo kwajili kuhusu swala nzima lakuhishi na woga ahu hofu ya signs na masonic numbers kwasababu kuna bahazi ya watu wamesha zitupa nguo na vifaha mbalimbali nakuwa na hofu ya kila kitu, please shetani amewanasa kwakuishi na woga miyoyoni mwao kwajili ya ilo, najuwa huku North America tunakufatilia sana sisi Swahili communities na wanavio kusikilizaga I hope utawasaidia sana. Mungu akujaze mengi zaidi

  • @ericsonsteven4094
    @ericsonsteven4094 4 роки тому

    Ongea sana mchungaji, wenye kuongozwa na roho wa kweli nilazima wakuelewe unacho ongea. Mwenyezi Mungu na azidi kukushindia na kukupa nguvu 😍🙏

  • @mackynicky8278
    @mackynicky8278 4 роки тому +2

    Duuuuuh, ahsante mtumishi Mmbaga

  • @jamesmedard5538
    @jamesmedard5538 4 роки тому +2

    Barikiwa sana kaka.

  • @danielfesto9966
    @danielfesto9966 4 роки тому +1

    Tunabaeikiwa sana

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 роки тому +2

    Hallelujah Amen ❤

  • @mustaphagairo1936
    @mustaphagairo1936 4 роки тому +2

    👏🏼👏🏼👏

  • @njiletungu7988
    @njiletungu7988 4 роки тому +2

    Kwenye tv yanarushwa ktk channel gan

  • @odiliamchala6477
    @odiliamchala6477 4 роки тому +2

    ujembe mzuri, ila boresha uskivu, au sauti

    • @habaritv6364
      @habaritv6364 4 роки тому +1

      Odilia Mchala Watu wa sauti wameomba radhi hapo

  • @magrethmkira6250
    @magrethmkira6250 4 роки тому +1

    Amen

  • @mn9484
    @mn9484 4 роки тому +2

    Somo zuri la namba na unabii. Kuna tafsiri nyingi ni kweli.

  • @edouardwalofils4135
    @edouardwalofils4135 4 роки тому +1

    thank you Pastor for washing my brain by divine words, cause we are living in the communities where people wonder about signs, numbers and all about masonic signs until they forget the greatness of Jesus Christ. Please prepare a lesson about this topic again cause Satan is playing with their mind to scare them. Here where I am, There are persons who threw their clothes, plates, and their own property because of the satanic signs, Please prepare a lesson to help their souls.

  • @yohananyabu4040
    @yohananyabu4040 4 роки тому

    Amina

  • @joyestherbagarura954
    @joyestherbagarura954 4 роки тому

    ♥♥♥♥

  • @shijakaneleja6741
    @shijakaneleja6741 4 роки тому +3

    MIMI NAPENDEKEZO KWA POST ZA MAHUBIRI YA PR. MMBAGA ZIWE ZINABAINISHA KUWA HAPO ALIFUNDISHA/ ALIHUBIRI AKIWA WAPI, IKIWEZEKANA NA MAELEZO YA TUKIO KATIKA SOMO HILO.
    Mfano:- Unabii Wa Daniel , by Pr. Mmbaga akiwa Kwenye makambi Iramba.
    N.k

  • @KennedyKisasali-py9qt
    @KennedyKisasali-py9qt Рік тому

    naomba tufunulie kuhusu 666 huta weza kuuza wala kununua hii ni ya kiloho au ya kimwili

  • @henrynyakasi9616
    @henrynyakasi9616 4 роки тому +1

    Paster wewe Mungu ameamua kukutumia kwa ajili ya kazi yake, hivyo acha uoga waambie watu waelewe acha kuwafumba hizi ni siku za mwisho.
    Umesema 666 ni alama ya ibada ni kweli kabisa lakini waambie watu ibada gani/ipi? Maana watu wengi hawajui hili

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 роки тому +2

      Hiyo somo lake liko mbele,usiwahi kabla ya wakati wa somo husika

  • @wazainakigomaboy2724
    @wazainakigomaboy2724 4 роки тому +1

    PASTA MUNGU AKURAANI KWA KUMKANUSHA MTUME WA MUNGU ULIKUA UNANIFUNDISHA ILA SINTAKUANGALIA TENA KASOME YOHANA 1.19 AMETABILIWA HAPO WEWE NI KAFIRI KWA MUJIBU WA YUDA 4.1 NAJUA UNATAMANI KUA MUISLAM ILA UNATETEA UGALI SIKUTUKANI ALLAH AMENISIHI